_Tulipo ishia_ ππ¦
ameolewa anashindwa kujiheshimu!" Rozi alibakia anashangaa na kujiuliza hivyo kitandani.
*Endelea sasa* π₯°ππ¦
Flora naye baada ya kutoka chumbani kwa Japhet akaweza kurudi mpaka chumbani kwake na kujifungia mlango huku akiwa amekasirika sana. "Siamini kama nimekosa kulifaidi Penzi la Shemeji Japhet usiku huu" alisema Flora huku akizungukazunguka ovyo humo ndani ya chumba chake anacholala na mumewe Lukasi ambaye ndie kaka yake na Japhet aliyopo safarini Mwanza. "Siwezi kukubali kulikosa Penzi la Japhet hata kidogo, ngoja nimtimue Rozi hapa nyumbani ili nibakie na Shemeji Japhet niendelee kuufaidi Utamu wake yaani amenionjesha siku moja na kunidatisha huyu kijana mpaka nimeweza kuisahau michepuko yangu yote ya nje" alisema Flora huku akipanda juu ya kitanda na kujifunika shuka. Mwili wake nao bado aukuacha kumnyevua kwa Nyege na Mwanaume aliyekuwa anamtaka kwa wakati huu ni Japhet tu na sio mwingine yeyote. "Hizi Nyege sasa haki ya nani zitaniua jamani, Khaa! Japhet hivi kwanini unanitesa mimi mwenzio?" Flora alijiuliza peke yΓ ke huku akijiiΓ±giza Vidole ndani ya 'K' yake ambayo tayari ilikuwa imeshalowana. "Kesho asubuhi nitalianzisha kwa Rozi aniambie sababu ya kususa kula chakula ni nini halafu ndio nipatie chanzo cha kumtimua kazi hapohapo" alisema Flora huku akijaribu kuutafuta usingizi kwa usiku huo na kubakia akigalagala tu hapo kitandani huku akijihisi kama ana wadudu wadogowadogo wanamnyevua mwilini.
Asubuhi na mapema ya siku nyingine iliyofuatia nayo ikaweza kuwadia Rozi kama kawaida yake ndio anakuwa mtu wa kwanza kabisa kwa ajili ya kufanya kazi za hapa nyumbani ikiwemo usafi wa mazingira na kuosha vyombo pamoja na kazi nyinginezo. Hivyo wakati akiwa yupo uwani anaosha vyombo ndipo bossi wake Flora akapata kutokea uwani hapo.
"Shikamoo dada" Rozi alimsalimia Flora.
"Sina shida na shikamoo yako, nataka uniambie ni kitu gani kilichokufanya Jana usiku ukasusa kula chakula pale mezani" alisema Flora. Rozi akabakia kimya tu.
"Naongea na wewe Rozi, niambie sasa" Flora alisema kwa ukali. "Hapana dada hamna kitu basi tu nilijisikia nimeshiba" alijitetea Rozi kwa upole. Flora akacheka kwa dharau na kuubinua mdomo wake halafu akasema: "Unajifanya una wivu sana juu ya Japhet si ndio enhe? yaani mimi niliposema nitampakulia chakula wewe ndio ukakasirika" alisema Flora.
Rozi alinyamaza kimya na kujiinamia.
Mara ghafla akatokea Japhet akiwa na mswaki wake mkononi. "Vipi tena Shemeji kwani kuna nini hapo?" Japhet aliuliza baada ya kuhisi mambo sio shwari. "Hamna kitu Shemeji Japhet, vipi habari za asubuhi?" Flora alijifanya kusalimia huku akitbasamu. "Za asubuhi nzuri Shemeji, vipi na wewe umeamkaje?" Japhet aliuliza. "Mimi ndio nimeamka hivyohivyo kama ulivyoniacha Jana" alijibu Flora huku akitabasamu na halafu akamkonyeza Japhet. Hapo Japhet akaelewa kuwa hiyo alivyosema kuwa ameamka hivyohivyo kama alivyomuacha Jana ni vile alivyomkatalia kufanya naye mapenzi. Japhet akampuuza Shemeji yake huyo na kuendelea kupiga mswaki.
"Nataka uniandalie jibu la swali langu, ni kwanini Jana usiku ulisusa chakula" Flora bado aliendelea kumuandama Rozi huku akisema kwa sauti ya chini na halafu akaondoka kurudi ndani. Huku nje uwani walibakia Japhet na Rozi bila hata ya kusemeshana kwani walijua Flora kama ataondoka hapa nyumbani kwenda kule saloon kwake basi watapata nafasi ya kuongea vizuri. Baada ya muda wote wakakutana mezani kwa ajili ya kunywa chai asubuhi hii ya leo Flora akaona hapahapa alianzishe kwa huyu binti Rozi ambaye alimuhisi kuwa ni kikwazo kwa Shemeji yake Japhet mpaka yeye (Flora) anakosa kuufaidi Utamu wa kijana huyo kwa Mara nyingine tena. "Hayaa bi dada nataka jibu langu la wewe Jana kususa kula chakula" Flora akamkumbushia Rozi. "Lakini Shemeji hayo si yameshapita tangu Jana sasa ya nini kuyakumbushia tena?" Japhet aliingilia kati na kuhoji.
"Shemeji Japhet naomba unyamaze, Jana kama unakumbuka nilikuuliza swali juu ya uhusihano wako na Rozi upoje ukaishia kunidanganya, sasa leo ngoja nimuulize huyu binti" alisema Flora na kumgeukia Rozi halafu akasema: "Tuachane na hilo jambo la kususu kula, naomba uniambie uhusiano wako wewe na Japhet upoje?" Flora alimuuliza Rozi huku akimkazia macho yake. Rozi kwanza akamuangalia Japhet usoni halafu akatabasamu na kumuangalia Flora bila hata ya kupepesa macho Rozi akamjibu: "Japhet ni mpenzi wangu na nampenda sana kutoka ndani ya moyo wangu" Rozi alijibu kwa kujiamini. Flora akapatwa na mshtuko akataka kumuambia kitu Rozi lakini akajikuta anapatwa na kigugumizi cha kuongea. "Wewe Rozi una kichaa nini, unasema mimi ni mpenzi wako tangu lini tukawa wapenzi!?" Japhet alijifanya kuuliza kwa ukali. Rozi akatabasamu na kusema: "Japhet ya nini sasa uendelee kuficha maradhi na kupata usumbufu kwa huyu Shemeji yako? bora tumwambie ukweli ajue aaΓ§he kukusumbua baby" alisema Rozi. Japhet alibakia hoi bin taabani hakutegemea kabisa kama huyu binti (Rozi) angesema ukweli wote. Flora akajikuta anapandwa na hasira huku wivu ukimsokota moyoni mwake kwa kusikia Rozi amesema hivyo. Taratibu Flora akamgeukia Japhet na kusema hivi .... !.
Flora akajikuta anapandwa na hasira huku wivu ukimsokota moyoni mwake kwa kumsikia Rozi amesema hivyo. Taratibu Flora akamgeukia Japhet na kusema hivi: "Jana nilikuambia Shemeji Japhet kuwa kipo kitu kinaendelea kati yako na Rozi halafu ukakataa, unaona sasa huyu binti amefichua kila kitu?" Flora alisema na kuuliza hivyo. Kijana Japhet alibakia kimya bila kusema chochote.
Flora akamgeukia Rozi na kumuuliza hivi:
"Sasa na wewe Rozi hapa umekuja kufanya kazi au umekuja kufanya mapenzi?" Flora aliuliza. Rozi bila hata ya kutetereka akamjibu: "Sioni kama kuna tatizo mimi kupendana na Japhet, kama ni kazi mbona najitahhidi kufanya vile nimewezavyo kuhusu hilo jambo la mapenzi ni la kwangu binafsi" alijibu Rozi huku akitabasamu. Flora akakasirika na kusema kwa ukali: "Utasemaje hilo jambo la mapenzi ni la kwako binafsi, je kama ukipata ujauzito au magonjwa ya zinaa mimi nitawaambia nini wazazi wako huko kijijini kwenu nilipokuchukua?" Flora aliuliza kwa hasira. "Mbona inaonekana kama umechukizwa mimi kupendana na Japhet dada? naomba uniache na haya maamuzi yangu kuhusu ujauzito au hayo magonjwa ya zinaa nikipata nitajijua mimi na familia yangu, naomba usiniingilie" Rozi naye alisema kwa ujeuri.
"Yaani wewe Rozi leo unathubutu kweli kuniambia hivyo!?" Flora aliuliza kwa hasira. "Ndio nimekujibu sasa, ukome kumsumbua mpenzi wangu Japhet jaribu kutuliza hisia zako muheshimu huyu ni Shemeji yako" Rozi alizidi kumpa Flora makavu yake na kumuweka kwenye wakati mgumu sana mwanamke huyo.
Flora akapandisha mzuka wa hasira Ghafla bila kutarajia akachukua bakuli iliyojaa maji ya kunawa mikono na kummwagia Rozi usoni kwa hasira. "Wewe ni binti mdogo sana kwangu, hauwezi kunijibu hivyo mimi shenzyy," Flora aliwaka kwa hasira. "Shemeji hebu punguza jazba kwanza tuyaongee haya mambo yaishe" Japhet alijaribu kumtuliza Shemeji yake huyo. "Tena na wewe hapo inabidi unyamaze, umekaribishwa kwa kaka yako hapa unakula na kulala bure halafu unajifanya eti ni Kidume Ovyoo!" Flora alimchachafya na Japhet pia.
Kitendo hicho kilimchukiza sana Japhet na kuona kama vile amedharaulika kwa Shemeji yake (Flora) kumwambia hivyo akajikuta bila ya kutegemea anampiga bonge la Kofi Shemeji yake usoni PAAAA!
"Mamaaa nakufaaa yaani Japhet kweli unathubutu kunyanyua mkono wako na kunipiga mimi? sasa tutaona" alisema Flora kwa hasira huku akilia na kujishika shavuni alipopigwa Kofi hilo na Japhet.
Flora akamgeukia Rozi na kumuangalia halafu akamsonya na kuondoka zake kuelekea chumbani kwake huku bado akiwa analia kutokana na kupigwa lile Kofi na Shemeji yake Japhet. Na habari ya kuendelea tena kunywa Γ§hai ndio ikaishia hapo hakukuwa na mtu aliyekuwa na hamu ya kuinywa chai hiyo. Baada ya Flora kuwa amwingia chumbani kwake huku sebuleni napo alibakia Japhet pamoja na Rozi. Japhet akamsogelea Rozi na kumkumbatia halafu akasema: "Pole sana mpenzi wangu kwa kumwagiwa maji" alisema Japhet. Rozi akatabasamu na kusema: "Wala usijali baby cha msingi ujumbe umefika kwa muhusika" alisema Rozi. Baada ya hapo Rozi akakusanya vyombo vyote hapo mezani na kuviondoa kuvipeleka jikoni. Japhet naye akaingia chumbani kwake.
Flora akiwa kule chumbani kwake akajibwaga kitandani na kunyamaza kulia: "Napigwa ndani ya nyumba yangu na Shemeji Japhet kwa sababu eti ya mapenzi kweli?" Flora alijiuliza huku akijilaza vizuri kitandani. "Japo Shemeji Japhet amenipiga lakini bado nampenda, lakini huyu Kivuruge Rozi lazima tu nimuondoe humu ndani" alijisemea Flora na kunyanyuka halafu akaenda kwenye Kioo na kujiangalia vizuri usoni mwake alipopigwa na Japhet. "Mmh Japhet naye kumbe ni Mkali hapendi dharau, ndio Mwanaume ninayempenda huyo" alisema Flora huku akitabasamu. Baada ya kujiangalia kwenye Kioo akagundua usoni mwake amevimba na pia amekuwa mwekundu kutokana na vipodozi vyake anavyotumia kujipaka usoni. "Kwa kuwa amenipiga Japhet hakuna tatizo lolote nimeshamsamehe huyu kijana kwa kuwa nampenda sana kupita maelezo" alisema Flora na baada ya hapo akajiandaa kwa kuvaa vizuri na kujilemba ili aende saloon kwake asubuhi hii ya leo. Baada ya kuwa vizuri akatoka chumbani kwake na kuja mpaka sebuleni ambapo hakumkuta mtu yeyote akaamua kwenda jikoni huko akamkuta Rozi anapanga vyombo ndani ya Kabati. "Sasa wewe Kivuruge leo jiandae kesho alfajiri safari ya kuelekea kijijini kwenu Iringa itaanza, jioni nikirudi nitakupa Pesa yako yote ya mshahara unayoidai uondoke sitaki kukuona tena" alisema Flora kwa majivuno.
Rozi akatabasamu halafu akasema: "Hata na mimi pia sikuwa nataka tena kubakia hapa nyumbani kwako, hivyo nashukuru sana kwa kunitimizia hitaji langu" alisema Rozi. Flora hakuweza kusema kitu chochote akaubinua mdomo wake kwa dharau na kusonya halafu akaondoka.
Akataka kuondoka lakini Flora alipofika mlangoni kwa Japhet akajikuta anabisha hodi. Japhet akiwa chumbani kwake akaenda kufungua mlango na kumkuta Shemeji yake huyo akiwa anatabasamu.
*ITAENDELEA* ππ₯°π¦
Soma mpaka mwishooo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.