Kwenye mkataba wa Fei na Azam kuna “Buyout clause“ ya $500,000 (tsh 1,285,000,000) kama Fei atahitaji kuvunja mkataba wake.
31st Jul, 2025 Views 4
Njia pekee ya Simba kumpata Fei ni kumpa $500,000 ili awapelekee Azam wavunje mkataba….kisha Azam watailipa Yanga tsh 1b na maisha yataendelea.
Hadi sasa Azam wamempa Fei ofa ya mkataba mpya ambayo ni “Take it or leave it”👇
1. Azam wako tayari kumpa fei hela binafsi ya kusaini mkataba mpya (Sign on fee Tsh 800m cash).
2. Mshahara wa (Tsh 50m take home) kwa mwezi hii ni baada ya makato na kodi.
3. Ubalozi wa Azam Pesa ambapo kwa mwaka atalipwa tsh 200m.
Lakini hadi sasa bado hajasaini mkataba mpya.
Follow @usajili_na_hansrafael14.
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Kwenye mkataba wa Fei na Azam kuna “Buyout clause“ ya $500,000 (tsh 1,285,000,000) kama Fei atahitaji kuvunja mkataba wake.  >>> https://gonga94.com/semajambo/kwenye-mkataba-wa-fei-na-azam-kuna-buyout-clause-ya-500-000-tsh-1-285-000-000-kama-fei-atahitaji-kuv
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 
Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa