Simulizi za john
0789 824 178
1000
Nilistuka sana, karibu nizimie. Baba Zawadi akaniangalia, akasema, “Mama Zawadi, umefuata nini hapa?” Mara akaingia mama mmoja mtu mzima pamoja na wanaume wawili. Nikatoka nikarudi jikoni, machozi yananitoka. Huyu mtu anarudi tena? Imekuwaje? Niliumia moyoni. Baba Zawadi alinifata, akanikuta nimeegemea sinki, akasema, “Zawadi, usiwe na wasiwasi, hakuna kitakachobadilika, sawa?” Sikumjibu. Akanikumbatia, akasema, “Nitafanya kila nilichokuahidi.” Sikumjibu, akasema, “Naomba uende chumbani kwako, acha kulia.” Nikasema, “Sawa.”
Nikatoka, nikapita sebuleni kimya kimya, nikipanda juu hadi chumbani. Nilijawa na mawazo—nimeishi kwa raha mwezi mmoja tu, shida zinarudi! Nikaingia chumbani, nikampigia Neema, nikamweleza. Akasema, “Shoga, hapo shida inarudi! Lia, mwambie unampenda, huwezi ishi na mkewe nyumba moja.” Nikasema, “Ataniona kichaa!” Akasema, “Shida nini? Amka, kuwa serious na maisha!” Nikasema, “Sawa, nitafanya hivyo.”
Nilibaki chumbani, lakini moyo ulikuwa haunipi. Nikaenda kuchungulia, nikaskia maongezi. Mama mmoja akasema, “Mwanangu, tumekupigia simu sana uje nyumbani, lakini umekataa. Tumekufuata leo, tusikilize. Huyu ni mke wako wa ndoa, hamuwezi achana hivyo. Kama kuna mambo magumu, tuongee.” Baba Zawadi akasema, “Sina cha kuongea kuhusu huyo mwanamke. Ana roho mbaya sana. Nilieambiwa Wakichame ni wakatili, wanaweza kuniua. Amenitishia mara nyingi, anawivu hata bila sababu, ananidai nasaliti. Amenyanyasa watu wote wa kazi, kila mmoja anaondoka kwa unyama wake. Najiuliza, nikifa, nani atawalea watoto wangu? Mara ya mwisho, alimpiga mtoto yatima kwa kosa la kujulikana hali, hadi akaumia magotini. Anachukua mshahara wake, lakini hajawahi kumlipa hata mia. Unyama huu siwezi uvumilia. Najuta kumuoa, japo nawapenda watoto wangu, hawana hatia. Nimeamsaidia huyu binti asije akashtaki polisi, kwani ni kinyume na haki za binadamu. Sitaki watoto wangu wasikie mama yao alifungwa kwa kumpiga msichana wa kazi.”
Nilistuka, nikauamia. Kumbe ananisaidia kumlinda mkewe, sio huruma? Machozi yalinitiririka. Kumbe nimewekwa ndani ili nisimshtaki? Nililia sana, nikakaa chini bila nguvu. Sikujua nalia kwa sauti. Baba Zawadi akaninyanyua, akasema, “Zawadi, unafanya nini hapa?” Nikasema, “Usinishike, niache!” Akasema, “Nini umesikia?” Nikasema, “Niache!” Nikaingia chumbani, nikaanza kufunga nguo zangu kwenye kitenge—sikuwa na begi. Alinifata, akasema, “Zawadi, mbona sikuelewi?” Nikasema, “Mnaona nini nyinyi binadamu? Unaniona mdogo, yatima, sina mtetezi, si ndiyo? Kumbe uliniahidi yote ili kunifumba mdomo nisimshtaki mke wako polisi? Siwezi kukaa hapa, naomba niende!”
Akasema, “Zawadi, sio hivyo, hujanielewa. Naomba utulie, tutaongea. Acha niwatoe hawa kwanza.” Nikasema, “Sina cha kuongea. Unadhani alichonifanyia mke wako ni sawa?” Akasema, “Hapana, ndiyo maana nimekuambia tutaongea. Unataka niseme nini ujue niko na wewe? Nachukizwa na ulichofanyiwa.” Aliongea kwa huruma, sura yake ikionyesha kuchanganyikiwa. Nikakumbuka maneno ya Neema, nikasema, “Nipende mimi, kuwa na mimi, sababu nakupenda sana, japo hata jina lako sijui.” Alistuka, akanitazama, akasema, “Unasemaje, Zawadi?” Nikasema, “Umesikia, najua niko mdogo, lakini nina mwili mkubwa. Huwezi kuwa baba yangu, labda kaka, kwani wazazi wangu ni wakubwa kuliko wewe. Naweza kukufanyia kila kitu.”
Alinishika kiuno, akageuka nyuma, kisha akatazama tena. Nilikuvua nguo haraka, nikabaki uchi, nikasema, “Au unaniona mbaya? Nastahili kuteseka?” Alinitazama juu hadi chini, akasema, “Zawadi, vaa nguo, nakuja tutaongea.” Nikasema, “Hapana, niambie kama huwezi, niache niende!” Akanisogelea, akachukua kitenge, akanivesha, akashika mabega yangu. Nilisikimika mwili mzima. Akasema, “Naomba nimalize na hawa, nitakuja tuongee. Usitoke, nakuomba sana, Zawadi. Ukitoka, utanikosea.” Nikamtazama, sikumjibu.
Alitoka, akarudi sebuleni. Sikukoma, nikaenda kusikiliza. Mkewe alikuwa analia, akisema, “Mama, unaona anavyonifanyia? Huyu msichana ananiharibia ndoa!” Mamake akasema, “Kelele! Huoni ulichofanya? Ulitaka binti acheke kwa uliyomfanyia?” Mkewe akasema, “Mama, huoni Scott anavyohangaika na huyo msichana?” Mamake akasema, “Ni binti mdogo tu, unashida gani? Kumbe nisingekuja, unaniaibisha!” Mamake akasimama, akaondoka. Ndipo nikajua Baba Zawadi anaitwa Scott. Mkewe alilia, lakini Scott alishikilia msimamo, akisema, “Mama, mtoto wenu ni mvivu, hakuna anachofanya. Zawadi anafanya kila kitu, hata nguo zangu za ndani. Pesa nampa, sijui anapeleka wapi. Anapenda kulewa, anashindana nami. Watoto niliwapeleka boarding, naomba aondoke!” Walimbembeleza, lakini Scott alikataa, akawapa sababu nyingine. Wakaondoka na begi lake.
Nilirudi chumbani nikinyata, nikawaza, “Nimefanya nini? Nifanye nini sasa?” Saa moja ikapita, Scott akaja, akasema, “Jiandae, tunatoka, sikusema tutaogelea?” Nikasema, “Sawa.” Nikamtumia ujumbe Neema, akajibu mara moja, akisema, “Vaa sidilia na chupi, utaogelea hivyo.” Nikasema, “Naona haya!” Akasema, “Acha ujinga, una kiumalaya, kinahitaji kuwashwa!” Nilicheka, nikasema, “Sawa.” Nilivaa gauni la kubana—Neema alinipa nguo za kubana—na sidilia na chupi nzuri ndani. Nikatoka, nikamkuta Scott sebuleni, akasema, “Uko tayari?” Nikasema, “Ndiyo.” Akasema, “Twende.”
Tulitoka hadi garini, akaniambia nikae mbele. Nikavunja kishoka, Masai akafungua geti, tukatoka. Tulienda beach moja kwenye hoteli. Akalipia, tukaenda mezani ambapo kulikuwa na wanaume watatu na wasichana. Walipomuona Scott, mmoja akasema, “Mbona umechelewa, mshikaji?” Akasema, “Kulikuwa na jambo niliseti.” Mwingine akasema, “Karibu!” Akanitazama, nikaweka kidole mdomoni kwa aibu. Scott akanishika mkono, akasema, “Kaa hapa.” Akasema, “Tunakunywa nini?” Wenzie wakasema, “Tumeanza na bia.” Scott akaagiza bia kama zao, lakini wengine wakaagiza zaidi, kila mmoja akilipia. Meza ikajaa bia, nikaona ni pesa tu!
Scott akaninong’oneza, “Umewahi kunywa bia?” Nikasema, “Sijawahi.” Akasema, “Powa.” Akamuita mhudumu, akaniletea juisi. Wenzie wakasema, “Mbona juisi?” Akasema, “Zawadi hatumii bia.” Mmoja akasema, “Hujatutambulisha huyu!” Akasema, “Anaitwa Zawadi. Huyu ni Beatus, huyu wa miwani ni Dominic, huyu mzee ni Lewis, na huyu mfupi ni Marwa.” Nikasema, “Ahaa,” huku naangalia chini. Wasichana wakasema, “Tunataka kuogelea!” Scott akasema, “Naomba muende na Zawadi.” Nikanyanyuka, tukaenda kutoa nguo, nikavaa sidilia na chupi, shanga kiunoni. Scott aliniangalia hadi nikaingia majini. Tuliogelea na wasichana hadi tukaitwa kula. Nikatoka majini, nikaona wasichana wakienda hivyo hivyo. Nikasimama, Beatus akanifata, akasema, “Twende, usiogope.” Nikakubali, akanipeleka mezani. Scott akanishika mkono, akavuta kiti, akanikalisha, huku akanuna sana… Itaendelea.