Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

π•Ύπ–Žπ–’π–šπ–‘π–Žπ–Ÿπ–Ž: π’π‡π„πŒπ„π‰πˆ π”πŒπ„πˆππ†πˆπ™π€ πŠπ–π„π‹πˆ 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐇 πŸ”žπŸ“š *SEHEMU YA KUMI NA TATU { 13 }*

31st Jul, 2025 Views 102



Upande wa Flora naye baada ya kupigiwa simu na mumewe (Lukasi) kuwa kesho ndio angekuwa anarudi nyumbani kutoka safarini Mwanza alipoenda kibiashara.

Flora alichukia sana huko kurudi kwa mume wake. "Sasa huyu naye na hicho Kibamia chake anarudi kufanya nini?" Flora alijiuliza moyoni huku akisonya.

"Yaani sio siri nimetokea kumchukia mume wangu, natamani hata angekaa huko mwaka mzima bila ya kurudi nyumbani" aliendelea kujisemea Flora.

Hapohapo akamkumbuka Japhet na kujikuta akitabasamu usoni kwake. "Nimetokea kumpenda sana Japhet jamani, ningefurahi sana kama ndio angenioa na kunimiliki mimi sio yule kaka yake hajui hata kumridhisha mwanamke" alisema Flora huku akichukua simu yake na kumpigia Japhet. Simu ya Japhet iliita kwa muda mrefu bila ya kupokelewa na mwishoni ikakatika. "Mmh huyu Japhet naye vipi tena mbona apokei simu mpaka inakatika yenyewe?" Flora alijiuliza mwenyewe. Ikabidi ajaribu tena kumpigia simu Japhet mambo yalikuwa ni vilevile simu inaita mpaka inakatika bila ya kupokelewa Flora akaanza kuchanganyikiwa. "Japhet ana nini kwani mbona apokei simu yangu, au ndio yupo na Rozi wanapeana Utamu?" Flora alijiuliza huku hisia za wivu zikianza kumsumbua moyoni mwake.

"Sikubali ngoja niende hukohuko nyumbani nikaone wanafanya nini, na usiku wa leo ni lazima Japhet anisugue" alisema Flora na hapohapo akaamua kumuaga msichana aliyemuajiri kwa ajili ya kumsaidia kazi za hapo saloon kwake na halafu akaanza safari ya kurudi nyumbani kwenda kumuona Japhet.

Mussa alifanikiwa kumpeleka Japhet mpaka kwenye hiyo nyumba ambayo alimuambia kuna chumba kinapangishwa na baada ya kuonana na huyo Mzee mwenye nyumba. Japhet aliweza kuyapenda mazingira ya hapo nyumbani na baada ya kuonyeshwa chumba pia akakipenda na akaweza kulipia kodi ya shilingi elfu kumi na tano (15,000) kwa miezi sita jumla shilingi elfu tisini (90,000) huku nyumba hiyo pia ikiwa na Umeme ndani yake Japhet alifurahi sana.

"Kwahiyo kijana hapa ni nyumbani kwako kuanzia sasa hivi, unaweza kuhamia hapa muda wowote na huyo mchumba wako" alisema Mzee huyo ambaye ndie baba mwenye nyumba wa Japhet baada ya kumuandikishia mkataba wa kumpangisha chumba kijana huyo.

"Nashukuru sana Mzee wangu, nadhani nitahamia hapa na mpenzi wangu baada ya siku mbili zijazo" alisema Japhet.

Baada ya hapo wakamuaga Mzee huyo na kurudi nyumbani kwa Mussa kwa ajili ya kula chakula cha mchana. "Umeiona ndugu yangu Mungu amesaidia kila kitu kimeenda sawa" alisema Mussa.

"Yaani hata sijui nikushukuru vipi ndugu yangu kwa huu msaada ulionisaidia mpaka kufanikiwa kupata chumba mapema tofauti na nilivyotegemea" alisema Japhet huku akitabasamu.

"Usijali kabisa Japhet kwanza nafurahi tutakuwa huku pamoja ndugu yangu" alisema Mussa huku wakirudi nyumbanna aliziona sana Missed Calls za Shemeji yake (Flora) zilizomjulisha kama alipigiwa simu na mwanamke huyo lakini kijana Japhet alifanya makusudi na kumchunia.

Flora baada ya kufika nyumbani aliweza kuchanganyikiwa sana baada ya kumkosa Japhet nyumbani hapo. Alitamani hata kumuuliza Rozi ni wapi Japhet alikuwa ameenda lakini alishindwa kumuuliza kutokana na ugomvi wa chinichini kati yake na Rozi juu ya kijana huyo (Japhet) huku kila mmoja akitaka kulifaidi Penzi lake kwa peke yake bila ya kuingiliwa.

"Jamani Shemeji Japhet umeenda wapi mpenzi wangu, au umeamua kutoroka?" Flora alijiulza peke yake huku akiwa anazungukazunguka sebuleni kama Chizi. "Ngoja kwanza niende chumbani kwake nikaangalie nguo zake kama zipo" alisema Flora na moja kwa moja akaenda mpaka kwenye mlango wa chumba cha Japhet Bahati nzuri akaukuta aujafungwa na ufunguo hivyo kwa urahisi kabisa Flora akaufungua na kuingia hadi ndani.

Baada ya kuingia chumbani humo Flora akaanza kufanya upekuzi wake kwa kupekua kila kitu cha Japhet na vyote aliweza kuviona vikiwa vipo vilevile hata na ile simu ya Smartphone pamoja na zile nguo na viatu alivyomnunulia pia alivikuta. "Sasa atakuwa ameenda wapi jamani, au ndio tayari na huko amepata msichana?" Flora alijiuliza mwenyewe.

Baada ya hapo akatoka humo chumbani na kuufunga mlango vizuri akaenda hadi sebuleni akajibwaga kwenye Kochi na kujilaza kihasarahasara. "Kama huyo Kibamia ndio anarudi hiyo safari yake aliyosafairi, basi usiku huu wa leo ni lazima nifanye juu na chini mpaka nifanye Mpaenzi na Shemeji Japhet" alijisemea Flora huku akiwa amempania kijana Japhet. Wakati huo na Rozi naye alikuwa yupo jikoni akifanya maandalizi ya kupika chakula cha usiku lakini mawazo yake yote alimuwaza mpenzi wake Japhet.

"Vipi tena jamani mbona Japhet wangu anachelewa kurudi nyumbani!?" Rozi alijiuliza moyoni mwake.

Kwenye majira ya Saa 1:30 za usiku Flora akiwa bado yupo sebuleni amejilaza kwenye Kochi anaangalia TV Mara ghafla akausikia mlango Mkubwa wa mbele barazani unagongwa. Kwa haraka sana akanyanyuka na kwenda kuufungua mlango huo macho yake yakakutana ana kwa ana na macho ya Japhet. Moyo wa Flora ukachanua kwa furaha baada ya kumuona kijana huyo amesimama hapo mbele yake mlangoni. "Karibu sana baby wangu jamoni nimekumiss" alisema Flora huku akitabasamu na kuyalegeza macho yake mazuri yaliyojaa Nyege. Hapo tena Japhet naye akajikuta anatabasamu na bila hata ya kutegemea akamkumbatia Shemeji yake Flora hapohapo mlangoni!.

Hapo tena Japhet naye akajikuta anatabasamu na bila hata ya kutegemea akamkumbatia Shemeji yake Flora hapohapo mlangoni.

"Ulienda wapi jamoni nimekutafuta sana sijakuona, nimekupigia simu mara mbili aupokei kwanini unanifanyia hivi lakini?" Flora alimuuliza Japhet kwa kulalamika.

"Nilienda mjini mara moja tu kutembea Shemeji yangu" Japhet alijibu huku bado akiwa amemkumbatia Flora.

"Mmh hayaa bhana lakini unanipa hofu isije ikawa umepata demu mwingine huko ulipotoka" Flora alionyesha wivu.

"Hakuna kitu kama hicho Shemeji ni hofu yako tu" alisema Japhet huku akijaribu kujiondoa mwilini mwa Flora.

"Lazima niwe na hofu Japhet maana sio kwa Utamu ule ulionionjesha siku ile" Flora alisema huku akizidi kumganda Japhet mwilini. Japhet alibakia anajuta hata kwanini alimkumbatia mwanamke huyu asiyeonyesha dalili yeyote ya kumuachia haraka. "Shemeji hebu niachie basi ujue tumesimama mlangoni hapa?" Japhet aliuliza huku akimuondoa Flora.

Flora alichokifanya ni kumvutia kwa ndani Japhet na kuufunga mlango huo Mkubwa wa hapo barazani. Baada ya kuwa tayari wamefika sebuleni Flora akaanza tena kumsogelea Japhet na kumkumbatia kwa nguvu sana na kuanza kumla denda.

"Hapana Shemeji sio vizuri ni sebuleni hapa je Rozi akitokea unafikiri itakuaje?" Japhet aliuliza kwa sauti ya wasiwasi.

Wewe naye na huyo Kivuruge wako! yupo jikoni huko anapika hawezi kuja hapa" alisema Flora na kuzidi kumpa wakati mgumu kijana huyo. Wakiwa bado wapo wamesimama hapo sebuleni Japhet naye akajikuta uvumilivu unamshinda na kuupokea Ulimi wa Shemeji yake huyo na kuanza kubadilishana ladha Mate kwenye midomo yao. Flora akaanza kuhema juu juu kwa fujo kama vile mtu aliyekimbizwa mbio ndefu na kuweweseka kwa Mahaba. "Aaaashii jamonii Japhet nakupendaa" alisema Flora kwa sauti ndogo iliyolegea.

Japhet akajisahau kama hapo walipo ni sebuleni akajikuta anaanza kuonyesha ufundi wake kwenye mwili wa Shemeji yake (Flora) akaanza kumpapasa sehemu za mwilini taratibu huku bado wakiwa wanaendelea kunyonyana denda.

Mkono mmoja wa Japhet ukiwa umemkamatia Kiuno chake Flora na kumdhibiti huku mkono mwingine wa kijana huyo ukizama ndani ya Blauzi aliyoivaa mwanamke huyu sehemu za kifuani na kufanikiwa kulichomoa Titi moja la upande wa kulia lililokuwa ndani ya Sidiria na kulitoa nje kabisa. Halafu Japhet akaanza kuifikicha chuchu ya Titi hilo taratibu huku akiifinya finya kimtindo na kumuacha mwanamke huyo kama vile Mwendawazimu aliyepagawa.

"Japhet nini mwenzio mbona unanipa shida hivyooo? naomba Utamu wakooo .." Flora alisema kwa sauti ya kuweweseka.

Japhet bila ya kupoteza muda akaliingiza mdomoni mwake Titi la Flora na kuanza kuimung'unya Chuchu mdogomdogo.

Flora alikuwa yupo hoi tayari ameshaanza kulegea huku akijihisi kulowana kwenye Chupi huko chini ya 'K' yake akabakia amemkumbatia kwa nguvu kijana huyo huku mikono yake laini ikianza kupapasa kulitafuta 'Gobole' la Japhet sehemu lilipo. Wakati bado wakiwa wanaendelea kutomasana hapo sebuleni Mara ghafla bila hata ya kutarajia Rozi akatokea na kuweza kuwafuma wawili hao wakiwa kwenye hali hiyo ya Mahaba mazito.

Khaaa! Japhet nini unafanya hapo!?" Rozi alijikuta anauliza kwa mshtuko.

Japhet na Flora wakashtuka sana na kwa haraka wakaachiana mwilini na kubakia wakimuangalia Rozi kwa macho ya aibu.

Flora alikuwa anahangaika kulirudishia Titi lake lililokuwa linanyonywa na Japhet ndani ya Sidiria. Lakini ndio hivyo tena Rozi alikuwa ameshaona kila kitu hapo.

"Mmh naombeni mnisamehe jamani kwa kuja kuwavurugia starehe yenu" Rozi alisema na halafu akageuka na kuondoka sebuleni hapo huku akibubujikwa na machozi akaelekea chumbani kwake.

Japhet na Flora wakabaki wanaangaliana kwa aibu. "Shemeji nilikuambia kama hapa ni sebuleni na Rozi anaweza kutokea muda wowote, haya sasa umeona?" Japhet aliuliza akimlaumu Flora. "Sasa kwahiyo na wewe ndio unamuogopa huyo Rozi wako enhe" Flora naye akauliza kwa kejeli flani hivi. Japhet hakuweza kujibu kitu na kusema chochote huyoo akaondoka sebuleni na kuelekea chumbani kwake na kujifungia ndani akajibwaga kitandani. Japhet sasa akaanza kujilaumu kwa kile kitendo alichokifanya na Shemeji yake Flora pale sebuleni mpaka Rozi akatokea na kuweza kuwafuma. "Sasa ndio nimefanya nini pale, hivi Rozi atanielewa vipi mimi?" Japhet alijiuliza peke yake kwa majuto.

Flora naye akiwa yupo chumbani kwake akivua nguo zake na kuzitupia kwenye nguo chafu anapohifadhia alijikuta anasema: "Yaani Japhet kanitia Nyege kiasi hiki usiku wa leo ni lazima anitombe sikubali kabisa nibakie hivihivi" alisema Flora huku akitabasamu. Baada ya hapo akachukua Kanga yake kabatini na kuivaa mwilini mwake halafu akatoka humo chumbani kwake na kuelekea bafuni kuoga. Flora akiwa anakatiza ukumbini akapishana na Rozi aliyekuwa anatokea jikoni huku akiwa amebeba Hotpot kubwa lililojaa chakula akipeleka Mezani kule sebuleni. Wanawake hawa wawili wote wakajikuta wanaangaliana kwa macho makali sana. "Yaani huyu mwanamke mimi ananikera sana, namchukia kupita kiasi anashindwa kujiheshimu" alijisemea Rozi akielekea sebuleni kupeleka chakula. "Kama ni huo Utamu unaoupata kwa Japhet sasa tutaupata wote" Flora naye alijisemea huku akiingia bafuni.

Baada ya muda kila kitu kilikuwa kipo tayari Mezani Rozi aliandaa chakula na Japhet akaitwa na Flora kule chumbani kwake alipokuwa amejifungia na sasa wote watatu walikuwa wapo mezani wakila Γ§hakula cha Usiku. Kwa upande wa Japhet ilikuwa ni bonge la mtihani kwake kutazamana na Rozi usoni kwani alijisikia vibaya sana na kule kufumwa kwake na Shemeji yake pale mwanzo.

Flora yeye wala hakuwa anajali aliona ni kama vile ni kitu cha kawaida kufumwa.

"Rozi naomba unisikilize kwa umakini kesho asubuhi ilikuwa ndio uondoke humu ndani ya hii nyumba uende kwenu Iringa, lakini nimeghaili utaondoka mwisho wa mwezi huu" alivunja ukimya Flora na kusema hivyo. "Kwanini sasa nisiondoke hiyo kesho, na wakati uliniambia nijiandae na safari ya kurudi kijijini kwetu na mimi nilishajiandaa?" Rozi aliuliza. "Nimeona nikikurudisha kwenu kwa sasa utapata taabu sana" alisema Flora kwa dharau huku akicheka.

"Ni bora nikapate hiyo tabu lakini nipo nyumbani kwetu naishi kwa Amani" alisema Rozi. Flora akacheka sana halafu akauliza: "Kwani hapa auishi kwa Amani au ni mapepe yako tu uliyoyarukia mapenzi kwa Japhet?" Flora aliuliza.

Japhet akacharuka kusikia ametajwa na Shemeji yake. "Shemeji naomba sana tuheshimiane tafadhali, sitaki uniingize kwenye hayo mazungumzo yenu" Japhet alisema huku akijifanya amekasirika.

"Mmh basi nisamehe jamani kama nimekukera" Flora alisema na kumuomba msamaha Japhet. Basi baada ya hapo wakaendelea kula chakula na walipomaliza kula tu Japhet akanyanyuka na kuondoka sebuleni hapo akaelekea chumbani kwake kulala huku akijifanya bado amekasirika. Hata Flora alishindwa kumuuliza Japhet kuhusu huko kwenda kwake kulala mapema. "Mmh ngoja kwanza nimuache nisije nikamkera zaidi" alijisemea Flora moyoni. Rozi naye akaondoa vyombo vyote Mezani na kuvipeleka jikoni halafu akaenda bafuni kuoga. "Sasa huyu Japhet naye ndio nimuelewe vipi, hicho chumba amepata au vipi?" Rozi alijiuliza wakati alipokuwa bafuni akioga. Kile kitendo cha kuwakuta Japhet na Shemeji yake Flora pale sebuleni wakinyonyana denda kilimuuma sana Rozi. "Hapa tusipohama na Japhet wangu, huyu mwanamke atamsumbua sana na kulazimisha naye mapenzi" alijiwazia Rozi. Baada ya kumaliza kuoga akarudi chumbani kwake kulala.

Flora naye akaenda chumbani kwake kulala mapema. "Kesho mume wangu anarudi hivyo leo ngoja nizidhibiti Nyege zangu" alijisemea Flora huku akijifunika shuka vizuri kitandani. Japo mwili wake bado ulikuwa unamnyemvua zaidi akikumbuka jinsi alivyokuwa anachezeana na Japhet pale mwanzo.

"Acha tu usiku wa leo upite nitavumilia, ingawa nilimpania sana Japhet" alisema Rozi. Basi ndio ikawa hivyo usiku huo uliweza kupita bila ya mtu kumsumbua mwenzie kwenda kumgongea mlango.

Asubuhi ya siku nyingine mpya ikafika!

Japhet akaamka na kuchukua mswaki wake akatoka chumbani kwake na moja kwa moja akaelekea uwani. "Yaani hata siamini usiku wa Jana umepita bila ya Shemeji au Rozi kuja kunisumbua?" Japhet alijiuliza hivyo. Baada ya kufika uwani akaweza kumkuta Rozi tayari ameshaamka yupo nje anafagia. Wakaweza kusalimiana na halafu Japhet akasema: "Jana nimefanikiwa kupata chumba na tayari nimeshakilipia kodi ya miezi sita" Japhet alisema. Rozi akajikuta anatabasamu baada ya kusikia hivyo.

"Ni maeneo ya huko kwa rafiki yako yule uliyempigia simu?" Rozi aliuliza.

"Yes ndio maeneo ya hukohuko na yeye ndie aliyenitafutia hicho chumba" Japhet alisema. "Oooho vizuri sana kwahiyo ni lini sasa tunahamia huko?" Rozi aliuliza tena. "Ngoja leo usiku nitakuja chumbani kwako tutapanga vizuri jinsi ya kuhama hapa, hivi unajua kama leo kaka yangu anarudi?" Japhet alimuuliza Rozi.

"Looh afadhali arudi hapa nyumbani, ili huyu Malaya asiyeridhika aache kabisa kukusumbua" alisema Rozi kwa furaha.

Basi baada ya hapo mambo mengine yaliendelea asubuhi hiyo kama kawaida. Flora naye akaweza kuamka na muda wa kunywa Chai ulipofika wote wakajumuika mezani kwa pamoja na kupata Chai hiyo.

Flora leo aliamka akiwa ni mpole kupita siku zingine hakuwa na mapepe kama anavyokuwa siku zingine zilizopita. Japhet alijua labda upole huo alioamka nao Shemeji yake huyo unasababishwa na ujio wa kaka yake kutoka safarini.

Kwenye majira ya Saa 8:46 za mchana gari ndogo ya kukodi aina ya Taxi iliweza kusimama ndani ya kituo kikubwa cha Mabasi yaendayo na yatokayo mikoani (UBUNGO BUS TERMINAL) Japhet na Shemeji yake Flora walikuwa ndio hao wamekuja hapa kumpokea Lukasi ambaye ndie Mume halali wa Flora na ndugu wa damu kabisa kwa kijana Japhet huku Lukasi akiwa ndio Mkubwa kuzaliwa na Japhet akiwa mdogo. Bahati nzuri basi alilopanda Lukasi kutokea Mwanza kuja hapa Dar es salaam lilikuwa limewasili dakika chache zilizopita hivyo walimkuta Lukasi yupo anawasubiria wenyeji wake wanaokuja kumpokea hapa kituoni.

Japhet na Flora waliweza kumuona Lukasi akiwa kwenye kibanda kimoja kilichokuwa kimepakwa rangi nyekundu na chenye maandishi makubwa meupe yaliyoandikwa COCA~COLA walimuona Lukasi yupo hapo akinywa Soda na Jamaa mmoja hivi. Wakati Flora na Japhet wakisogea hapo kwenye hicho kibanda cha Soda wakaweza kumuona Jamaa huyo akiagana na Lukasi kwa haraka na halafu akatokomea maeneo hayo halafu Lukasi akanyanyuka kwenye Kiti alichokuwa ameketi kibandani hapo na kubeba begi lake mgongoni pamoja na mizigo michache mikononi mwake akaanza kuja akiwafuata wakina Flora na Japhet. Flora akamkimbilia Mume wake ili kwenda kumpokea mizigo hiyo huku akiwa amejawa na furaha baada ya kumuona tena Mwanaume huyo. Lakini kwa upande wa Lukasi wala hakuwa na furaha hata huo uchangamfu hakuwa nao alikuwa amenuna na kukunja sura yake.

*ITAENDELEA* πŸ“šπŸ“šπŸ₯°

Soma mpaka mwishooo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π•Ύπ–Žπ–’π–šπ–‘π–Žπ–Ÿπ–Ž: π’π‡π„πŒπ„π‰πˆ π”πŒπ„πˆππ†πˆπ™π€ πŠπ–π„π‹πˆ 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐇 πŸ”žπŸ“š *SEHEMU YA KUMI NA TATU { 13 }*   >>> https://gonga94.com/semajambo/simulizi-shemeji-umeingiza-kweli-asssh-sehemu-ya-kumi-na-tatu-13
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest