"MMtuaaliyemfanyiauupasuajini bbingwawwammifupa eendaponningemfanyiaMimi uupasuajiwwakwanza sina uuhakikakama aangewezakkutembeatena...." DDaktariaanayeaminikakkatikahhospitaliya AAghakanaaliongea
BBaadaya kama ddakika20 hhivikkupitaJamila aalirejeshaffahamu
HHakuwana nnamnazzaidiya kkumtajiahhospitaliaaliyofanyiwauupasuaji
HHoteliaaliyokuwaaanafanyannayokkaziiiliingiajjukumula kkumsafirishammpakaJJijiniMMbeya
Moja kwa moja aalipokelewakkatikahhospitaliya St. Peter aakiwana bbaruamaalumu.
Chris alishangaa baada ya kumuona Jamila akiwa katika maumivu makali ya mguu.
"Hapana kwa wakati huu sitamfanyia operation, endapo nitafanya hivyo hatatembea kabisa. Daktari aliyemuandikia hii barua nina uhakika anajua ni kitu kitatokea endapo mifupa yake itaguswa tena" Dorin aliongea
"Kwahiyo ni kitu gani una shauri katika hili!" Chris aliuliza akiwa katika hali ya kupanic
"Ni lazima akatwe mguu, tofauti na hapo utaoza...." Dorin aliongea
"Hapana, lazima kuna njia nyingine. Daktari aliye muandikia barua arudi kwako hakuwa kichaa nina uhakika anajua kila kitu kitawezekana. Naomba ufikirie mara mbili mbili" Chris aliongea
"Naomba unipe muda wa kuuchunguza mguu wake, ondoka" Dorin aliongea
Chris aliondoka huku akiamini kila kitaenda sawa.
Dorin alikunywa maji mengi kwanza, baada ya kuhakikisha tumbo lake limejaa maji alielekea kwenye chumba alichokuwa amelazwa Jamila.
Aliutazama mguu kwa umakini mkubwa, uwezo wake katika swala la mifupa ulikuwa ni mkubwa sana. Bila hata x-ray alijikuta akiona namna mifupa ilivyokaa.
"Hili ni tatizo...." Alijisemea ndani ya moyo wake akataka kuondoka bila kumsemesha Jamila lakini alishtukia ameshikwa mkono
"Naomba uniambie ni kitu gani kinaenda kutokea!.... nitakuwa mlemavu!" Jamila aliuliza
"Ni mapema sana kuongea kuhusu hatima yako, nitarudi tena mida ya jioni kukuangalia, nitakuletea dawa za kupunguza maumivu" Jamila aliongea kisha akaondoka.
Alijifungia katika ofisi yake akawa anajaribu kufikiria namna atakavyoigusa mifupa ya mguu wa Jamila bila kuleta dosari lakini kila njia aliyofikiria ilileta madhara.
Anaamua kumfuata Chris ofisini kwake
"Kwa wakati huu naomba unisamehe....kila njia ninayo fikiria naona inaleta madhara kwa Jamila. Hawezi kuendelea kukaa hospitali hivyo njia pekee ni kumkata mguu wake" Dorin aliongea
"Sijawahi kuwa na mashaka na kazi zako, hivyo hata kwa wakati huu sitakuwa na mashaka na wewe. Fanya kile unachoona ni sahihi kwa mgonjwa" Chris aliongea
Jamila alinyoosha mikono yake akamkumbatia, aliweza kuelewa kwa haraka ni kwa namna gani Mwanaume huyu anajisikia vibaya
"Jukumu langu ni kuhakikisha wagonjwa wote wanaopita mikononi mwangu wanakuwa salama, naomba uuache ujuzi wangu uamue katika hili"
"Nakuamini katika hili, vyovyote vile itakavyo kuwa nitakubaliana na hali halisi" Chris aliongea
Dorin hakuwa na muda wa kupoteza, alijiandaa akavaa mavazi yake maalumu kwa upasuaji.
Kitendo cha kuingia tu katika chumba cha upasuaji alijikuta akimuona Jamila kama Chris.
Alichukua vifaa maalumu kwa kukata mguu lakini alijizuia, kila alipomtazama Jamila alimuona Chris
"Nitamfanyia upasuaji...." Dorin aliongea
"Sidhani kama kuna haja ya kupoteza nguvu zako katika hili...." Nesi aliyekuwa naye aliongea
"Kuna njia moja sikuwa nimeifikiria, acha niijaribu endapo itashindikana nitamkata mguu" Dorin aliongea kisha akaagiza vifaa vingine
Chris akiwa kajiinamia kwenye meza yake alijikuta akitiririkwa machozi. Alijilaumu kwanini hakusomea upasuaji wa mifupa. Kama angefanya hivi ana uhakika angeweza kumsaidia Mwanamke ampendaye.
Dorin anafanikiwa kumaliza Operation yake huku mapigo ya moyo wake yakiwa juu sana.
"Baada ya masaa 5 nitakuja kuangalia kama nimefanikiwa au nimeharibu" Dorin aliongea kisha akamuacha nesi amalizie sehemu chache iliyobakia
Anaelekea ofisini kwa Chris kumpa taarifa
"Vipi mguu wake umesha uchoma tayari..." Chris aliuliza akiwa katika hali ya kukata tamaa
"Nimemfanyia operation, kuna njia moja sikuwa nimeifikiria.....baada ya masaa 5 nitaangalia matokeo. Kama nitakuwa nimefeli katika hili itanilazimu kumkata mguu ila sitamani iwe hivyo" Dorin aliongea
Chris alimkumbatia kwa kasi ya ajabu wakaanguka kule, kitendo tu cha Dorin kusema amefanya operation kilimtia nguvu.
Kwa pamoja walikaa juu ya meza wakaanza kusikilizia masaa
JE NINI KITAENDELEAAA!
FULL 1000
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK MWISHO KABISA
BEI YA OFAAAAA WAHI INBOX NA 500 YAKO TU UMALIZE MPK MWISHO
NAMBA YA MALIPO 0755090082 JINA LA USAJILI ZAINABU SUNGITA MPESA
UKISHALIPIA WAHI...
WAHI WHATSAPP 0755090082
SIMULIZI HI HAIPOSTIWI TENA KAMA HUNA HATA 500 YA KUSOMA BASI NICHAMBE TU HAPO KWENYE COMMENT 😂😂😂.