Nikatoka nikaishia. Kufika napata kila mse ako kwa table
Mama Quincy : Welcome 😚
Nikawekewa food nikaanza kudishi. So kwa hii table nimekula mama na waschana wake wawili😂💔. Four sinners looking at each other😂💔.
Marcel : Naona my daugters are grown😂..hizi ni harusi mbili sasa tunategemea😂..
Darwin : Harusi?🤣🤣🤣
Mama Quincy : Mbona unacheka ivo na babako ako serious?😒
Darwin : Harusi sounds low just say wedding🤣🤣💔
Hapa Darwin alikua ananiroast lakini si mbaya🤣💔. Quincy na siz yake walinyamaza vile harusi iliguziwa ju wanjua makosa wamefanya😂. Getting free with kiongozi's kichuma😂💦🍆. Tukaendelea kudishi
Darwin : Na hii wedding ni lini
Marcel : We don't know..they are not ready yet sijasema ati ni soon..bado hawako ready.. right Britney?
Britney : Yeah
Mama Quincy : Quincy?.. who's that lucky dude😂..najua huko kwa kazi kuna kajamaa..tell him dowry payment ni pesa hatutaki ng'ombe ichafue boma sisi😂
Quincy : Mum stop it😂
Mama Quincy : Come on
Marcel : 😂😂😂
Tukamada kina Quincy wakaishia na kina Darwin bedroom zao. Marcel na wife wakabaki. Mi nikatoka nikaishia kulala. Nikashtuliwa na makelele. Kuamka inatokea kwa nyumba ya mama Quincy. Nikaitoka mbio. Kufika napata Faith amepigishwa magoti💔
TO BE CONTINUED🔥
Najua ni fupi wakuu lakini it's better posting than not😂😂🥴.