Luca alishtuka... alimtazama Cathelini kwa macho ya mshangao, lakini ndani ya moyo wake kulikuwa na kelele za tamaa zikimpigia makofi.
"Umesema nini?"
Aliuliza huku akionekana kama mtu aliyeshindwa kuamua kati ya akili na mwili.Nani nimshindi wa pambano lililopo ndani ya mwili wake
Cathelini hakujibu mara moja, alimtazama Luca kwa macho ya kimtego Kisha akasogea taratibu, akamshika bega kwa vidole vyake vya upole.
"Nimechoka kaka... sijui hata kwanini nimechagua kuja kwako ghafla hivi. Lakini moyo wangu unanituma nikutegemee leo naomba usinikatalie ."
Maneno yake yalikuwa kama kinanda kinachopigwa taratibu moyoni mwa Luca. Alikuwa bado haamini jinsi mwanamke huyu asiyejulikana alivyoweza kumwomba akalale kwake ili hali anajua kuwa jamaa anaishi pekee yake ......
Catheline aliendelea kumtega mara afunue pj luca kila akiliona macho na mate vyote vinamtoka akajikuta anataka kushika lakini anaogopa sana .mara ghafla akapandisha de juu mpj yote out
Bhanaa acha unanipa wazima jamani ujuwe naendesha gari na kwanini ufanye hivyo kwa mtu usiyemjua au wewe ni mala.... ?
" Hapana sio hivyo " kisha alijifunika baada ya kupigwa dongo......na kumwambia kwa hiyo " naomba nilale kwako kesho naondoka .....
“Sawa... twende nyumbani kwangu.”
Akasema, bila kupepesa macho. Luca aliamua kukubali japo alipata hofu huyu mdada asije akawa ni jini
Gari likaingia barabara ya giza kuelekea Mbezi. Ndani ya gari kimya kilitawala tena. Ila kila walipotazamana, walihisi kama kuna moto unawaka katikati yao.
Akili ya luca anawaza kuichapa kweli kweli akifika nyumbani na akili ya mwanamke inachowaza daaah sisemi maana ni kitu cha hatari kwa luca .
Walipofika nyumbani...
Luca alifungua mlango, Cathelini akaingia akiwa bado amevaa dera lake jekundu lililokuwa limekamatwa na mvua. Nyayo zake zilikuwa za kimtindo, alitembea kama anaichezea ardhi.
“Karibu sana... chumbani uko salama. Jisikie kama uko nyumbani ”
Cathelini hakujibu. Badala yake alisimama mbele ya kioo, akajiangalia, kisha akageuka na kumuuliza Luca kwa sauti ya kimitego:
"Nivue, au nivuliwe?" Maana hili dera limeushika mwili kulitoa nashindwa jaman naomba uchague ...
Luca alihisi mapigo ya moyo wake yakipiga kama ngoma ya jandoni. Alikaribia bila kusema neno. Mkono wake ulifika taratibu begani mwa Cathelini, ukashuka hadi kwenye kiu...chake. Dera likaanza kushuka taratibu… kama pazia la dhambi.
Cathelini alikuwa na himaya nzuri sana na ni nyeupe kila eneo yaani himaya ngozi rangi moja jamani ukija kwenye bomboclaaaaaaat ni lawama kubwa kama mlima kilimanjaro madodo kama ya masika ...
Hapo ndipo mlango wa tamaa ulipofunguliwa rasmi.Yule mjumbe wa nyumba kumi saa ngapi asisimame
Luca alipiga kelele jamani cathe kwanini .......
👇
SEHEMU YA TATU INAKUJA…!.