Hakikisha unamfollow STORY ZA Zamrata kwa simulizi tamu na za kusisimua ......share, comment, like ...... Kwa sababu simulizi ni haki yako ndo maana uko hapa ....
SEHEMU YA 11
Punde tu baada ya Baraka kumshika mashavuni Aziza na kumtoa kidogo kutoka kwenye ukaribu wa hatari wa kimahaba, sauti ya kiatu cha mwanamke ikasikika nje ya mlango. Ilikuwa ni hatua za haraka lakini zenye uzito. Walishtuka wote.
Aziza aliruka kama mtu aliyeumwa na nyuki, akachukua fagio la plastiki na kuanza kufagia kwa haraka sebuleni . Baraka naye alipita kama mshale mbio mbio mpaka chumbani huku anahema kama kaua hivi
Mlango ukagongwa taratibu. Ndipo mlango ukafunguliwa na Neema akaingia. Macho yake yakasafisha sebuleni kwa kasi, kisha yakamwangalia Aziza akijifanya anafagia kwa ustadi wa hali ya juu.
"Mh... mbona leo nyumba imekaa kama vile kuna kampeni ya usafi?" Neema aliuliza akimsogelea mumewe.
Aziza alicheka kwa kujiuma uma. "Niliona dada anasumbuka peke yake nikasema nisafishe hata sakafu ."
Neema alinyanyua jicho la kushoto. Mume wamgu yuko wapi??"
"Yupo chumbanI kwake kasema kachoka ngoja alale kwanza .....
Neema alicheka, lakini bado kulikuwa na chembe ya mashaka ndani ya moyo wake. Alimkaribia Aziza na kumgusa mkono kwa upole.
" Naomba mume wangu akikusumbua niambie maana sio kawaida yake yaani hajakutamani wala kukutongoza kweli unabahati ila wengine wanaujua moto wa huyu mwanaume '
Kisha alipiga hatua na kwenda chumbani alikokuwa mume wake .na alimkuta kalala na yupo mtupu kama bakota isiyo na kitu namaanisha iliyowazi ....
Mwanamke kuona tu mjumbe wa kaskazini aliruka na mara shat kule sket kule kisha akapata uwanjani nakuanza kuila ile koni mpaka pale mwenyewe nate alipoikuta koni yake ililiwa
Alimtuhusu tu afanye atakavyo yeye maana hekalu lote ni la mke wake rulsa kulikagua na kulipapasa kwa mkono lile lidubwasha ...... Kisha akalipeleka lile dubwasha kwenye kisima cha maji yake na hapo ndipo zoezi lilianza
Alikuwa akipanda na kushuka kama mtu anayekwea mlima . Baraka naye alizidi kumsaidia kukwea mlima zoezi ziliendelea pumzi zilivutwa mambo yalikuwa moto
Yaani ni kama moto unao anza taratibu lakini ukisambaa hali inakuwa mbaya ndo kilichotokea hapa moto ulizidi kuwaka
Zile kelele kwa kuwa zilikuwa kubwa zilimkasirisha sana Aziza
Wivu umemjaa mpaka machozi yanamtoka kwa anachokifanya baraka alienda dirishani kuchungulia weee hasira zilizidi kulindima hakuna hisia ni hasira
" Baraka ananicheat sio?
Alisema kwa hasira sana
Huku kakunja ngumi alisema bora tukose wote alipiga kelele kubwa
Mamaaaaaaa nyokaaaaaaaaaaasssaaa
Uuuuuuiuuiiiuuih nakufa nakufa jamani nyokaaaaaaa
Baraka kusikia hivyo aliacha zoezi na kutoka nje mkononi kashika bonge la gongo na neema anakuja nyuma kajifunga kanga ......