mwenye jina kubwa anaemiliki medani kadhaa za ushindi..
Moja ya tukio lililogoma kufutika kichwani mwake ni baada ya kusababishia kifo kwa rafiki yake wa karibu kwa bahati mbaya zilipokuwa zikipigwa ulingoni.
Tukio hilo lilimuumiza sana kisaikolojia likamvuruga akili na maisha yake kuyumba na kupelekea aamue kwenda kuishi mbali huko THAILAND ili asahau tukio hilo
Huko pia akalazimika kujihusisha na mapambano ya kienyeji ya mitaani maana ndio fani yake japo huko anaingiza vijihela kidogo...kikubwa aishi
Sasa akiwa huko ugenini Kuna mwamba mmoja alimfuata baada ya kuvutiwa na utembezaji wake Wa kipigo...akampa ofa ya dola $100,000 kwa pambano moja maalum katika msitu mmoja Wa kutisha uliopo MYANMAR (BURMA)
SCOTT anagoma...ila baada ya kulazimishwa huku akiahidiwa malupulupu kedekede anakubali mpambano huo ambao watu wazito wamewekeza pesa ndefu ili wapate burudani safi kutoka kwa SCOTT
Anapofika MYANMAR ndani ya huo msitu mnene akiwa anashangaa mbona haoni ulingo wa mpambano wala mabondia anaopaswa kuonyeshana nao umwamba
Ghafla akashangaa anapewa silaha na kuambiwa akimbilie ndani zaidi ya msituni ajifiche awezavyo... mpaka muda huo bado haelewi nini kinaendelea,ndipo baadae anagundua si pambano la man to man...bali ni mchezo wa mauti unaoitwa "Human Hunting"
Watu matajiri waliolipa mamilioni ya pesa sambamba na Wauwaji waliokodiwa sehemu mbalimbali na wawindaji wenye skills na shabaha za ajabu ndio watu anaopaswa kupambana nao wakiwa na silaha nzito wakimuwindwa kama mnyama....kwao matajiri hao ndio ilikuwa burudani
Wakati huo SCOTT yeye ujuzi wake ni mapigano ya kurusha ngumi na mateke kwahiyo inabidi aadupt mazingira ili kwenda sambamba na wanaharamu hao ambao wanahakikisha haweki rekodi ya kutoka mzima ndani ya msitu huo ili sili ya unyama wao ibaki Kuwa yao
Wawindaji walijua hawajui baada ya kisanga kuwageukia wao..Hii ni single... tunayo Whatsapp 0742932384...bei sh 1000.. iliyo tafsiriwa pia ipo...link ya kutupata Whatsapp ipo sehemu ya coment...
.