Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NAKUPENDA KWELI ❤️❤️❤️❤️ Sehemu ya kwanza

1st Jul, 2025 Views



Ilikuwa ni majila ya mchana juwa nalo alikiwa linawaka watu wengi walikuwa wametulia kwenye vivuli na wachache walikuwa wakiendelea na mishe mishe za mjini

Jamaa mmoja alikuwa akitembea huku akiwa anaongea peke yake🗣️

Yaani unaweza ukasema amelogwa akitembea njia nzima huku anaongea peke yake 🗣️🗣️

Mala kuna mtu alimshika bega yule kijana aligeuka kwa hasila sana alikasilika kwa kitendo kile😡😡

" wewe mbwa nani amekupa ruhusa ya kunishika ee nakuuliza wewe🗣️🗣️

Aliongea huku akiwa anafoka 🗣️

" samahani kijana toka kule nakuona unakuja huku ukiwa una ongea peke yako embu niambie nini shida

" wewe mwanamke una akili kweli haya ukijuwa shida yangu utanisaidia nakuuliza wewe utanisaidia

Yule kijana aliongea kwa hasila sana lakini yule mama alitabasamu kisha alimwambia

" kijana hakuna jambo ambalo lina shibdikana lakini mjini hapa hakuna kitu cha bule kama upo tayali tukae niambie shida yako na mimi nitaitatua na wewe unatakiwa kuitatua shida yangu🙏

Aliongea yule mama huku akiwa ni mtu mwenye tabasamu pana alitulia yule kijana alitafakari kwa muda kisha alimkubalia yule mama

Basi walitafuta sehemu nzuli kisha walianza mazungumzo

" pole sana kijana bila shaka kuna jambo linakuumiza sana kichwa chako na bado hujajuwa njia ya kulitatuwa hilo tatizo

Ni kweli nina tatizo kubwa ambalo kwenye kichwa changu sijui ni jinsi gani ya kulitatuwa

Aliongea yule kijana huku machozi yakiwa yana mdondoka😭😭

" usijari mimi nipo kukusaidia kwani una shida gani

Mama yangu ni mgonjwa anaumwa sana tena sana na hospital wanaitaji pesa mimi hapa nilipo pesa sina na sijui ni jinsi gani naweza kumsaidia mama yangu

Na sina ndugu mwengine wa kwenda kumuomba msaada nashindwa nifanye nini mimi

Aliendelea kumwaga machozi 😭😭 kijana yule aliendelea kulia kama mtoto mdogo mama yule kwa sauti ya upole akamwambia

" kwani kinatakiwa kiasi gani cha pesa ili mama yako aendelee kupata matibabu

Aliongea mama yule kisha aliamtazama kijana wa watu ambae alinyamaza kulia akimuangalia yule mama Kwa jicho la shauku

" tatizo mimi sina hata mia najuwa mimi niwe na kiasi hata kidogo lakini mimi sina sina kitu mimi

" najuwa huna kitu niambie ghalama za matibabu kwa mama yako ni kiasi gani

" inatajika million tatu na nusu mimi sina mia kipande je wewe unaweza kumsaidia mtu kama huyu jibu hapana mama yangu anakufa kwa ujinga wangu

" naomba unisikilize mimi nitakupa hiyo pesa ili ukamtibie mama yako lakini kwa sharti moja si unajuwa kuwa mjini akuna cha bule

" kama unataka niwe mtumwa wako nipo tayali maisha yangu yote niwe mtumwa wako maisha yangu yote nitakutumikia wewe endapo upo tayari kunilipia hiyo pesa ili mama yangu apone

" kwanza nafurahi kukutana na kijana mwenye moyo wa upendo kama wewe ni mtu unae mjali mama yako

aa mimi nipo tayari kukupa pesa lakini sio kwamba nakupa msaada lakini Kuna kazi nataka nikupe

Najuwa nimekuzidi umli yani wewe na mwanangu pia mwanangu ni mkubwa lakini naamini kwakuwa unataka kumsaidia mama yako ili jukumu utaliweza

" embu niambie ni jukumu gani hilo eee niambie ni jambo gani hilo

Yule kijana aliongea huku akiwa na shauku ya kutaka kujuwa kwamba ni jambo gani ambalo mama yule analitaka ili apate pesa akamtibia mama yake

" ni mwaka wa tatu sasa toka tuachane na mume wangu nimeishi peke yangu bila yeye lakini mume wangu huwa ananiumiza sana kwa sababu nampenda sana

Aliongea yule mama kisha alisita kidogo na kuendelea

Mume wangu nampenda sana lakini yeye haishi kunitoa machozi yani Kila siku nalia Kwa sababu yake

Mala nyingi huwa anatoka kimapenzi na waschana wadogo umli wa watoto wake shida aniumize mimi

Nashuku kukutana na wewe nataka nikupe kazi moja

" kijana kama unataka pesa za kwenda kumtibia mama yako je upo tayari kuwa kwenye mahusiano na mimi

Ni kauli ambayo ilisikika kwenye ngoma za masikio ya yule kijana ambae jina lake bado hatujalijuwa na kumfanya ashtuke

" kijana chaguwa mawili kuwa kwenye mahusiano na mimi ili mama yako apone au kukataa ili mama yako apoteze maisha na mama yako akipoteza maisha hakuna wa kulaumiwa zaidi yako wewe

Mama yule aliongea huku akiwa anamtazama yule kijana usoni nae aliamtazama yule mama

Kwenye akili yake alikubali kufanya kila kitu ili mama yake apone mama yule alipoona kinya alijuwa kuwa kijana yule amekataa

" naona umeshindwa kufanya kile ninacho kuitaka

Mama yule alitikisa kichwa chake kisha aliinuka ili aondoke zake lakini kabra hajapiga hatua alishikwa mkono

Alipo geuka alishangaa ni yule kijana akampiga busu yule mama

Full stori sh 1000
WhatsApp no 0693509945.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAKUPENDA KWELI ❤️❤️❤️❤️ Sehemu ya kwanza  >>> https://gonga94.com/semajambo/nakupenda-kweli-sehemu-ya-kwanza
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest