Ni majira ya usiku mvua ilikuwa imetoka kunyesha… joto lilikuwa lipo juu sana ni mwendo wa kutililisha jasho.watu walikuwa wnakimbia kimbia kurudi majumbani kwao maana muda ulikuwa umeenda sana .....
Luca ..alikuwa kijana wa mjini, mfanyabiashara wa vifaa vya simu Kariakoo. Alikuwa anarudi nyumbani kwake Mbezi, akiwa na uchovu mwingi kutokana na mizunguko aliyokuwa aliyokuwa nayo. Siku hiyo ....
Lakini akiwaa ndani ya gari lake .aligeuza kichwa akamuona mwanamke mrembo sana. Alisimamisha gari na kumtazama zaidi....
Alikuwa amesimama kando ya barabara, amevaa dera jekundu lililolowa na limebana mwilini kama ngozi. Nywele zake zilikuwa zimelowa. Miguu ilikuwa mitupu, macho makubwa meupe yakimkodolea luca kwa aibu .
“Samahani kaka... naweza pata lifti?”
Aliongea kwa sauti laini na ya kumtoa nyoka pangoni huku akiyazungusha macho kimahaba na kuweka mapozi.
Luca alianza kumtazama kuanzia kwenye nywele kisha shingoni, kwenye midomo lipsi dend... akayashusha macho yake mpaka kwenye madodo mawili mmmmmh mzigo saa sita ... Aliguna
hakufikiri mara mbili. Alifungua mlango wa gari, yule binti akaingia. Harufu ya mwili wake ilijaza gari lote. Alikuwa kajipulizia marashi fulani yenye kunukia ...
“Unaitwa nani?” luca aliuliza.
“Naitwa Cathelini …” akajibu huku akimkodolea nakuyazungusha machon huku kabetua kamdomo.
" Okay ,naitwa Luca unaelekea wapi?
Akatabasamu huku akiset nywele zake na kuongea kwa maringo " hapa mbele"
Basi ukimya ulitawala ndani ya gari lakini luca aligeuka kumtazama cathelinne . Alishtuka kutokana na mkao wake mguu mmoja juu ya dashboard, dera lilishateleza na kuonesha sehemu ya pj lake laini.
Alimshtua na kumwambia mbona umekaa vibaya kaa vizuri basi"
Cathe alijifanya kushtuka " oh sorry am so tired( nimechoka)
Luca alimeza mate. Alihisi roho ikimponyoka. Mitego ilikuwa wazi.
Na alikanyaga mafuta si ya gari, bali mafuta ya tamaa.
Dakika chache baadaye...
Alimuuliza tena " unapoenda hufiki?
" jamani kaka nisikufiche sina pa kulala"
" eh kwa hiyo utafanyaje?
" kwani we unaishi na nani luca?
" naishi pekee yangu tu"
" basi naomba nikalale kwako?
Luca alishtuka ...........
Hiii tunaenda nayo mpak mwisho like comment na kushare kwa sababu simulizi ni mali yenu ......
Powered by story za zamrata
.