Moyo wa kelvin ulitetemeka baada ya kumuona Nasra anampiga busu mwalimu Rashid tena nasra ndio anampia rashidi na sio rashidi anampiga Nasra.
Rashid alijikuta anatetemeka kama kanyeshewa na mvua hivi.nasra naye alishtuka baada ya kuhisi kuna mtu yupo nyuma yake aligeuka taratibu.
Moyo ulitikisika kama umeoigwa na kitu Kizito baada ya kumuona kelvin nyuma yake .kelvin alisema” samahani nimewainilia ,mwalimu Rashid nitakufuata baadaye” kisha alifungua mlango na kutoka nje lakini moyo wake umepigwa na maumivu mazito sana haamini alichokiona ni kama hakutarajia hivi jambo analoliona hapa .
Jikoni ni karibu lakini kwake ni kama safari ya kutoka Mbeya hadi kagera . miguu ilikuwa mizito sana kichwani mwake maswali ni mengi sana “ ina maana huyu binti ni kawaida yake hata mimi alianza kwa kunikiss “
Alizidi kupiga hatua na kurudi jikoni yaani haelewi nini cha kufanya ndiyo alimuacha lakini bado anampenda aisee its more than pain kumshuhudia mwanamke unayempends akimkiss mwanaume mwingine kwa hiari yake.
Mawazo sio kwake pekee hata kwa Nasra nmwenyewe yupo darasani ndiyo naye alimuacha kelvin lakini bado anampenda migogogro katika mapenzi ni kawaida lakini alichokifanya kinamfanya kelvin aamini labda yeye ni Malaya na tayri kapiga hatua moja mbele
Rafiki yake jeska anamwomba daftari yeye anampa peni yaani kachangayikiwa mazima hajuwi hata aliee au acheke au afanye alijua uomvi wao uneisha lakini cha ajabu sasa kaupalia moto
Yaani alijikuta jeuri yaani alikuwa anajifanya anampenda kelvin et kwa sababu ya kula vizuri kumbe hata sio hivyo alikuwa anahisia naye lakini hakutaka Rafiki zake wajue . Sasa leo kimemramba ,,,,,,,,,
Hakuona sababu ya kukaa darasani kwa sababu akili yake ipo jikoni na kafanya vile ili tu kumlinda Kelvin lakini hilo kelvin hajuwi chochote zaid ya kumhesebia kama Malaya
Akiwa bwenini alilia sana ,akakumbuka mmoja wa marafiki wake neema aliwahi kumwambia mlango wa kuingilia kwenye mahusiano ni mpana sana lakini wa kutokes ndio kimbembe,. Na kama unaingia humo ndani hakikisha unajua kuna nini.
Yaani ukubaliane na chochote uanchokikuta, maana kuinia hukio ni saw ana kujitoa sadaka ukichukulia Nasr ani mara yako ya kwanza kupenda .wenzako mioyo yetu tayari ina sugu ….
Hayo ni maneno ambayo daktari wa Huba NEEMA alimwambia shoga yake na leo ameamini maana mara ya kwanza alihisi labda shoga yake alikuwa anaimba nyimbo ya shule .
Alikuja Rafiki yake Neema Pamoja na Jeska walijua tu unajua ukiwa unaumwa ugonjwa wa mapenzi mtu hujuwa mapema bila hata kumwambia .
Walimbembeleza wapi haelewi ni machozi tu akawasimulia kilichotokea wote walishangaa maana hiyo hali ngumu na walishangaa kwa sababu aliwambia hampendi sana kelvin lakini leo anaamua kuwambia ukweli kuwa pale sio kapenda tu bali ni “ kituo cha mwisho wa safari yake ya mapenzi ,hana kwingine kwa kwenda.Yaani hawajuwi hata wamsaidiaje hawajuwi labda wafanyaje lakini jeska aliahidi kwenda kuongea na kelvin .muda huo alitoka na kuelekea jikoni,,,,,,
Alifika jikoni akamkuta Kelvin yuko bize anapika chakula alimwambia tu neno moja
“naomba msamehe Nasra analis tu bwenini’
“ndo kakutuma unambie sio?
“hapana mimi ndo nimekuja kumuombea msamaha”
“kamwambia ukurasa aliofungua na mimi ,tayari nimeufunga sitaki tena mapenzi uwe na siku njema.akaendelea kupika chakula
Jeska alijaribu kumsemesha lakini wapi jamaa kachukia mwishowe aliamua tu kuondoka maana tayari mtu aliyekuwa anaongea naye wala hamsikilizi,,,,,
Kelvin akakumbuka kwamba siku ya nyuma alipomwaga vyakula alivyomwekea kwenye kontena na alivyojitahidi kumjali lkini mtu mwenyewe kumbe ana mambo yake mengi tu………
Basi jeska alirudi hosteli akiwa kachoka.Nasra aliinuka haraka alijua kasamehewa
“jeska ,kelvin kasemaje?
Jeska alitikisa kichwa ikiwa na maana hakuna majibu hakuna msamaha
Nasra alijilalamisha “ nilisema tu,hawezi kunielewa si mmeona ?.akaendelea kulia
Romeo naye akiwa darasani bado anaiangalia siti ya nasra iko tupu naye shule hata haipandi alimua naye kutoka nje apunge upepo maana kilikuwa ni kipindi cha kujisomea tu,
Anapotoka nje anapamiana na Neema ,wanabaki kutazamana kila mtu ana mawazo yake”sorry” alisema Romeo na neema naye alisema hivyo hivyo .
Kisha kila mtu akafocus na vitu vyake.Romeo altoka nje na kueamia ukutani alionekana na mawazo sana na mtu anayemuwaza ni Nasra
Yaani nasra mpaka sasa anapendwa na wanaume watatu wa kwanza ni mwalimu wake Mr Rashid ,wa pili,kevin na wa mwisho ni Romeo
Lakini yeye licha ya kupendwa na wote hao yeye anampenda mwanaume mmoja na si mwibgine ni Kelvin kijana mwenye Maisha ya kawaida sio tayari sio mtu mwenye hela nyingi kazi yake ni upishi tu lakini ndo kapendwa .
Hii ndo maana ya mapenzi hayachuguwi nani wa kumpenda ana kazi au hana ,anba hela au hana,yaani wewe unapenda tu,,,,,
Basi akiwa kaka pale Romeo ghafla mwalimu Rashid alikuja hapo hapo na kumuuliza”unawaza mitihani au”
“hapana nawaza mambo yangu”
“anha sawa kazana kusoma dogo”kisha akawa anaangalia mambo yake kwenye simu akiwa bado kasimama hapo hapo.
Mara hapo hapo kuna dogo wa kike wa form 1 joyce aliropoka kwa mbali “Nasra kasema hataki kuja “
Mwalimu alimtazama Romeo machoni …………
FULL 1000
0699286085.