Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

JINA ...............................BAKORA VILLAGE ARTS................................KELVIN MLOWE NO .....................................EPISODE 4

4th Jul, 2025 Views 43



Hamisa akaachia kinguo chake taratibu kana kwamba alikuwa akivua mzigo wa laana ya miaka mingi. Kitambaa kiliteleza taratibu chini ya mwili wake na kuanguka kimya juu ya mavumbi ya jukwaa. Mwili wake ulionekana sasa dhahiri mbele ya macho ya Luca haikuwa miujiza, bali ni uzuri wa kufuru, wa mwanamke aliyeumbwa kukamata, kuharibu na kuliendesha penzi kama jeshi la kivita.

Luca alibaki mdomo wazi. Akajikuta akimeza mate kwa hofu na tamaa. Hamisa alimsogelea taratibu, akipiga hatua kama anacheza kwenye muziki wa mapenzi, huku macho yake yakimtazama Luca kwa jicho lenye maelekezo si ombi, si ombi kabisa… ni amri.

Lakini kabla hajamfikia, ghafla taa za moto zilizokuwa zikiangaza jukwaa zikatikisika. Upepo mkali wa ghafla ulivuma, ukazima taa tatu, na ngoma zikafifia.
Ukumbi ukatawaliwa na ukimya.
Wanawake wote waligeuza shingo zao kuelekea upande mmoja penye kivuli kilichokuwa kikisogea taratibu. Hakuonekana vizuri, lakini sauti ya kutambaa kama nyoka ikaanza kusikika. Kisha

"Mwache."

Sauti hiyo ilisababisha Hamisa kushtuka, akapiga hatua moja nyuma kwa haraka kama mtoto aliyenaswa akiiba.
Wanawake wote waliinamisha vichwa vyao chini, hakuna aliyemwangalia mgeni huyu wa ghafla usoni.

Luca, akiwa bado kwenye mshituko wa kile kilichokuwa kinatokea, alijaribu kuinuka jukwaani. Mavumbi yalikuwa yamemshika mwilini, jasho likimtoka, na macho yakimtafuta yule mzungumzaji.

Ndipo akatokea —
Mwanamke mmoja, mrefu, mwenye ngozi nyeupe kupita kawaida, macho mekundu kama damu na nywele ndefu zilizoning’inia mpaka kiunoni. Alikuwa amevalia vazi moja refu jeupe lililokuwa limetengenezwa kwa ngozi ya pundamilia safi — liking’aa chini ya mwanga wa mwezi uliokuwa juu angani. Hakusogea haraka. Alitembea kama mtu ambaye ardhi inampisha njia.

“Mama Zadi...” wanawake wakazungumza kwa pamoja, lakini kwa sauti ya hofu na heshima.

Mama Zadi akamsogelea Luca. Alimkodolea macho bila hata kupiga miayo. Halafu akasema:

“Umefunguliwa haraka sana. Hujajifunga… bado hujajua gharama ya utamu unaopewa.”

Luca alitaka kuuliza, lakini Mama Zadi akamtazama kwa jicho moja tu, na ghafla alifunga midomo. Akawa hawezi kuzungumza. Akawa kama anazungumza ndani ya kichwa chake tu.

“Wapendwa wangu,” Mama Zadi akaendelea huku akiwaangalia wanawake waliomzunguka, “Bakora si mchezo. Huyu mwanaume hajajua chochote. Hamjampima kiroho, kimwili wala kiakili. Yeye bado ni tamu ya nje tu. Hatufanyi hivi.”

Hamisa alijaribu kuingilia, “Lakini Mama Zadi—”

“Kimya Hamisa!”
Sauti hiyo ilimfanya Hamisa apige magoti palepale.

Mama Zadi akamgeukia Luca tena. Akapiga hatua moja mbele, akamgusa usoni.
“Unataka kuishi, au unataka kufa kwa raha?”

Luca alitikisa kichwa polepole, hakuweza kujibu kwa maneno.
Mama Zadi akatabasamu.

“Kesho asubuhi, atapita Jaribu la Mwili. Na kama atashinda, basi nitamruhusu aingie kwenye mahekalu yetu. Lakini kabla ya hapo… mpelekeni chumbani kwangu. Mimi nitamlinda usiku wa leo.”

Wanawake wakashtuka.

“Mama Zadi! Sio kawaida yako!” Nashira akajibu kwa woga.
“Ni kweli… lakini huyu sio mwanaume wa kawaida,” Mama Zadi akajibu kwa utulivu.

Wanawake wakamtoa Luca jukwaani kwa heshima. Hakuna tena aliyegusa mwili wake kwa tamaa. Walitembea naye kimya kuelekea upande wa pili wa kijiji, kwenye nyumba kubwa iliyo jengwa kwa udongo mweusi, milango yake ikiwa ya shaba na pazia zikiwa za manyoya ya ndege adimu.

Walimlaza Luca pale kitandani, na kisha Mama Zadi akaingia ndani.
Akakaa pembeni, akampa kikombe kingine.kisha akamtoa kilinda himaya na kuanza kuilamba pipi ....

Aliendelea na zoezi hilo mpaka pale luca alipojiluta bomba yake ina mwaga maji

“Usijali, haya ni maandalizi tu. Zoezi hili linaondoa tamaa, Na usiku wa leo ndo usiku wenyewe kisha akamkonyeza

Luca alikuwa tayari upwipwi umempanda akajikuta akimshika mama zaidi kiun🦋

Macho ya mama zaidi akawa anayafunga taratibu, kisha mama zaidi akasema.....

Powerered by KELVIN MLOWE.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JINA ...............................BAKORA VILLAGE ARTS................................KELVIN MLOWE NO .....................................EPISODE 4  >>> https://gonga94.com/semajambo/jina-bakora-village-arts-kelvin-mlowe-no-episode-4
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest