ENDELEA.....
Nilimkalia Samir miguuni mwake alibaki ananishangaa tu. Tulitazamana Kwa sekunde kadhaa tulishtuka baada ya kusikia mlango unagongwa. Haraka niliinuka nikasimama. Niliusogelea mlango huku nikiwa nachechemea hapo Samir Alipata uhakika Sasa kuwa nimeumia mguu baada ya kuniangalia kwa umakini.
Nilifungua mlango aliyekuwa anagonga ni Samira.
"Karibu". Hakunijibu aliingia ndani ila safari hii hakunisukuma maana alijua kabisa na mie kichaa kuzidi yeye π.
"Daddy!. Alimuita baba yake. Mie Bado nilikuwa nimesimama mlangoni.
"Naam!, niambie?"
"Baba nashida na pesa nimeishiwa". Samira aliyasema hayo Kwa sauti ya kuomba na sio kulazimisha kama awali. Samir aliniangalia mie Kwa kiulizo. Nilimpa ishara ampe tu maana alikuja ratatibu.
"Samira alifungua wallet yake na kutoa kibonda Cha pesa akampa mwanae.
Samira alizipokea na kutaka kutoka. Kabda hajaufikia mlango nilimsimamisha.
"Ebu simama kwanza. Unaenda wapi Sasa?" Samira aliniangalia Kwa makasiriko.
"Si nakuuliza unaenda wapi. Umeshukuru baada ya kupewa hizo pesa, hapa hutoki na hizo pesa kama huwezi kusema Asante'. Nyie Samira aliniangalia jicho hilo sio pouwa. Mie Wala sikuteteleka. Niliendelea kumkazia Akitaka kutoka bila kumshukuru hata Kwa icho alichopewa basi aache hizo pesa mezani.
Samira alimgeukia baba yake na kutamka asantee Kwa kigugumizi sijui ni vile alikuwa hajazoea. Baba Yake aliitikia Kwa kutingisha kichwa. Baada ya hapo Samira alitoka chumbani.
Samir aliinuka pale kitandani na kunifuata pale mlangoni. Alinibeba Kwa mikono miwili nilibaki na mshangao. Alinikalisha kitandani alafu yeye alipiga goti mbele yangu. Aliunyanyua mguu wangu na kuiweka kwenye goti lake. Taratibu alinivua soksi ndipo aliona kidondo nilichogunga Kwa bandeji. Aliniangalia usoni na mimi nilimtazama.
Nilipotaka kuongea anininyamazisha Kwa kuweka kidole chake mdomoni kwake. Nilitulia tuli kama maji mtungini.
Alienda kwenye dress table kuchukua dawa spiriti na ya kupaka.
Aliunyanyua mguu wangu tena. Alifungua Ile bandeji mguuni. Alichukua spiriti alipotaka kuniweka nilimshika mkono kumzuia.
"Unaogopa?".
"Inauma bhana". Niliongea Kwa sauti ya madeko.
"Nakuweka kidogo tu. Fumba macho". Nilitii amri. Nilufumba macho na kumuachia mdomo Samir. Samir alinimwagia Ile spiriti kwenye kidonda maumivu yake ayo sio pw. Alianza kunipuliza huku ananipaka Ile dawa nyengine. Namna alivyokuwa ananipuliza wee mwenzenu nilitulia tuli na kumuangalia tu mume wangu na jinsi alivyo Handsome π₯°.
Baada ya kumaliza alinifunga Tena bandeni nyengine na kushusha mguu wangu chini taratibu.Aliinuka na kukaa kitandani.
"Umefanyaje?".
"Nilijikuta babati mbaya?".
"Kuwa makini sawa. Alafu sitaki ufanye kazi humu ndani. Naomba uwe mtulivu sawa".
"Ni sawa. Nilikubali ila ukweli ni kwamba kazi zenyewe sijui kufanya nimekulia maisha ya kishua na tumelelewa kimayai mayai mie kupika kwangu kipengere. Kufua naweza na usafi wa chumbani pia nipo vizuri. Ila sijui kuosha vyombo Wala kupika vizuri sijui pia.
"Kesho nilitaka twende nyumbani kwenu kusalimia ila huwezi kwende Kwa hali hiyo".
"Ni kweli". Tulikubaliana baada ya kidonda kukauka ndipo twende nyumbani.
Tangu niolewe na Samir hatukuwai kushiliki tendo la ndoa. Sijui alikuwa ananichukuliaje ila sikujali sana kwasababu nilishaambiwa maisha yake ya nyuma. Picha ya mke wake Bado ilikuwa ukutani hata hivyo sikutaka kutumia nguvu kuitoa. Niliamini siku akinitazama kama mke wake basi ataitoa mwenyewe.
Maisha yaliendelea. Mguu nao ulipona. Weekend Moja Mimi pamoja na Samir tulienda nyumbani kwetu kusalimia. Huko tulipokelewa vizuri Kwa bashasha. Mama alifurahi baada ya kuniona Binti yake.
"Umekuwa mrembo na hata mwezi hujafikisha. Umeona ndoa ilivyo tamu eeeeh!".
"Mama na wewe umeanza hivyo. Sijauonja hata huo utamu wenyewe".
"Kivipi mwanangu?".
"Yaishe mama yangu ila nashukuru MUNGU mume wangu ananijali".
"Hilo ndo kubwa kuliko yote kwenye ndoa. Ukipata mwanaume mwenye kukujali mapungufu mengine ni kuvumilia tu mwanangu". Mama aliyasema hayo pasipo kujua mwanae kuwa upwiru umenikaba Koo! ππππ.
Samir alikuwa na baba wanaongea na mimi nilikuwa na mama jikoni tunasaidiana kupika na kupika kwenyewe sijui jamani basi ni shida tupu.
"Hivi unampikiaga mumeo chakula kweli wewe?".
"Najua Sasa hata kupika kwenyewe?, mama nawewe kwani hunijui mwanao.
"Yafaa kujua Sasa, mwanaume anapenda kuandaliwa chakula na mkewe. Mimi na ubusy wangu wa biashara zangu yote atafanya Husna ila kupika na kufua ni Mimi mwenyewe, kwaiyo kwako Huwa ufanya nini kwaajili ya mumeo?".
"Namuandalia tu nguo za kazini na kumpikia maziwa".
"Hujui?".
"Nisiwe muongo mama sijawai kufua na hata hivyo mwenyewe amenikataza kufanya kazi yoyote".
"Nani Samir?".
"Ndiyo".
"Jiongeze mwanangu utaibiwa mume. Ni kweli waume zetu Wana huruma na sisi ila wanapenda kufanyiwa na wake zao. Jiongeze usitake huruma yake. Jitahidi pia ujue kupika na kufua nguo za mume wako sawa?".
"Sawa mama nimekuelewa". Basi tuliendelea kupika biliani mama alikuwa ananielekeza.
Tulishinda mpaka majira ya jioni ndipo tuliaga kuondoka. Nilibeba baadhi ya vitu vyangu hao tukaondoka na mume wangu.
Siku hiyo nilikuwa kivingine nilipania kuliwa hatari.
Majira ya usiku wa kwanza kuingia chumbani nilikuwa Mimi. Huko nilitandika vizuri shuka na baada ya hapo niliingia bafuni kuoga. Nilivaa night dress yangu nyeupe inayoonyesha maungo ya ndani. Niliwasha taa hafifu na kujilaza zangu kitandani kumsubilia mume wangu.
Nilikaa pale kitandani muda mrefu pasipo Samir kuingia.
"Mmmh! Au ametoka?". Nilijiuliza mwenyewe pasipo majibu. Mpaka saa sita kasoro Samir alikuwa nje ya chumba chetu. Nilichukua kanga nikajigunga na kutoka chumbani ili nikamuangalie sebleni nilipomuacha.Nilishuka mpaka sebleni ila sikumkuta na nyumba zima walikuwa wamelala.
Nilitoka nje nilizunguka kote ila sikumuona pia.
"Huenda yupo juu pustanini amekaa". Niliyawaza hayo. Nyumba ya Samir Ina bustani nzuri juu pamoja na swimming pool. Nilimpandisha juu gorofani kwenye bustani nilimkuta Samir amekaa anakunywa pombe na alikuwa emelewa. Alivyoniona aliachia tabasamu.
"Njoo Nadra mke wangu". Kwa mala ya kwanza Samir aliniita mke wake Kwa kinywa chake mwenyewe. Nilimsogelea taratibu nilipomfikia karibu alinivuta Kwa nguvu nilijikuta nadindokea miguuni mwake. Samir alinitazama Kwa tabasamu Bomba usoni na macho yake regevu nenye uchu na tunda languπ.............UTAMU KUNOGA. SASA MDAU WANGU KWANINI UNANGOJA NIKUPOSTIE KIMOJA KIMOJA WAKATI STORY UNAWEZA UKAISOMA KWA RAHA ZOTE KWA BEI YA 1000.
KARIBU KULIPIA NAMBA 0743770612 JINA JOFREY.
UKISHALIPIA NICHEKI WHATSAPP KWA NAMBA 0683009150..