Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

KAMA UNATAKA KUUTEKA MOYO WA MUMEO UWE RAFIKI YAKE WA KWELI KWA MAMBO HAYA.

4th Jul, 2025 Views 55



Ili kutengeneza au kuimarisha urafiki katika ndoa, jaribu kufanya yafuatayo:

1. Sikiliza, sikiliza, msikilize: Jitahidi sana kusikiliza bila kukengeushwa, bila kutengeneza orodha ndefu ya mambo akilini mwako wakati anapoongea na bila kushughulishwa na chochote. Kumbuka anachokushirikisha kuhusu kazi, malengo yake, n.k.

2. Zungumza naye mambo ya siku hiyo, muunge mkono na tengeneza mazingira ya maelewano.

3. Angalia vipengele anavyovipenda, visome na ujiandae kuvizungumzia.

4. Daima sema “TAFADHALI” na “AHSANTE”, hata kama ndoa yenu ina muda mrefu.

5. Kuleni pamoja angalau mara moja kwa siku.

6. Uwe msamehevu: Usitazame sana kasoro zake na jifunze kukumbuka sifa zake nzuri. Kila mtu anazo sifa hizo… hivyo weka macho na akili yako kwenye sifa hizo chanya.

7. Panga shughuli za pamoja, kama vile kusafiri pamoja, kutembea pamoja, kula pamoja, kwenda nje pamoja… chochote ambacho mtakifurahia mkiwa pamoja.

8. Chekeni pamoja: Usiufanye uhusiano wako na mumeo kuwa mkavu sana usiokuwa na hata maskhara na mzaha. Wanandoa wanaoweza kucheka pamoja, hudumu pamoja.

9. Wekeni muda wa kujongeleana: kuwa na maingiliano ya karibu, kukumbatiana, kupakatana na kupapasana, huondosha vizuizi, hasira na hali ya kukata tamaa. Mara nyingi mtu hupata afueni baada ya kumbatio kubwa, maridhawa.

10. Zungumzeni mambo mazuri: Iwapo utazungumza na rafiki yako kwa namna unavyozungumza na mwenza wako wa ndoa, je atabaki kuwa rafiki yako? Kuwa mkweli na jibu lako.

11. Zingatieni usafi kabla ya kulala, na mlale wakati mmoja. Msiendeshe maisha ya kutengana.

HITIMISHO

Ndoa bora ni ile iliyojengwa kwenye msingi wa URAFIKI imara kati ya wanandoa

Tukutane kwenye GROUP WASP .

0769228130.

Karibu tujifunze sote.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

KAMA UNATAKA KUUTEKA MOYO WA MUMEO UWE RAFIKI YAKE WA KWELI KWA MAMBO HAYA.  >>> https://gonga94.com/semajambo/kama-unataka-kuuteka-moyo-wa-mumeo-uwe-rafiki-yake-wa-kweli-kwa-mambo-haya
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest