Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NIPE YOTE DADY💞💞💞37

1st Jul, 2025 Views 9



Baada ya dawa kushindwa kumsaidia Jeni alifanya uamuzi wa kwenye kuinyofoa mi mba yake moja kwa moja hospitalini..

Kwa bahati mbaya zoezi lile lilienda tofauti
kwani Jeni alitokwa na dam nyingi nakupelekea
kupoteza maisha🥺💔

Jeni aliaga dunia habari yake iliishia hapo...
Taarifa ya kifo cha Jen ilimfikia Selim zilikuwa ni taarifa za ghafla na za kushangaza..

Selim aliumia mno💔💔😢Jeni alipumzishwa katika nyumba yake ya milele nilienda msibani nikiwa nimeificha sura yangu sikutaka kuonekana kwa mtu yeyote..

Nilimuona Selim aliekuwa katika upweke wa hali ya juu💔nilimhurumia sana nilitamani nimfuate nikamtie moyo lakini tyr nilishaamua kukaa mbali acha nitulie nione mambo yatakavokuwa..

Jioni baada ya mazishi niliondoka nikiwa na Skyler tulikwenda katika hotel moja hivi kwa ajili ya kupata chakula..

That time Skyler alikuwa karibu yangu sana lakini ndo hivo nilimuomba kwanza tuwe kwenye mahusiano ya kirafiki tu na si mapnz..

Bado sikuwa tyr kumruhusu mwanaume yeyote auibe moyo wangu Skyler alifanya kila analoliweza ilimradi tu nimsahau Selim lakini haikuwa rahisi..

Maisha yaliendelea Skyler aliendelea kunifanyia kila kitu🥰🥰nilianza kuwa mtu mwenye furaha muda wote 💞💞 nilisahau mambo yote ya zamani nikaanza kuinjoi maisha..

Siku moja nakumbuka ilikuwa ni siku ya birthday yangu Skyler alinitoa out tukaenda sehemu moja hivi kufurahia..sasa huko tulikoenda bwana kumbe Jabir alituona...

Tulisherekea zetu pale tukala na kunywa tusijue kumbe Jabir alikuwa anatupiga mapicha ampelekee selim..sisi wala hatukujua kama Jabir yuko pale..

Tulienjoy tukamaliza tukaondoka tukarudi nyumbani... huku nyuma Jabir alikuwa anafuatilia kila kitu aliona mpaka sehemu tunapoishi akaenda kumwambia Selim..

Na kipindi hicho unaambiwa selim alikuwa ananitafuta usiku na mchana bila mafanikio..basi kitendo cha Jabir kumwambia kuwa kaniona Selim usingizi wote ulimuisha..

Aliamka na kukaa vizuri
kisha akamuuliza Jabir. .
"Una uhakika umemuona?"
"Ndio nimemuona akiwa na kijana mmoja hivi subiri kukuche nitakupeleka mpaka wanapokaa"
"Kijana??! "

Selim alichanganyikiwa baada ya kusikia niko na mwanaume mwingine alilia na kumwambia Jabir

"Ni ujinga wangu ndo ulimfanya Norah akaondoka nahisi tyr nimempoteza" selim aliongea kwa uchungu sana"
Jabir alisogea na kumshika kisha akamwambia.
"Sio ujinga ilibidi iwe vile ila bado unanafasi
kwasababu Norah bado ni mke wako hivyo
unaweza kumrudisha kwenye maisha yako ila
tu tunapaswa kutumia akili kwasababu
kuubadilisha moyo wake sio kitu rahisi nadhani
unamjua Norah vizur"

"Jabir najua ndio ni mke wangu lakin kwenye
karatasi maana hatukuwahi kuwa na mapnz
hapo kabla hivyo sio rahisi kama unavyofikilia"
"bro yule ni mkeo hata kama ni kwenye
karatasi bado nafasi unayo..hata kama wameshapika na kupakua tutaosha na
kupikia tena""

"Jabir chunga kauli zako hizo sidhani kama
Norah anaweza kuruhusu mwanaume yoyote
kumgusa"
"Et eeh😂😂 kwa sababu sio mzima ee??na hana nguvu za kike si ndio ee?"
"🗣🗣Jabir""

""haya usije kunifia hapa ila ukweli nikwamba
binti yuko na lijamaa lingine tena limeshiba kupita maelezo hivyo lala ukiamka uwe na
jibu tunafanya nini mimi ngoja nikaombe
maombi lijamaa jogoo asiwike ili lisije likampanda
jike wetu bure 🤣🤣🤣"

"Jabir hanaga akili yule🤣🤣aliongea kiutani bila kujua anamuumiza mwenzie😂😂"

Aliinuka na kuondoka akamuacha Selim akiwa
amekaa huku akili ikiwa imeshavurugwa
aliwaza inamaana sasaiv kuna mtu anaekula
chakula alichotakiwa kula yeye
Usingizi uligoma

Upande wangu tulikuwa tuko bize kucheza
game jamani hivi mnajua nimekaa na Skyler
mda wote huo hajawahi kuniomba naniliu wala hata kuonesha dalili za kunilazimisha nimkubali..

Basi tulicheza gem hadi saa sita usiku ndio
tukaagana na kwenda kulala.
Kesho yake asubuhi niliamka kwakuchelewa
nikapiga mswaki na kutoka nikakuta kidume
kashaanda chai iko mezani

nilitabasamu na kwenda jikon ambako nilisikia vyombo vikigongana nikasimama mlangoni na kusema.
"hello kijana wajiran
mara nyingi huwa na
muita hivyo na hapendi balaa,aligeuka na
kuniangalia kisha akauliza.""umeamkaje?""""
""kama unavyoniona nimeaka ubavu ubavu
wewe je !?"""
"""niko vizur kama unavyoona alafu chai iko
tayar unaweza kwenda kunywa
""ninaweza kwani wewe hauli au vp
"""nakuja namalizia hapa kwanza
nilisogea na
kumsaidia kusuza vyombo, nilimuangalia
hakuwa sawa""

Basi tulimaliza tukajongea mezani na kupata
chai mda wote hakuwa na story kama ilivyo
kwaida yake, uvumilivu ukanishinda
nikamuuliza."""Skyler uko sawa kweli?"" Alijibu ndio

kisha akainuka na kupeleka vyombo alivyotumia jikoni..niliinuka nikaacha kunywa chai nikamfuta nakumuongelesha.
""hauko sawa niambie nini kimetokea au
nimekukwaza ?"
""Norah nimekwambia niko sawa
"No Skyler hauko sawa sura yako hata ongea
yako inasema hauko sawa kabisa, niambie
shida nini basi dady na kama nimekukwaza
niambie but please usiwe hivi"""

"No haujanikwaza kitu chochote ila nasikitika
kwasababu ninatakiwa kurudi nyumbani kushughulikia maswala ya familia nitakumiss
sana sitamani kukaa mbali na wewe kwan""
sikusubiri amalize nikamkumbatia na
kumwambia.
"haina haja ya kuhuzunika mimi nipo na
nitakuwepo kwaajili yako ndio utaenda ila
nitakusubiri na tutakuwa wote tena
Alinitoa kwenye kumbato na kuniambia
"""unachokiongea ni kweli daima utakuwepo
kwaajili yangu"
""yeah nikweli nitakuwepo leo na siku zote"
niliongea huku nikimungalia usoni,alinisogelea
tukawa zero distensi akasema ""rudia tena
nikamwambia."ndio nitakuwepo kwa ajili yako dai""

sikumaliza nikashangaa vitu vilaini mdomoni kwangu mungu wangu nilitulia kama nimepigwa shoti tangu nizaliwe sijawahi😁😁

Nililegea asikwambie mtu🙈🙈nilisikia utm unazidi my wenu nikaanza kutoa ushirikiano😩nikapeleka mikono yangu shingoni kwa Skyler afu nikafumba macho nyieeee ananyny vizuri..

Tulishtuliwa na simu nikakimbia chumbani kwangu nikamuacha Skyler anaongea na simu..nilienda nikasimama kwenye kioo na kujiangalia huku
nikishika lipczangu..

Skyler alinifuata kule chumbani akanikmbtia aliniambia Norah nkpnda sana wewe ndo mwanamke wa ndoto zangu...nazani huu ni muda sahihi wa sisi kuyaanza mahusiano yetu ya kimpnz

Nilifikiria mengi sana ya nyuma nikawaza vingi alivyonisaidia Skyler kwanini najibania? Acha tu nimkubali aliniomba nimkubalie awe mwnme wangu nikamwambia sawa nimekubali..

Skyler alifurahi sana aliniomba nijiandae tutoke alidai anataka kunipeleka sehemu twende tukaweke kumbu kumbu ya pnz letu..

Nilijiandaa nikapendeza hatari tulitoka tukaingia kwenye gari haooo tukaondoka zetu..

Sasa kumbe Selim na Jabir waliamkia pale tunapoishi na muda wote walikuwa nje ya nyumba yetu wakivizia Vizia Skyler atoke ili waje kunichukua..

Wakati tunatoka walichukua gari fasta wakatufuata nyuma..Skyler alinipeleka studio kwa ajili ya kupiga picha..

Tulipiga mapicha ya kutosha tumemaliza picha akanitoa kuna sehemu akanipeleka nyieeee mimi mwenyewe nilishangaa vitu vyote vile viliandaliwa sangapi??

Hiyo sehemu ilikuwa pembezoni mwa swimming pool palipambwa vizuri kwa ajili yangu na Skyler tulikula na kunywa kisha tukaanza kuogelea pamoja..

huku nyuma Selim alikuwepo kwambali akawa
anatuzoom tu.

Sijui kama kuna mchezo ambao hatukucheza siku hiyo hakika ilikuwa ni siku ya furaha kuliko siku zote nilizokuwa na huyu mbaba wangu.

Jioni ilifika tukarudi zetu nyumbani mda huo Selim walikuwa wakigombana na Jabir, Selim aligoma kabisa kurudi nyumbani nakutaka kuja
kunichukua kwa nguvu ila Jabir akawa
anamzuia maana alijua litatokea bonge la vurugu mechi..

Sie huko nyumbani tulifika na kila mmoja akaingia
bafuni na kuoga baada ya kuoga nikabaki nimekaa chumbani kwangu nikiwaza nilale au
nikalale kule kwa Skyler..

Norah please usimsaliti Selim wetu😭😭😭

Nini kitafuata??.

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIPE YOTE DADY💞💞💞37  >>> https://gonga94.com/semajambo/nipe-yote-dady-37
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest