Manze kisubmarine hapa mathe alikua ananiweka kwa frying pan
Me : No..utaingia aje na CCTV cameras zitakuona?
Mama Bianca : Nime deactivate the three cameras
Me : How?
Mama Bianca : Mimi nimekaa hapa mbele ya kila mtu i know my ways out of this place..fungua
Manze kiundercover nilifungua mlango worried sana😂💔. Akaingia. Kuangalia kwa mkono ako na two glasses. Akachill pale kwa kiti
Me : Mbona unamwaga kwa glasses mbili
Mama Bianca : Si i thought pia wewe unaonja?
Me : Ooh tho sikutaka
Mama Bianca : Usiogope
Manze tukaanza kukata pale. Tulikunywa karibu iishe. Ikabaki quarter
Mama Bianca : Wuuueh sasa naskia imefika kwenyewe😂..weka hio yenye imebaki vizuri nitarudia..si ulale poa
Me : Poa
Mama Bianca : Next I'll give you money for some juice ya kuunda mdomo after tumekunywa
Mathe alitoka hapo akajilima kwa mlango😂💔. Ikabidi nimuamshe. Nikafungua mlango akastagger akaishia kwake. Hao yangu na yake zilikua karibu. Huyo mathe manze akiendelea hivi anaweza niweka kwa moto😂💔.
The first morning nikaamka 8am pale. Nikaona Marcel anaota jua kwa garden. Nikafika kumgotea
Me :Hello
Marcel : Aah young man..ona wazee tunaamka mbele yenu vijana wadodgo
Me : 😂😂😂uchovu
Marcel : Anyway unaona aje hapa kwangu..kunakupeleka aje
Me : Iko poa kabisa
Marcel : Hawa waschana hawaleti kiburi?
Me : Hapana wako sawa😂
Marcel : Unajua i only have one son..that Darwin..sasa nataka ukikaa na yeye mfunze on how to become a man..i want him to be strong like you..guide him i want you to be his role model
Me : Ni sawa boss I'll do that
Darwin akaamka akakuja hapo akatugote
Marcel : Darwin ujue sikuleta hapa Carl akae kama picha..make good use of him
Darwin : Ni sawa dad
Marcel : Yeah nataka ukue kama Carl..a young focused man
Mzee alikua ananipea sifa pale hajui nilikua nimejivalia ngozi ya kondoo😂. Siku nitachomoa the lion in me atakimbia akose mahali pa kujificha😂. Mama Bianca akatoka kwa hao. Akapita pale bila kugotea bwana yake😂. Akaingia kwa dinga wakatoka na driver.
Marcel : My son kuna mambo mimi naweza kukuambia i know I'm like a father to you
Me : Yeah yeah
Marcel : You see women..they are very complicated najua unashangaa mbona my first wife hawezi niongelesha but one day you will know why..tuende kwa nyumba
Tukatoka pale tukafika kwa hao. Quincy alinijenga hug flani hadi Marcel akaclear throat maze😂. Yani hug iko warm manze boobs zinajaa chest hadi nashindwa kupumua😂. Breakfast ikasetiwa tukajipin
Mama Quincy : Hey honey leo uliamka mapema
Marcel : I wanted that morning sun.. how's my baby
Mama Quincy : I'm good.. Carl sasa
Me : Poa sana
Tukajipin breakfast pale. Mama Quincy akaanza kukiss mzee wake pale. Nikaangalia kando😂. Tukaendelea kujipin. Tena akamkiss😂💔. Britney akatokea huko. Huyu dem alikua amenichukia tu naturally. Kuniona kwa table akaroll macho na akarudi upstairs. Tukamada kudishi. Marcel akaprepare akachomoka. Nikajipin kwa ofisi kurecord supply zitakuja afternoon. Mlango ikabishwa. Mama Quincy akaingia
Mama Quincy : Na hio ofisi yako ni baridi
Me : Si sana😂
Mama Quincy : Umezoea😂
Me : Yeah
Mama Quincy : So how are things.. you need to update WiFi fee..
Me ; Nili update kitambo
Mama Quincy : Wow you are sharp..did i irritate you?
Me : Mbona
Mama Quincy : Unajua mimi na baba Quincy sometimes we get really intimate tunasahau tuko kwa watu..i kissed him tukiwa kwa meza nikaona ni kama you felt bad
TO BE CONTINUED 🔥
Wakuu. Tap pale kwa profile kuna three dots on your left and choose invite friends to follow this page. Invite wote🔥.