Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

ILIZANI MWIZI KUMBE MMMMπŸ’˜πŸ’πŸ’˜ SEASON THREE SEHEMU YA ( 41__50)

31st Jul, 2025 Views 206

NTULIPO ISHIA..
"Nampenda subira unaniruhusuu??" Nilifumba macho kusema ndio
"Asante salma ,Hope uinuke hapo haraka mana kasema hataki tufunge ndoa mpaka wewe uwepo kwenye harusi ucheze mpaka basii "

TUENDELEE.........πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡41__42πŸ’˜πŸ’˜

Inno alinipigisha story akawa ananitania tania sana moyoni nikawa nasema sijui anasema mie ni sikio la kufaa mana alikataa nisiwe na Alex kabisa alijua sijui nitaishia kitandanii.. ??

Basi mama yangu alianza kuleta ma ostaz wa kila dizaini kunisomea dua , ikawa leo kwa baba MCHUNGAJI kesho kwa OSTAZI ,
Asubuhi Ostazi jioni mchungaji hayo ndio yakawa maisha yangu mapya kabisaa, nilikuwa nimechoka natamani kuwaambia embu niacheni jamani niacheniii lakini sauti haitokii .

Ukweli nilichoka kuhangaishwa ,nikawa natamani waniache mwisho wangu mungu ndie anajua kama kote huko kumeshindikana basi wacha tubaki tunaangalia mungu atafanya ninii .

Siku moja hapo mimba yangu inakimbilia miezi nane , kuna mtu alimpigia simu alex akamwambia amemuona Juddy Hospital alipo ulizwa wapi akasema Arusha, amejifungua ..
Ilikuwa kama miujiza alex akanambia mke wangu naenda kumleta huyu maraya hapaa atachagua afee au atoe uchawi wake ..

Waliondoka muda huo huo alex na inno kuelekea Arusha, nilikuwa naomba miungu yote Kweli Juddy apatikane Nilisali sana juddy aje japo nilikuwa nina uhakika wote hata akija hana cha kunisaidia mana mtu anaweza kuroga na sio kurogoroa yaan kuutengua uchawi , Aje tu tutajua huku huku mama yangu alikuwa karibu namimi mana mpaka alihamia hapo ukweni kwangu

Zilipita siku mbili , Alex alisema hospital wamekuta amesharuhusiwa ni kweli alikuwa hapo, wanatafuta mtaa anaoishi , bado ilikuwa ngumu , wiki ikapita ndio Subira akanambia juddy amepatikana nilipata amani lakini Amejifungua mtoto wa kike nikasema mtoto wa alex huyo ndio wa kwanza

Siku inayofuata ,Juddy alikuwa mbele yangu sijui ni uzazi au ni nini juddy alikuwa ameisha sana alionekana Hakuwa hata yupo vizur

Juddy alikuwa analia na kusema yeye hajawahi kufanya ujinga kama huo hajawahi kabisaa , huyo zakia yeye alimsingizia tu hajawahi , inno alitaka kumpiga lakini wakamwambia amuache mana ametoka kwenye uzazi

Juddy alishikilia msimamo wake kabisa kuwa hajafanya hivyo ,
Alex akamuuliza vipi kuhusu mtoto?? huyu mtoto sio wangu juddy si ndio ??
Juddy akawa anajuma uma hapo tupo familia nzima , ya kwetu na ya kina Alex juddy amewekwa mbele anatetemeka tuu
Inno akamwambia Sema bwana Huyu mtoto sio wa Alex akasema et wa Alex, Alex alimnasa bonge wa kibaoo akasema huoni hata aibu maraya wewe kwahiyo ulilala hata na Felix ?? We mwanamke unapepo gani ??

Ndo hapo picha ikaja aisee yule mtoto ni Felix mtupuu yaan kama vile imechukuliwa sura ya Felix akawekewa mtoto
Inno akasema mungu wangu hivi kwanini nimeshindwa kuli mark hili mapema hivi , ba mkwe nae akamwambia Aisee alex unamacho yaan kweli nilikuwa nasema huyu mtoto wala hayupo kwako ila sikuwaza kabisa kama inaweza kuwa felix, Felix aisee kwahiyo ulikuwa hujui kama Alex na Felix ni marafiki wanao karibia ndoa kabisa??

Juddy akaanza kulia akamwambia baba Nisamehe baba angu hata mimi sikuwa na jua felix alinilazimisha kutembea nae haikuwa kwa Ridhaa yangu na nilikutana nae siku moja tu ,
Inno akacheka et wewe huyo Judy ndo umelazimishwa wewwee?? Au wewe ndio ulimradhimisha Felix??

Alex akampigia simu Felix akamuuliza upo wapi akasema natoka Job , alex akamwambia naomba uje nyumbani hapa pitia sasa hivi kuna dharula , poapoa
. Baada ya kama lisaa hivi Felix akawa amekuja alishtuka kumuona Juddy ila akawa anajichekesha et za miaka juddy umepotea upo wapi yaan maswali kibao
Alex akamwambia Felix kweli ulishindwa kabisa kutembea na wanawake woote wale ukaenda kutembea na mwanamke ambae ulikuwa unajua kabisa ni wangu??
Felix akabaki anamtazama alex afu akasema mbona sielewi
Alex akamwambia Unajua vizuri wakati mie nahangaika na Juddy nakuja kukushtakia kumbe na wewe ulikuwa unammega
Felix alishtuka akakana kabisaaa hajawahi kufanya upuuzi.kama huo anawezaje kutembea na mwanamke wa ndugu yake et alex ni kama ndugu yake hawezi kufanya huo upuuzi kabisa

Kila mtu alikuwa anamwangalia kwa jicho la mshangao , Alex akamwambia haina haja wala hatukukuita kwa ajili ya hili mie nipo na Salma wangu nimechagua kupigana nae vita popote
Kuhusu juddy nimekuita hapa kuwa wewe ndie baba wa mtoto halali na sie mimi
Felix alishtuka akasema et nini mbona sielewi
Baba mkwe akamwambia chukua mwanao na mwanamke wako mtupishe
Felix bado alishkilia msimamo wake , ndio baba akamwambia juddy embu mpe huyo mtoto alipo muona aliishiwa pozi hivi unajua kuishiwa pozi??.

Mtoto anafanana na wewe mpaka mapua kope na mboni kabisaa, ndio.huyu felix

"Ju...yaan judd huy ni..." alikuwa anababa ika anamkagua kila sehemu ya mwili mtoto , Felix mikono yake ilikuwa inatetemeka,

Juddy akamwambia ndie , Felix akasema hapana siamini,Siaminii yaan kwasababu amefanana tu na mimi??
Hii mimba ulisema ni ya alex kati ya wanaume wote uliokuwa nao leo unageuka kwangu kisa kanana??
Alex akamuuliza unataka nini??
Nataka DNA
Sawa
Kila mtu walikubaliana wakapime DNA , Felix akasema nataka leo hii sasa hivi

Inno akamwambia hapa Juddy hatoki akizubaa atafia humu humu walai juddy unanijua vizuri nakunyongaaa hapa hapa , hakuna kutoka mpaka salma ainuke salma asipo pona unakufa humu ndani ??.

Juddy hana la kuongea alikuwa analia tu kimya kimyaa ..

Alex alimpigia simu Doctor wake aje hapo , alikuja Baada ya muda kupita akachukua Vinasaba kwa alex felix na Yule mtoto wa juddy, akawaambia majibu mpaka wiki moja ipite ......

ITAENDELEA......
Tukutane saa 9: 00 usiku saa tisa kamili usiku

KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ILIZANI MWIZI KUMBE MMMMπŸ’˜πŸ’πŸ’˜ SEASON THREE SEHEMU YA ( 41__50)   >>> https://gonga94.com/semajambo/ilizani-mwizi-kumbe-mmmm-season-three-sehemu-ya-41__50
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest