Hakikisha unamfollow STORY ZA Zamrata kwa simulizi tamu na za kusisimua ......share, comment, like ...... Kwa sababu simulizi ni haki yako ndo maana uko hapa ....
SEHEMU YA 13
Baraka alishikilia kiuno cha Aziza kwa mikono yenye joto la mchanganyiko wa hofu na hisia. Alikuwa amesimama nyuma yake, akivuta pumzi zake kwa nguvu, akihsi ule mguso.
Aziza alishtuka kidogo, lakini hakuwa na haraka ya kujinasua. Mikono ya Baraka ilikuwa kama kitu fulni kilichompa burudani
"Baraka... una uhakika na unachofanya?" Aziza alimuuliza kwa sauti ya chini, macho yake yakiwa kwenye sinki, mikono ikishika bakuli lakini akili ikiwa mbali kabisa.
"Sijui Aziza, sijui tena... ila najua siwezi kujizuia tena." Baraka alijibu kwa sauti ya kukosa pumzi, akiendelea kuuzungusha mkono kwenye kiuno kisha akambusu shingoni kimahaba kisha akamzungukia kwa mbele
Aziza alijaribu kujitoa, lakini Baraka alimshika mikono yote miwili kwa upole, akimtazama machoni.
Macho yao yalikutana na muda ulisimama. Aziza alihisi moyo wake ukidunda. Macho ya Baraka yalionyesha upole, shauku, na hofu.
Akamshika kidevu kisha akausogeza mdomo wake karibu na wa Aziza . Aziza alijua linalofuata hapa ni denda basi alifumba macho . Nakweli kufumba tayari midomo ikakutana yalianza kupigwa mabusu ....
Kila mtu akionyesha kummis mwenzie zoezi liliendelea na kila mtu alionyesha ushirikiano wa hali ya juu sana. Kisha akamuomba waende bafu muda huo neema kalala chumbani asijuwe mume wake huko na mfanyakazi mambo ni moto tu .....
Aziza akamuangalia kwa jicho la shaka lenye kutetemeka, akisema kwa sauti ya taratibu: "Najua mimi hunipendi unampenda mkeo ? Nahujuwi navotaman uwepo wako jamani usiku baridi niko pekee yangu wewe unamkumbatia mkeo mimi hunitaki?"
" Usiseme hivyo aziza wangu " alisema Baraka kisha alinyanyua mkono wake na kupa pasa shavu la Aziza.
Kisha akamnyanyua juu juu huku wanapeana made... Mpaka chumbani kwa aziza badala ya bafuni alivyotaka Baraka
Alimshusha kwenye upinde wa kitanda na kumkarisha ....nakumsogelea karibu zaidi
"Usinifanye nijihisi mdogo, Baraka... sipendi kuwa kivuli cha ndoa yako, lakini moyo haujui sheria."
Baraka akamsogelea zaidi. Miili yao iligusana, na mapigo ya mioyo yao yalisikika kana kwamba waliwekewa kipaza sauti kifuani.
Kisha taratibu, bila ya kukurupuka, walijikuta wakikumbatiana. Mikono ya Aziza ilipanda na kumkumbatia Baraka shingoni, huku mikono ya Baraka ikimvuta taratibu kuelekea uwanja wa raha .
Wakaanza kubusiana kwa staha. Kila busu lilikuwa kama maneno ya kutubu, maneno ya kuomba radhi kwa moyo uliojaa upendo haramu.
Aziza alijikuta akimtazama Baraka kwa jicho la mahaba, akigusa kifua chake kwa vidole vyake vya upole, akamwambia:
"Unapumua haraka... au ni mimi nimekupa mshtuko?"
Baraka alicheka kwa sauti ya chini, kisha akasema, "Wewe ni hatari. Na bado ninakutaka.
Kisha mikono ya baraka ilipenya kwenye himaya zote za aziza lakini ilipofika kwenye madodo tu . Aaaaaaaagh baraka" ilikuwa ni sauti ya Aziza
Baraka alitoa mti na kuanza kufanya anavyojua yeye .Aziza hakuwa na jins zaidi ya kuonyesha ushirikiano zoezi lao la upelekaji moto uturuki liliendea kwa muda kidogo mpaka pale ilipokatishwa na hii sauti ya Neema ikasikika kutoka chumbani:
"Baraka! Uko wapi mume wangu?"
Mlio wa sauti hiyo ulitawanya kila chembe ya joto. Aziza alishtuka na kuachia mikono yake, Baraka naye akarudi nyuma haraka kama kijana aliyekutwa na mwalimu darasani.
Alitoka chumbani mbio mbio na kuelekea jikoni na kumwacha Aziza chumbani alikimbia kama mshale.
Lakini chumbani alikijilaumu na kumlaumu Neema amemkatisha alikuwa karibu kufika kilele cha mlima kilimanjaro ...alikuwa anajipiga piga kitandani kwa hasira.
"Nipo jikoni mke wangu!" Baraka alijibu kwa sauti ya kujificha.
baraka akajifanya anaosha sahani haraka haraka huku macho yake yakiwa yamejaa wasiwasi.
Neema alifika jikoni akivaa kanga, macho yake yakikagua mazingira kwa haraka.
"Baraka, umeanza kuosha vyombo toka lini jamani ?"
"Nilikuja tu si unajua lazima na mimi nifanye hizi kazi hata kama kuna mfanyakazi." Alijibu huku akijaribu kuzuga zuga angalau isiwe shida kubwa sana
Na hapo hapo Aziza naye alikuja na kujifanya ndo kaamka sahizi . Mmmmh waaaaaaaa! Alikuwa anapiga miayo ya kutosha
Neema akamtazama Aziza, kisha akasema:
"wewe ndo unaamka saizi?"
" Ndyo bossi bahati mbaya"
" Bahati mbaya ya nini"
" Kuchelewa kuamka "
" Una uhakika umeamka sahizi?
" Ndyo bossi wangu"
" Mmmnh umeanza uongo lini Aziza?
Aziza alishtuka na kuhisi bossi Neema kama amegundua hivi
LEO NATUMAI NAPATA HELA YA BANDO KAMA KWELI SIMULIZI ZANGU ZINAKUPA BURUDANI NA UNATAKA BURUDANI IENDELEE FANYENI MPANGO WA BANDO
Natumai hamtaniangusha leo maana mkiniangusha mtanifanya nijuwe nina mashabiki ambao hawanipendi mimi wanapenda kazi zangu tu
0699286085
Airtel money.