Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NILIZANI MWIZI KUMBE MMMM💘💐💘 SEHEMU YA 01:

1st Jul, 2025 Views 85



Zilisikika kelele za watu waliokuwa wakisema..

"Mwiziiii...mwiziiiii ..mwiziiiiii" Jamani mwiziiii"

Mida hiyo mimi nilikuwa zangu bafuni naoga.. jamani kaiba wapi tena huyoo aah haya maisha ya uswahilini bwana kila siku kuna jipya..,

nilichukua ka upande kangu ka khanga nikajiweka mwilini kelele zile zilikuwa zinasogea kwa kasi kuja upande huu wa kwetu ..

Ilikuwa mida kama ya saa 4 hivi usiku kwenda saa tano , nimetoka zangu kibaruani kwangu mihangaiko kama unavyojua wahangaikaji tunakula kwa jasho.. nimejichokea hatari..

"Sijui kaiba wapiii" hapo nawaza nitoke nikaangalie maana kelele zillikuwa zinakuja mtaani kwetu..basi ile nafungua mlango nitoke bafuni nilishtuka mlango umesukumwa kwa nguvu mtu akazama ndani😳😳

Ilikuwa ni kitendo cha gafla sanaaa ni kama sec mbili namuona kijana yupo mbele yangu afu ameniziba mdomo ,

jamani nilibaki nina tetemeka mpaka kanga ikaanguka chini hapo nikabaki sina ngu😌o ,siwazi hata kama nina nguo au vipi mwili wote unatetemeka 😌😌

huko nje nasikia sasa zile kelele zinakuja upande wa nyumba yetu yaan zimesogea karibuu kabisaa,

Nikimwangalia yule mkaka ni kijana mweusi mrefu mtanashati😩😩naye asivokuwa na aibu akawa ananiangalia kwa kuibia ibia muda huo mkumbuke niko uuuu😌ch😌

Nilimwangalia sana nikawa najiuliza huyu katokea wapi?? Au wewe ndo mwizi unaetafutwa??

"Naomba unisaidie mimi sio mwizi kabisa wala sijawahi kuibaa" nikabaki namtazama huyu kaka macho yake yalikuwa yamejaa woga na hofu ya kif sa mi namsaidia ninii??
Nilibaki kimyaa mdomo mzito siwezi hata kujibu

"Dada angu nitakulipa kwa hili" alikuwa anaongea sauti ya chini sanaaa
Nje nasikia kelele sasa zimefika usawa wa nyumba yetu

"Alikatisha hapa hapa , kafata njia hii embu nyie piteni huko huenda amebana sehemu na hili giza'"
Nikazidi kutetemeka yaan nilitetemeka mpaka nikahisi naenda kupata ukichaa,

Nilihisi kuna watu wanakuja upande wa chooni si unajua vyoo vya uswahilini mwenzangu vimesuswa pembeni ya nyumba,nikawaza nafanya nini mie si nitauli wa waseme nashirikiana na mwizi ,nilipata akili ya fasta nikafunga mlango kwa ndani .

Niliamua kumsaidia huyu kaka kwanza nilijikuta namuonea hata huruma kam atajulikana wanaweza mu ua hapa hapa afu ni smart kweli ananukia mzuri yaan ni mkaka flan hivi haonekani kama wa kiswahili kabisa , hata wewe ungeamini sio mwizi huyu 😁😁

Mlango wa chooni ukasukumwa bahati nzuri nilikuwa nimeufunga

"Jamani Tunaogaaaa heeee" nikaongea huku namwaga maji kama naoga vile ,hapo naongea kinafk kisaut cha kushauka lakini moyoni wee 😩

"Oooh we salma weweee , wenzio tunakimbiza mwizi we unaoga.."

"Hahaha embu niache bwana mi naogea chooni ujue" niliijua sauti ilikuwa ya mama asha ni jirani yetu nyumba kama ya nne hivii"

"Nanii yupo humo??"

Nilisikia sauti ingine ya kiume inauliza nayo niliitambua ni mbaba mmoja anajifanyaga kama mtaa ni wake yaan yeye anasauti kuliko hata mwenyekiti anaongea sana na anasifaaa wanamwitaga Amos ..

"Salma anaoga" alijibiwa na mama asha , mi nikaendelea kumwaga maji sa vimaji vyenyewe vinaenda kuisha watu hata hawajasambaa ni kama kikao kilihamia pale nje kwetu mana ndo sehemu mwizi alipo potelea .

"Mungu wangu nafanyaje miee" hapo najiuliza moyoni ,nilipo mtazama yule kaka niligundua alikuwa anatetemeka yaan kuliko hata mimi,

nikajisemea huyu anakiona kifchake wee maskini, nilimtazama kwa makini kaka wa watu alikuwa kaka wa maana yaan mh nyiee😍😌

basi tu ila ni mzuri afu smart sanaaaaa amependeza hata nguo zake sa kwanini kaiba au kwanini anakimbizwa???

Nikabaki najiwazia moyoni , nilichungulia kwa mbali nikaona watu kama wamepungua pungua hivi ilibidi nipige hesabu za fasta siwezi kaa chooni mwaka mzima

"Embu sikia toa hizo ngu😌o zakoo " nilimwambia huku namkazia macho, nilishangaa fasta anatoaaaaaa 😂😂😂yaan hata kuniuliza kwanini nitoe hakuna nyie hahaha sio poaaa ..

Akatoa fasta si akawa anavua na boks🙄🙄 khee weee nikamzuia bwana mi sitaki kuona madd mengine😂😂 kwanza nipo single karibu mwaka wa 3 huu akhaa sitaki kushtuana ham buree ..

Nikamzuia kulikuwa na maji kidogo kwenye ndoo nikamwangia yeye afu nikampa ile khaga ajifunge akajifunga nikampa ndoo abebe mie nikabeba nguo zake afu nikajifunga dera mana nilienda na dera na upande wangu wa khanga ..

Baada ya hapo nilimwambia tutoke...tukatoka hapo natetemeka naomba miung wote wanisaidie mie ,huyo kaka mwenyewe alikuwa anatembea miguu inagonganaaa😌😂😂,

tukapita fasta mpaka chmbn kwangu nilifika nikajitupia kwanza kitndn nahema hatari yule kaka akafunga na mlango kwa ndani, yani😂😂asije akaninaliu huyu maana mi simjui😂😂😂

Ile naamka nimwambie aondoke nikashangaa mtu anajitupa kwenye kochi na anahema hatari khee huyu mbona kawa mwenyeji ghafla 😂,nikamtupia nguo zake

"haya vaa uondoke usije kuniletea matatizo mie"

"Sister natokaje hapo watu wamekalili hizi nguo"

"Kwahiyo nikupe dera"

'"Hapaana sikumaanisha hivyo naomba unipe muda walau nitoke hata Alfajir"

"Aisee we kaka"

"Nisaidie dada angu shika kitambulisho changu hichii mi sio mtu mbaya🥹"

Akanipa kitambulisho chake nikisome jamani mi ukweli kabisa kutoka moyoni kusoma sijui 😥nilibaki nakiangalia tu kile kitambulisho

"Hicho ni kitambulisho changu cha kazi" aliniambia baada ya kuona nimekitazama sana ,

nilitamani sana nijue hapo pameandikwa nini ila ndo hivo sielewi lolote..

Nilikitazama kwa muda afu nikamtupia kitambulisho chake

"Bwana wee mi sijui kusoma...shuka hiyo hapo kama we mwizi sio mwizi utajua mwenyewe mi napumzika zangu"

Nikapanda kitndni akabaki anacheka
"Dunia ya leo kuna mtu hajui kusoma??"

"Ndo mie hapa, afu unanicheka na uko kwangu???"

"Nakushangaa tu nguvu za kukucheka unafikiri ninazo" alijibu nae huku anavuta shuka kujifunika alale pale kwenye kochi hata sikumjali tena nilikuwa nimechokaa mie ,

nikajilalia zangu lakini kati kati ya usingizi nilishtuka ile naamka tu mmmmmmmmm😳..

Itaendeleaaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIZANI MWIZI KUMBE MMMM💘💐💘 SEHEMU YA 01:  >>> https://gonga94.com/semajambo/nilizani-mwizi-kumbe-mmmm-sehemu-ya-01
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest