Mama joy alinishika akanibembeleza😭😭😭. Nlianza Sasa kulia non-stop cause I felt the first love after rejection na almost kila msee in the society. Hapa ndo nkajua in this world Kuna tu watu wazuri, watu wako na roho Safi ya huruma🤨🤨 even if they are not your relatives 😰.
"Please calm down Violet, hakuna tatizo inaweza kosa jibu, you share that issue am ready to help 😰😰" nling'ang'ana kujicontroll nkaangalia mama joy pia tears started forming in her eyes. Nlitake time kiasi nkarelax utulivu ikarudi.
ME: Mimi nmechoka na hii dunia, nmeteseka ya kutosha. Kuwa betrayed na love ya mzazi is such a painful thing 😰😰. Sijui nlifanya dhambi gani kubwa kubeba uyu mtoto ako kwa tumbo yangu, haki nmechoka na hii dunia😭😭😭😭 nlilia tena round 2
Mama Joy: ( akinibembeleza akilia pia😭😭😭) please relax my dear, please cool down we talk about this...
Tulienda hadi kwa nyumba. Nlimwonyesha Ile set up yangu, set up ingekuwa imenipeleka to the other world.set up ya kifo😰💔
Mama joy:🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🤷 oh my God( akijishika kichwa ) Violet is this real or in Dreamland. God of Nazareth. (Akishika mikono ivi🙏🙏) thanks God she never did it, usifiwe milele Mungu wangu.( Akiniangalia in disbelief) my dear😳😳😳, please thank God I arrived in time. Ata nlikuwa nakunywa chai kitu ikaniambia nkuje uku mbiombio. Kumbe ni mungu amenitumia🙏🙏 thanks God.
After kudisconnect Ile set up na kuchange nguo nkakalishwa chini na mama joy 😰😰😰. Alikuwa amenitreat Kama mzazi wangu.
After kunarrate the whole story
Mama joy: my dear, nmeskia your full naration, am very sorry for that. Please nmejua auntie anakutesa but I will make sure hautakosa kitu, najua sai umebakisha miezi Kama tatu ujifungue so itabidi nkusaidie ndo uache stress cause itadhuru afya ya mtoto 😰😰😰. Ingawaje Mimi naoshea watu nguo ndo npate pesa, ntakusaidia my dear. Please don't lose hope in life...
ME: ahsante Sana mom😰😰😰.
Nliona mama joy Kama angel ametumwa kuniokoa. Kwa kweli kusaidia ni heart si kuwa na Mali. nliona struggles za mama joy na ukarimu yake nkafeel.
Mama joy: alafu my dear Kuna kwa sonko flani hapa juu karibu na Ile nyumba iko na matanki mingi, iyo kwa Ile kiosk ya Claudia , hapo huwa naenda kazi ya kuosha nguo na wanalipa watu poa na uko matime ingine ata unaweza lipwa extra azin upewe tip. So nadai nkuconnect uko ukuange unafanya fanya kazi uko kiasi kitu one month ivi but ukue unafanya kiasi because of your condition. Acha nkifanya kwingine ntakuwekea ya shopping kiasi cause sioni uyo auntie akikusaidia😰😰😰.
Nliangalia mama joy nkaanza kushindwa kucontrol my tears😭😭😭😭😭. Nlifeel kabisaa mungu at long last ashanitumia msaidizi 😭😭😭. Nkiendelea kulia sauti ya gari kwa gate ikaskika😳😳. Nkajua auntie ashafika na venye hawakuwa wanaenda njia moja na mama joy🙆😳😳😳.......
Nliangalia mama joy mwenye alikuwa amekaa opposite kwa sofa😳😳. Alikaa akitense🤨🤨" unajua uyu auntie wako ata tulikosanaga naye siku ingine nkimwoshea nguo🙄🙄, sijui atasema Nini akiniona huku" mama joy alisema akiwa amekaa kutense kiasi. I wiped my tears hurriedly 😳😳. Nlijua Jezebel alikuwa amefika🙆🙆. Gari Ilifika place pa kupark. Kadap kadap kadap, nliskia footsteps ya auntie akiingi kwa nyumba. "Hii dustbin mbona bado iko na uchafu, ama uyu msherati ameenda kazi tena😳😳" auntie alishout na Ile sauti yake ilitisha nafsi yangu na maneno yake yalinikata maini 😫😫😫😫. It was so hurting uone mtu wa familia akikutusi maneno Kama hayo😫😫😫.
Mama joy alinyamaza ji😬🤫. Macho yetu yote ilikuwa imeangalia mlango tuone Osama akiingia atulipue na maneno😫😫. " Uyu lazima nimf......" Auntie alisimama kwa mlango macho yake ikapatana na ya mama joy🙆🙆🙆( umewai ibia mtiani alafu time umeinua kichwa upatane na macho ya lec). Mama joy pia akamwangalia na macho ya Simba😎. 'jesus of Nazareth 🤷🤷🤷, kumbe every time nkitoka kwa hii nyumba unaleta uyu mama jambazi kwangu😳😳, nani hakujui mama joy, nani hakujui...." Mama joy alinyamaza akiangalia auntie. Nlibaki heartbeat yangu ikipiga🙆🙆. " Mama joy kumbe ndo anakupea mawaidha upate wababa ukiwa na mimba, naongea na wewe Violet 😳😳😳(akiface mama Joy) uyu mama uyu kila mtu anajua alipoison bwanake Benjamin😳😳, uyu mama uyu😳😳" auntie alisema akiwa amekasirika😬😬. Mama joy akaanza kuchezesha miguu yake akiimba nkajua Ile war iko kushuka ni Ile ya Hiroshima💥💥💥💥. " Wewe nani hakujui????" Mama joy alianza😳😳😳 "wewe bwanako hakujangi hapa juu yako, Mimi bwanangu alikuwa mgonjwa kwa bahati mbaya akafa😬😬, wewe nani hajui unalalanga na MCA...." Nlishtukia mama joy amelingwa na kifunguu ya gari kwa uso😳😳😳😳😳😳💥💥💥💥" uuuuuuuwiiii, " sitting room ikakuwa war zone⚒️🪓🔨. Auntie alirukia mama joy akapita naye hadi sofa ikaroll. Nliamka mbio mbio kuokoa but mama joy alikuwa ashapindua auntie na kuanza kumwekelea makofi pa pa pa " uuuuuuuwiiii uwiiii majiraniiiiii kujeni nakufaaa" auntie aliscream. Nling'ang'ana nkatoa mama joy akakubali kuachana na auntie. auntie naye akaamka akijifunika kwanza cause skirt alikuwa amevaa Ilifika karibu kiuno. After kujifunika akapata fimbo ingine ilikuwa hapo kando, alikimbia nayo akawekelea mama joy akamiss ikanipata kwa mkono 😫😫😫😫. Boom majirani wakafika.
"Nini mbaya uku😳😳😳😳"
After tumekuwa separated nkatoka nje na mama joy. Auntie aliingia kwa room akatoa bag yangu na vitu vyangu na kutupa nje. Jirani moja: hey, kwani ni nini mbaya?
....
Auntie alianza kuwa mnyama at once😳😳😳. Within no time mizigo yangu ilikuwa nje ya gate na gate ikafungwa na auntie na akasema "pelekwa na Malaya ako na PhD akufunze wewe bachelor's degree 😳😳, nsikuone kwangu Tena na saisai acha npigie babako simu nimshow ushatoroka kwangu" auntie alifunga gate na kwenda kwake😭😭😭😭😭😭😭. Nlifeel tears ilikuwa inaroll non-stop. "Why always me, Mimi nlifanyia Nini mungu ndo npitie haya jameni😭😭😭" nliendelea kulia majirani wakashangaa🙆🙆🙆. "Kwani uyu msichana amemfanyia nini haki🥺🥺🥺," mama flani mnene alisema kwa sauti ya huruma 🥺🥺.
Tulibaki hapo kwa gate kiasi majirani wakaamua kujitolea kunichangia kidogo ndo niende niishi na mama joy 🥺🥺🥺. Nlifeel dunia ishanikataa kabisaa, nlianza kuregret mbona nlidelay kucomit suicide Ile time "Violet,imagine sai haungekuwa unapitia haya, sai ungekuwa different world" thoughts ikaanza kupita kwa akili yangu🥺🥺🥺. Nlianza kuimagine ndoto zangu nkiwa mdogo nkitaka nkue daktari mkubwa in future ili nchange situation pale home mathee aishi poa na Buda awache kumtesa🥺🥺🥺. Nlipicture iyo situation nlikuwa nkajua maji yashamwagika. Nilibeba mzigo yangu kwa usaidizi ya mama joy tukaenda kwake 🥺🥺. Mama joy hakuwa amebarikiwa vile cause Kama angekuwa financially stable hangeoshea watu nguo. Kwake ilikuwa bed sitter flani iko na bed mbili. Alikuwa na watoto wawili moja alikuwa class 3 na mwingine alikuwa class seven. mama joy alikuwa amepoteza bwanake mwenye alikuwa bread winner so maisha ikaanza kuwa ngumu🥺." My dear, maisha haikui venye mtu umepangia, matime ingine life inakupeleka the other direction. But never give up, kesho will be better than today🤗🤗" mama joy alikuwa ananipea motisha.
So Kama kawaida maisha lazima iendelee. Kila siku mama joy alikuwa anaenda job yake ya kuosha nguo. After kunichapa connection pia Mimi nkapata kazi kwa bwana Claudia. Hapo ilikuwa kwa tajiri flani aliyekuwa anajulikana mtaani. So kila siku nlikuwa naenda job yangu ya kufanya usafi. Mzee Dengdeng as people called him hakuwa mtu mbaya, kila time alikuwa ananilipa over payment cause ya kazi mzuri na maybe aliona situation nlikuwa. Nliendelea kufanya kazi yangu for three weeks ivi time flani nkapata message from baba ya uyu mtoi mwenye alikuwa tumboni, message yenyewe ilitoka kwa Brayo mpenzi wangu mwenye nlipromise stawai m-expose cause nlimpenda... Venye alipata number yangu sijui, but I guessed maybe all this time alikuwa ananitrack chini ya maji....Sikutaka kuletea Brayo shida ama hasiconcentrate na masomo yake na alikuwa form four...
Hiyo day nilikuwa natoka kufua... Kutoa simu kusoma message ilisema...
"Hello my dear, it's me Brayo, look behind"...
Na ukweli kuangalia nyuma, Brayo stood some metres away starring at me... Sijui kama nilifly ama nilitembea coz that same moment nilijikuta between Brayo's arms
𝙏𝙤 𝙗𝙚 𝙘𝙤𝙣𝙩𝙞𝙣𝙪𝙚𝙙..🖋️
Next episode 8pm.