Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

NAISHIWA PAWA NA KATOTO KAFOM4 EPISODE 3

4th Jul, 2025 Views 37


‎Basi ilikuwa sauti ya shoga yao mwingine muite Neema alikuwa naye amejifanya kalala kumbe anausikiliza ubuyu vizuri baada ya kuona umekolea na mtamu zaidi ndo maana kaamka ili ampongeze
‎" heeee shoga we ni balaa mi Amosi nina miezi sita sijamwambia nampenda wewe wiki moja tayari unampenda kelvin na yeye anakupenda "
‎" mmmh hujalala? Ila wewe kwa umbeya sio siri wewe ni kiboko.
‎" hapana shoga mi sipo hivyo mbona ni mambo ya kawaida tu '


‎Basi kama unavyowajua wanafunzi stori zao wakiwa bwenini nikushauriana vitu mbalimbali viwe vya maana au vya kijinga we twende tu .

‎Mwisho kila mtu alipata uchovu na wote wakalala ,na wote wakalala. Siku ile ilipita ikiwa tayari Nasra kamwambia Amosi kuwa anampenda lakini lengo lake kubwa ni kutaka kula vizuri tu shuleni.

‎Na anajua kale kamsemo " ukitaka kumshinda adui yako lazima umjuwe zaidi. Lakini kadri siku zilivyozidi kwenda alijikuta anaanza kumuona Amosi tofauti na kuna kitu kama kimeanza kuota sugu moyoni mwake

‎Siku moja majira ya saa mbili usiku akiwa anamsubiri kelvin kwenye mtu ambao ndipo wanakutana mara nyingi .kilikuqa kuna kagiza fulani hivi ambako kalimfanya aogope kidogo ....


‎Alijisemea hili limwanaume mpaka sahizi halitokei linazani ni sifa mi kukaaa hapa .alikuwa aking'ata kucha huku anapiga pga miguu yake chini ..Alikaa kama dakika kumi hivi jamaa hata hatokei .Baridi ni kali na kunatisha katoto kaform 4 kaliona sasa isiwe shida ...

Alianza kupiga hatua kuondoka akiwa kakasirika sana hajapiga hata hatua mbili mara ghafla alishikwa mkono na kuvutwa karibu .Alikuwa ni Kelvin alimsogeza karibu kiasi kwamba walikuwa wapo zero distance kila mtu anavuta na kuisikia hewa ya mwenzake ...

Wakaanza kukiss kila mtu akionyesha kummis mwenzake .yaani mambo ni moto .kidogo waende mbali baada ya Nasra kutaka kufungua zipu ya suruali ya kelvin lakini Kelvin alimzuia na kutikisa kichwa hapana "usifanye hivyo"

Muda huo Nasra katulia kama maji mtungini dunia aliyopo huwezi kwenda kwa miguu ni safari ya hisia nzito sana.. Alikuwa anataka kupewa huduma ile ambayo kwa safari waliyoanza na mahala waliopo alistahili

Basi mara ghafla ilimulikwa tochi ya mlinzi ,ikabidi wajifiche mlinzi akauliza " nani yulo hapo? Lakini kulikuwa kimya . Akasema kwa sauti " hii shule wachawi hawaishagi ila hayanihusu sina mtoto wa kusingiziwa sasa tabu za nini kwangu .

Akageuza na kuendelea kulagua maeneo mengine ndipo wao wakainuka na kuendelea na walichotaka kufanya muda huo amosi aliingiza mkono mfukoni na kutoka kitu kama kacha higi ilikuwa ni nzuri na kwa kadri anavyoijua Nasra ni ghali sana .....

Kelvin alimvalisha haraka haraka huku akitetemeka maana tayari mlinzi kabadilisha Hali ya hewa lakini upande wa Nasra alikuwa tayari ana hasira sana kwa nini mwanaume huyu hataki wafanye mapenzi na kuona labda kama jamaa hampendi
" Nimekwambia nataka tufanye saizi"
" Mmmh hapana tusifanye"
" Unamaanisha hutaki tufanye?
" Ndiyo sitaki tufanye "
" Haya powa " akavua ile kacha sijuwi bangili ila ilionekana ni ya gharama sana

Na kuitupa chini hapo na kumwambia kuwa
" Kuanzia leo usinijuwe " kisha akaondoka zake

Nasra nasra ... Ni jina ambalo aliliita Kelvin mara nyingi lakini Nasra hakugeuka na kachukia sana . Alishila kiuno na kusema
" Ona sasa nimepeperusha njiwa wangu mwenyewe"
Alivuta pumzi ............oooooooooooh

ITAENDELEA

Full 1500
0699286085.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAISHIWA PAWA NA KATOTO KAFOM4 EPISODE 3   >>> https://gonga94.com/semajambo/naishiwa-pawa-na-katoto-kafom4-episode-3
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest