Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

SIMULIZI : NYOTA YANGU SEHEMU 12

2nd Aug, 2025 Views 24



ENDELEA.....
Niliendelea kuzunguka mule chumbani nisielewe nini nifanye. Nilisogelea dirisha na kuchungulia Kwa nje. Kwa macho yangu nilimuona Jafari nje ya geti amesimama.

Jafari alitazama juu na kuniona pia. Alinipungia mkono na baada ya hapo aliongea Kwa ishara kwamba muda alionipa unakaribia Hana masihara ataingia kweli.

Nilizidi kuchanganyikiwa. Niliaangalia saa kwenye simu yangu ilikuwa ni saa kumi na mbili kasoro jioni. Ni muda wa mume wangu kuludi.

Nilimtazama Tena Jafari niliona anasogelea geti taratibu huku ananitazama. Nilimpigia simu alipokea.

"Tafadhali usiingie natoka Mimi". Niliyasema hayo na kukata simu. Nilitoka chumbani kwangu kwa kuibia sikutaka mtu anione kama natoka nje.

Nilikuwa na hofu ila sikuwa na namna zaidi ya kufanya vile atakavyo Jafari ili kuilinda heshima yangu kama mke. Nilifika sebleni hapakuwa na mtu. Nilitoka mpaka nje ya nyumba. Nilisogelea geti ila kabda sijatoka mlinzi alikuja Kwa lengo la kunifungulia geti.

"Acha madame nitakufungulia". Mlinzi aliyasema hayo.

"Hapana pumzika nitafungua mwenyewe".

"Hapana hii ni kazi yangu kwaiyo usijali". Niliona nae ananichamganya tu mwishoe nibambwe hapo ilibidi nikaze sauti.

"Nimekwambia acha nitafungua mwenyewe au ushazoeq utumwa?. Kaendelee na shughuli zako". Mlinzi aliondoka maana sikutumia kauli nzuri. Nilijisikia vibaya hata mimi ila sikuwa na namna.

Nilifungua geti nikatoka nje nilimkuta Jafari amesimama hatua tano kutoka pale getini. Aliponiona nimetoka nje ya geti alinisogelea kwa ukaribu.

"Niambie una shida Gani?". Nilimuuliza Jafari huku naangalia huku na kule Kwa tahadhari watu wasinione.

"Nimekumiss sana Nadra wangu". Jafari aliyasema hayo na kutaka kunishika mkono.

"Jafari tafadhali naomba uniheshimu. Mimi ni mke wa mtu huoni kama utaniaribia ndoa yangu?, please sema nini unataka nikupe ili ukae mbali na maisha yangu". Niliongea hayo Kwa kulalamika. Jafari aliniangalia Kwa muda kidogo na kuachia tabasamu.

"Nadra Mimi ninachokutaka ni wewe. Nakutakia wewe Nadra wangu. Tafadhali mama nisamehe najua Mimi ndo chanzo na najua Bado unanipenda ila uliolewa tu Kwa hasira".

"Unaongea Nini wewe?".

"Lazima uelewe hilo na nipo hapa kupambania penzi langu. Unaniachaje nateseka sina nyuma Wala mbele na wewe upo tu". Yaani Jafari hakuwa na haya kabisa. Eti namuachaje anateseka, nilimuelewa nini anamaanisha. Maisha yalishampiga muda mchache tu ila alijichokea balaa.

"Okay naomba uondoke tutaongea zaidi kwenye simu na hukusu Hela usijali nitakutumia". Niongea hayo ili kumuondoa haraka nisije kufumwa. Jafari aliposikia Hela alikubali kuondoka. Niliingia ndani nilimkuta mlinzi amekaa nje ya chumba chake. Hofu yangu nilihisi labda amenisikia au kuniona kabisa nilivyokuwa naongea na Jafari.

Nilimfuata mlinzi na kwautaratibu nilizungumza.

"Kaka samahani Kwa kauli yangu tata niliyokutamkia si unajua ulimi hauna mfupa. Nisamehe bule tu kaka yangu". Niliongea hayo Kwa sauti tulivu.

"Usijali madame. Najua Kuna kuteleza kwaiyo ondoa shaka". Niliingia zangu ndani na kupitiliza mona Kwa moja chumbani. Ile nafika tu chumbani nilisikia honi ya gari nje.

"Uwiii! Ni gebambwa na Samir sijui ningekwambia nini".

Nilinitengeneza vizuri maana nilikuwa na hofu Bado. Samir alipitiliza mpaka chumbani akiwa na mfuko mkononi.

Nilimpokea ule mfuko na kunikaribisha nilijitahidi kuchangamka japo moyoni nilikuwa na hofu acha kabisa.

"Ni mfuko wako huo". Baada ya Salam Samir aliniambia kuwa niangalie kwenye mfuko Kuna vitu vyangu.

Nilitoa vile vitu kwenye mfuko. Lilikuwa boksi kubwa. Nililifungua na kukutana saa pamoja na cheni za dhahabu, na kadi ndogo.

"Ni vyangu?". Nilimuuliza Samir.

"Yeah". Nilichukua Ile kadi na kujifungua. Niliusoma na baada ya hapo nilimkumbatia Samir Kwa furaha. Samir alilipokea kumbato langu. Tulikumbatiana Kwa muda kidogo na kuachiana. Samir aliniangalia usoni niliinamisha kichwa chini Kwa aibu.

Mala simu ililia mlio wa sms. Wote Mimi na Samir tuligeuka kuiangalia namba ilikuwa ya Jafari. Samir hakufuatilia, alianza kupunguza nguo mwilini mwake. Nilichuchumaa na kumvua viatu.

Nyie hubby ndo lilikuwa limeanza. Siku hiyo Samir alikuwa tofauti kidogo. Samir baada ya kupunguza nguo aliingia bafuni kuoga na mimi ndipo nilipopata upenyo wa kushika simu yangu.

Ujumbe wa Jafari ulikuwa unataka Hela, sikuwa na namna zaidi ya kumtumia. Haraka nilimtumia pesa na kumwambia asinitafute.

Upande wa mama Bado alikuwa chumbani kwake amelala. Mama hakuwa sawa kabisa sijui tatizo ni Nini. Alionekana kuwa mwingi wa mawazo.

Majira ya saa mbili usiku wote tulikuwa kwenye meza ya chakula kasoro Samir tu.

"Samir yupo wapi?". Samir alimuuliza dada yake.

"Hata mimi sijui".

"Wewe nae unachangia Samir kuharibikiwa. Umeshindwa kusimama kwenye nafasi Yako kama shangazi ndo kwanza unamfunza mambo ya ajabu". Samir aliongea hayo na kusababisha mzozo. Mie muda wote nilikuwa kimya tu. Mama Yao aliwatuliza.

Tuliendelea kula mala Samira aliingia akiwa amelewa chakari maana hata Tembea yake alikuwa anayumba kama vile anataka kuanguka.

"Oooh! MUNGU wangu ni nini hiki". Mama mkwe wangu aliyasema hayo huku ameshikilia kichwa chake. Mie nilikuwa namtazama tu Kwa mshangao.

Samir aliinuka kwenye meza ya chakula akiwa amefuru Kwa hasira na wengine wote tuliinuka. Samir alimsogelea mwanae.

"Samira umetoka wapi?". Samir alimuuliza mwanae Kwa hasira Kali.

"Achana na mimi wewe". Samira alimjibu baba yake. Samir alinyanyua mkono wake na kutaka kumpiga kibao Samir ila kabda hajampiga niliudaka mkono wake na kusimama mbele ya Samir. Wote walinishangaa Kwa mshangao wa wazi wazi......... ........Hii story bado ndefu sana wadau wangu yaani ina vipamde zaidi ya 30 alafu unakaa hapa unasubilia nikupostie kimoja kimoja kweli na wakati unaweza ukaisoma kwa raha zote inbox kwako tena kwa bei cheee!.

NAMBA YA MALIPO 0743770612 JINA JOFREY.

UKISHALIPIA NICHEKI WHATSAPP KWA NAMBA HII 0683009150..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SIMULIZI : NYOTA YANGU SEHEMU 12  >>> https://gonga94.com/semajambo/simulizi-nyota-yangu-sehemu-12
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest