..sio mum, sio motivational speakers, sio walimu, sio majirani...Kila mtu alikuwa ameniongelesha lakini mm deep down nilikuwa tu najiimbia 🎶maisha ni yangu, we shughulika na yako, sipangwingwi....
Until siku ilihappen, siku niliregret... Sikutaka anyone ajue about it so nilienda kwa shosho fulani pale kwa village nipate solution... Nilikuwa nimeiba 1k from my tuition fee na ingenisaidia... Luckily the granny alikubali na akaenda akanitaftia matawi na mizizi ya dawa nilitaka.. Home hakukuwa na mtu so nilirudi nikachemsha ile dawa..
After kuboil izo mizizi nlipewa na huyo shosho alikuwa experience kwa hii sector, nliweka kwa kikombe then nkaosha kila kitu ingare ndo nfiche evidence 😰 mathee asishuku anything.
Kuwa form 3 alafu nkue dem mwenye nliheshimika village, kujulikana nlifanya hio kitendo💦 hadi ikaniletea hii ngori ilikuwa kitu suicidal. Nlianza kuimagine venye news itatembea kila mahali that mtoto wa Pastor ametiwa mimba....Nlianza kutetemeka juu ya uoga cause hii ilikuwa between loosing one soul or both of us dying 😣.
"What if niambie mum nmeanza kumiss periods?"☺️. NO, noo way😭😭 ntakuwa nmeenda against will take ya kutaka nsome kwa bidii nkuje nkue daktari in future 😰...."what if niambie dad?" No No No😳uyu Simba atanimaliza.. dad despite kuwa pastor alikuaga mkali na pia alikuwa among the village elders, nlikumbuka siku aliwahi niona na Brayo, boy mwenye ameniletea hii shida yote🙄🙄, iyo siku nlionwa war mbaya Sana na dad akaniwarn nsiwai onekana na Brayo tena...
Nlibaki nmejifungia room yangu mawazo yakinikula akili😰... "What if niambie Brayo maneno si mazuri🤔" no way! Nlikumbuka venye nilipenda uyo boy nkaona theris no need nimwambie aanze kujistress bure na venye ako fom 4 na anakaribia kufanya exam. Nliacha asome bila stress atleast future yetu ikue bright 😰😰 azn asishikwe na afungwe jela ju ya kupea msichana wa shule bol. Nliswear that incase ijulikane heri nkufe kuliko kudisclose Brayo. Nlianza kuflasbak kuhusu this young and brilliant man nkaanza kupata utulivu kwa roho yangu. Nlikaa for almost 1 hour nkiwa nawaza nkiwazua.
Nliangalia Ile dawa ilikuwa kwa kikombe ya plastic ya ck. Ilikuwa very dark ka keg na ilikuwa inapoa nlikumbuka venye "daktari" aliniambia "hii kikombe moja itakutatulia shida yako tho utableed for like a week. Nlishika ivi kikombe nkajipea saik npige iyo dawa once shida yangu initoke🙄. Ile harakati ya kutaka kushika kikombe nkaanza kuskia sauti from inside me ikiongea 😳. Nliacha kikombe na kutulia kidogo heartbeat ikipiga haraka sasa...
"Iyo siku sikulala usiku☺️☺️😣. Nlikuwa nmejiwekelea tu kwa bed but brain yangu ilikuwa inawaka Moto na mawazo🤨🤨, nlianza kuimagine bro wangu mkubwa ajue nshamess kwa maisha nkafeel uchungu flani kwa nafsi yangu🤨. Nlijua uyo jamaa atatia chumvi kwenye kinonda🙄🙄, my bro aliishi akiniprotect na kutishia maboy but wapi. Nlianza kufeel as if am living death because of carrying another soul, very innocent soul inside me. (Which is believed to be end of someone dreams in the society 😭). The soul who spoke to me telling me that ametumwa mission hii dunia🤨🤨, the one I will protect😎. Nliturn turn kwa bed iyo usiku nkiwaza nkiwazua but mawazo yangu hayakuwa na dalili ya kuzaa matunda🤨🤨. Nliketi chini nkaanza kulia 😭😭💔 ,"God, why me" nliendelea kulia chini ya maji kiasi nkajitia nguvu nkaamua niforce usingizi but wapi. Nlikuwa naskia tu makelele ya crickets na madogii uko nje zikibweka. Nliskia sauti ya bundi akilia from a distance nkajifunika kichwa 😬😳😳. Nilikumbuka vile husemwa bundi akilia Karibu na kwenu inamaanisha mtu atakufa...
Nkiwa ndani ya blanketi nkiwa awake nkaanza kuflashback iyo Sunday majioni. Siku na ambayo shida yangu ilianza☺️☺️. Nlikumbuka tukichat na Brayo ambaye nlimpenda yangu yote💞. ..iyo siku mom na dad walikuwa wameenda safari na bro mkubwa pia alikuwa amejipea shughuli. After kuongea na Brayo tukakubaliana tumeet kwake tuhave time with him for some time but sex mimi singekubali. Nlikuwa nampenda yangu yote but maneno ya sex nlimwambia angoje hadi nimalize shule. Iyo siku nling'ara vizuri kumtembelea. Nlikuwa nataka kumseduce kabisaa anipende coz alikaa player🙄🙄, pia hakuwai onyesha dalili ya kunipenda Sana that's why nliamua nimseduce kiasi atleast ajue pia Mimi si mchache😬....
Nlifika kwa Brayo masaa Tisa na nusu.. alikuwa ameng'arisha keja yake poa. Alikuwa boy msafi Sana na alikuwa anaongea Kama gentle man that's why nlikuwa na insecurities ya kumloose🙄 juu madem wa siku izi ni mafisi. Nlifika akanikaribisha vipoa sana💞💞. Nliketi kwa kiti yy pia akaketi kwa kiti na reading table yake ikakaa Kama dining table. Brayo alichomoa juice akaweka kwa jar flani ya glass na gilasi mbili akaweka kwa Ile reading table yake. Alisongesha vitabu zake akaweka kwa box flani ilikuwa open. Iyo siku nlitamani Brayo zaidi cause alikuwa msee neat na ni organized si Kama boy flani anaitwa Ishmah mwenye aliwai nikatia nikamkataa juu alikuwa anakaa confused 🙄🙄na after kumkataa politely akanitusi ka none sense 🙄.
Brayo alikuwa amevaa short flani na t_shirt ya black yenye imeandikwa na FLY EMIRATES. Tuliongea na Brayo kwa muda ...
BRAYO: I really appreciate your presence here my angel. I feel am complete because you are here. When I look at your eyes I see love💞, am the mountain and your are my lava...you are fine apple sweeter than pineapple..
Hiyo time niliskia sablenya iki'shake as if imewekelewa vibrator
Brayo aliniangalia kwa macho direct akiangusha haya maneno yenye ilisink hadi ndani ya mifupa yangu. Nlimwangalia nkafeel kitu sjawai feel inside me. Alismile na kuinuku from kiti yake akakuja akanishika mkona na akaniinua kwa kiti nami nikacooperate. Tulishtukia tunaanza kukiss.. alianza kunikiss shingo nkaanza kuisha kabisaa, nilifeel like panty yangu imemwagiliwa maji ju ya venye nilikuwa wet... Nlianza kufeel heartbeat yangu inaanza kukimbia😳 time mkono ya Brayo ili....
Sikutaka kumaliza kuimagine kuhusu iyo siku😭😭😭. Nlianza kufeel machozi inaaza kufom nkajikaza but nkiwa ndani ya blanketi, kimoyomoyo.. "I wish singekubali"
Hiyo siku iliisha ivo..
Masiku ilianza kukimbia mbiobio ikafika time ya kurudi shule😰🙄. Nlijua tu shule ndo hii story italipuka na venye nlikuwa nasoma shule mixed boarding 😰😰 na venye nlikuwa nasimamia CU😰.
Nlikumbuka mathee almost anashuku time ingine alinipata nkivomit but nkajitetea nlikuwa naumwa na tumbo..
Mum: 😳😳 Ni Nini Vayo? Mbona unavomit asubui( akiwa ameshtuka)
Me: Haki mom jana nlikula mayai ya kienyeji na venye spendagi 🙄🙄. But nko sawa😳😳( nkiwa nmetense)
Mom: (akishake kichwa yake) nsawa tu. But.....
Iyo siku nlitense Sana nkaanza kuwa careful zaidi nfiche hii Siri😰😰. But nlijua one day hii all story italipuka tu once njulikane. but nlihapa stawai mess up nikatishe maisha uyu myoungster. Nlikuwa nmejitolea kupigania hadi mwisho😬😬😰.
As usual shule after holidays pregnancy taste ilikuwa must. Nlipanga laini nkujiamini nkijua story italipuka anytime 😰😰. Ilikuwa inatake three days ivi repoti ishuke wenye wamepatikana waitwe watumwe home. Izo masiku sikuwa naconcentrate nkiwa class😭 nlikuwa nafantoo tu nkiteseka nkiwa na mtoi na venye nlitoka humble background. Nlikumbuka venye mzae alikuwa anahustle anilipie fee na Mimi kumfail ju hata pale church yake watu walikuaga less than 10 na sadaka hata haiko😰. Nlianza kuregret mbona sikukunywa Ile dawa Ile time but nkakumbuka pia venye nliskia sauti ikiniongelesha😰💔. Sikuwa na amani Tena, dunia ilikuwa imenigeuka☺️☺️.
Ilikuwa Tuesday after break time deputy na mwalimu flani wa guiding and concealing walikam daro yetu🧐🧐🤨. Uzuri daro ya maboy na madem ilikuwa separate. Walituchekesha kiasi then wakaanza kuongelea topic ilianza kunikata maini😭😭😭, ata wewe umejua iyo topic. Every time depa alikuwa anarusharusha macho yake kwangu nafeel as if those eyes ilikuwa kisu inanikata maini😭😭. Nlitulia ivi nkafeel Ile sauti from my womb " mom, don't worry everything will be fine at long last" nlireply Ile sauti kimoyomoyo " am trying my best to protect you but the society wanaona as if you will be destructor of my dreams😭" nlianza kufeel sweat kiasi. Depa after kumaliza kutuongelesha akatembea hadi place nlikuwa nmetulia. Kila mtu class akaniangalia😰😰🤨💔, those eyes started humiliating me 😭😭 .
Depa: Violet, how is you. Mbona unatense😂😂 ( alicheka kikejeli) hope you are ok....I want to see your father..
Nlijua ilishafika Ile siku. Nliamka polepooole with my legs ikiwa very heavy😰😰. Nlifuata depa tukatoka nje ya daro. Nkiwa natoka nje ya daro nkaskia student flani akisema " si nlikuambia, uyo dem alikaa kuwa na bol🙄🙄, uyo ashaaribu maishaa yake Ivo"
Nlifika ofisi ya depa nkapewa seat nketi npewe results.heartbeat ilikuwa unapiga mbiombio 🤦🤦🤦........"
What happened afterwards will shock you
𝙏𝙊 𝘽𝙀 𝘾𝙊𝙉𝙏𝙄𝙉𝙐𝙀𝘿...🖋️
Episode 2 kesho 7am.