Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

๐’๐ข๐ฆ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ณ๐ข: ๐Œ๐€๐…๐”๐“๐€ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐’๐€๐‰๐ˆ ๐Ÿ”ž ๐€๐ข๐ง๐š: Chombezo/Maisha/Visasi/Mauaji ______________ Na hii ni sehemu ya nne

1st Aug, 2025 Views 7

.

ILIPOISHIA.....
Kabla Onesmo hajachukua hatua yoyote, alihisi kama miale ya umeme ikimpiga shingoni. Giza likatanda usoni kwake huku mwili wake ukilegea. Akaanguka chini kama mzigo, hakujua nini kimeendelea
Je, mwanamke huyu ni nani? Katoka wapi? Anataka nini? Kwa nini?

SASA ENDELEA...
Asubuhi majira ya saa tatu, mwangaza wa jua ulipenya kupitia pazia za dirisha ukamchoma Onesmo usoni. Taratibu alifumbua macho yake, alihisi kichwa kuzunguuka na macho yake yakiwa mazito. Alikuwa amelala kitandani tena akiwa amefunikwa vizuri. Mara kuna sauti ya kike ikawa inaita mlangoni.
โ€œOnesmoโ€ฆ Onesmo, amka. Nimekuletea kifungua kinywa.โ€
Onesmo aliinuka akajitazama tena. Yuko kitandani chumbani kwake akiwa amefunikwa vizuri. Taswira ya kile kilichotokea jana usiku ikamjia kichwani kwa kasi kama picha ya filamu ya KUTISHA.

Yule mwanamke mwenye mavazi meusi, usiku!!
Kabla Onesmo hajawaza zaidi mara mlango ukafunguliwa. Madam Sandra mke wa mjomba wake akaingia. Kama kawaida yake, alikuwa ndani ya vazi lake lile lile la kulalia, 'night dress' nyepesi inayoonesha nguo za ndani alizovaa, Miguu yake myeupe na laini ilitembea taratibu huku nywele zake ndefu zikiwa zimelegea mabegani mwake. Mapaja yake makubwa na tumbo lake lililonyooka. Vyote hivi vilimvutia Onesmo bila hata kupenda.

Macho ya Onesmo yaliganda, hasa kwenye kifua cha Madam Sandra. Matit yake ya wastani yalitikisika kidogo kwa kila hatua aliyopiga.

โ€œUmelala sana kulikoni?โ€ Madam Sandra aliuliza kwa sauti laini yenye kubembeleza. Akaongeza swali lingine...

"Au ndio umeugua kweli kipenzi?"
Akaweka sinia la kifungua kinywa mezani.

"Hamna niko poa!"

"Haya amka ule basi"

"Anko yupo au kaenda zake kazini?"

"Hahha kwani vipi unamuogopa au"

"Mmh! Hamna lakini ile jana si uliona tumetokea kwenye tundu la sindano..."

"Usijali amka ule basi"
Onesmo hakuwa na njaa. Alikuwa bado anapambana na mawazo ya kilichotokea usiku. Alijaribu kuunganisha kumbukumbu zake, alimfikiria yule mwanamke mwenye mavazi meusi chumbani kwake. Akawaza au ile ilikuwa ndoto? Lakini ile sura, ile sauti, mbona kama ilikuwa kweli.
Aliondokaje? Mbona hajamfanya kitu? Nani alimfunika hapa kitandani?
Haya ni maswali yaliyopita kwa kasi kwenye kichwa cha Onesmo. Alipotupa macho kutazama chini ya kitanda, aliona kitu kidogo. Alipoinama kukiokota, moyo wake uliruka kwa hofu.

Ulikuwa ni mfuniko wa plastiki wa kile kisu alichoshika yule mwanamke wa usiku. Sasa hakuwa na shaka, ile haikuwa ndoto. Alikuwa karibu na hatari usiku wa jana, mwanamke mvamizi alikuwepo kweli.

Madam Sandra wala hakuiona hofu machoni kwa Onesmo, yeye aliketi pembeni ya kitanda, akimtazama Onesmo kwa jicho la mahaba.

"Vipi mbona kama hauko sawa?" Hatimae Madam Sandra aliuliza.

"Hapana niko sawa madam, asante kwa chai..." Alisema Onesmo akijifanya kuwa sawa.

โ€œJana uliingia chumbani kwa Daktari Marryโ€ฆ lakini ulichelewa sana kutoka. Kwani mlikuwa mnafanya nini na huumwi?โ€ Aliuliza Madam Sandra sauti yake ilikuwa ya upole lakini maneno yake yalibeba hisia za shaka na wivu.

Onesmo alipigwa na bumbuwazi. Akababaika kidogo kujibu.
โ€œEhโ€ฆ niliโ€ฆ nilikuwa naumwa kweli. Daktariโ€ฆ alitaka kuhakikisha nakuwa sawa kwanza... Unajua huwa nasumbuliwa na homa za mara kwa maraโ€ kijana alidanganya kama kawaida yake.
โ€œUna hakika?โ€ Madam Sandra akauliza akimtazama Onesmo kwa macho ya udadisi.
โ€œAu kuna kingine kilitokea?โ€

"Kingine kama kipi Madam... Mbona unauliza maswali ya ajabu tena"
Mrembo huyo alisimama, akasogea karibu na Onesmo, akapinda kiuno kisha akamkodolea macho.

โ€œNaomba uniambie Onesmo. Utaweza lini kunipa kile ninachokitaka?โ€
Onesmo alishangaa. Kumbe haikuwa kwa sababu ya kuficha kile alichokiona kule katika jengo la masaji. Ni kama Madam Sandra alimtaka kimapenzi.

โ€œUnajua nini Onesmo. Nitakubadilishia maisha yako. Nitakupa kila unachotakaโ€ฆ pesa, simu, mavazi, uhuru. Lakini nataka moyo wako, na mwili wako. Unasemaje, mmm?"

Onesmo aliduwaa. Akashindwa hata kumtazama moja kwa moja. Hakuwa na jibu la kumpa. Lakini mwili wake ulikuwa unamsaliti. Alihisi joto likimpanda, hasa alipomwangalia Madam Sandra akiinama kidogo, kifua kikisogea karibu kabisa na uso wake. Matit yale mazuri yakawa karibu kumgusa.

Madam Sandra alitabasamu kwa hila, kisha akasogea mezani kuchukua sinia yenye kifungua kinywa. Kwa makusudi akawa anayatikisa makalio yake kiasi cha kumfanya Onesmo kuwa katika wakati mgumu.

"Haya kula kwanza upate nguvu..."

"Lakini sijaoga wala kunawa uso..."

"Wewe kula. Utafanya hayo yote baadae"

Onesmo alijikuta akishika kijiko taratibu, lakini macho yake hayakuwa kwenye sahani. Yalikuwa yamekamatwa na mwili wa Madam Sandra.

โ€œNakuacha ule. Nitarudi baadaye.โ€ Alisema Madam Sandra kisha akainuka na kuondoka zake.

Alipotoka tu, Onesmo aliangalia tena mkononi mwake. Alikuwa bado anashikilia ule mfuniko wa kisu. Akajiuliza, yule mwanamke ni nani? anataka nini? Kama ni hatari kwa nini alimuacha salama?. Ni maswali magumu ambayo wala hakuwa na majibu yake.
____________

Mjomba P anarejea nyumbani akiwa na mifuko ya mikate kwa ajili ya kifungua kinywa, lakini alipoingia ndani na kumkuta mkewe Madam Sandra akiwa amevaa vazi jepesi la kulalia, lililobana maeneo ya kifua na mapaja, sura yake ilibadilika mara moja.

โ€œHivi Sandra, unajua kabisa tuna mgeni hapa nyumbani, tena wa kiume, bado unavaa hivi kweli?โ€ aliuliza kwa hasira, akimkazia macho mkewe huku akikunja uso.

Madam Sandra alinyanyuka taratibu kutoka kwenye kochi, akimtazama mumewe kwa jicho la dharau lililofichwa ndani ya tabasamu nyembamba.
โ€œMume wanguโ€ฆ huu siyo uvaaji kwa ajili ya huyo kijana. Haya mavazi ni kwa ajili yako. Wewe ndio mume wangu, si yeye.โ€ alijibu kwa sauti ya upole lakini yenye kejeli, akiinama kidogo kana kwamba anasisitiza umbo lake mbele ya mumewe.

"Unatakiwa kunitendea haki sio kunigusa gusa na kuniacha kama unavyofanya siku zote" Madam Sandra akapigilia msumari wa moto katika maelezo yake.

Mjomba aligeuka, akapepesa macho kuzuia hasira na aibu. Kabla hajatoa neno lingine, simu yake ililia. Aliichukua haraka na kuiweka sikioni.

โ€œHallo?โ€

โ€œZa asubuhi shemejiโ€ ilisikika sauti ya Dkt. Marry kutoka upande wa pili wa simu.
โ€œNataka tu kukukumbusha kuhusu sindano ya Onesmo. Alitakiwa achomwe leo asubuhi. Lakini siingii ofisini asubuhi hii. Naomba umlete nyumbani kwangu mapema iwezekanavyo.โ€

Mjomba P alikunja uso, akamwangalia mkewe kwa jicho la kusema tutaendelea na hili baadaye.
โ€œSawa kabisa daktari, namleta mara moja.โ€

Alipomaliza kuongea na simu, aligonga mlango wa chumba cha Onesmo.
"Onesmo, jiandae tunatoka sasa hiviโ€”Dkt Marry anakusubiri. Unasindano kumbe?"

Ndani ya chumba, Onesmo alijikuta akistaajabu na kutabasamu peke yake. Tayari penzi la Dkt Marry ofisini lilimpagawisha. Aliposikia sindano akajua kumekucha anakwenda kumuona Dkt Marry, yule mrembo wa maajabu aliyemtoa roho usiku wa jana kwa penzi zito lililomtetemesha kila kiungo. Alikumbuka ule mwonekano wa mapaja yake, sauti ya midomo ya Dkt Marry ilipogusa sikio lake na miguno yake ya taratibu kama wimbo wa J melodi. Kijana alishadata.

"Sawa nakuja anko"

Alijiandaa upesi, akavuta suruali yake na kunyoosha shati. Akatoka na kuingia garini safari kuelekea nyumbani kwa Dkt Marry ikaanza mara moja. Wakati huo huo pia Madam Sandra alipanda gari lake aina ya Vitz na kuelekea kazini kwake kule kwenye ofisi ya vipodozi na masaji.
Akiwa njiani Madam Sandra hakujua macho mawili ya hatari yalikuwa yakimfuatilia nyuma yake taratibu.

Gari moja jeusi aina ya Premio lilikuwa nyuma yake kwa umbali wa mita chache. Ndani yake alikuwapo yule mwanamke aliyevamia nyumba yake usiku kisha kumpiga Onesmo na shoti.Sasa amevaa t-shirt nyeupe ya kumwaga suruali ya kubana. Kichwani alivaa kofia kubwa ya duara iliyoficha sura yake bila kusahau miwani mikubwa ya jua.

Alimfuata kwa kwa tahadhari kubwa, bila kujulikana. Sandra alipitia duka moja dogo la nguo maeneo ya uyole, akashuka garini akaingia dukani. Alinunua seti tatu za boksa za kiume. Akafungiwa katika bahasha. Hii ilikuwa ni zawadi maalumu kwa ajili ya kijana mdogo anayezitesa hisia zake za mapenzi- Onesmo.

Alipokuwa akitoka dukani, mtoto wa kiume alitokea ghafla mbele yake, alimsogelea kwa bashasha. Ni kijana wa miaka kama 14 hivi.
โ€œShikamoo mama! Kuna mtu ameniomba nikupe hii bahasha" alisema huku akimkabidhi bahasha ya kaki.

โ€œEh? Kwani ni nani? Yuko wapi?โ€ Madam Sandra aliuliza kwa mshangao akiwa tayari amepokea.
Lakini alipogeuka, mtoto alikuwa tayari ametoweka kama upepo. Hakuwepo.
Aliifungua haraka akatazama ndani kulikuwa na picha moja. Alipoiangalia, moyo wake ukaripuka kwa hofu.

Ni picha ya mwanaume mwenye nywele ndefu za rasta, sura iliyokomaa na macho yake makubwa. Moyo wa Madam sandra ukawa unapiga kwa hofu kana kwamba unataka kuchomoka.

Akaigeuza picha upande wa nyuma kulikuwa na maandishi, akayasoma.

,,,, YUKO WAPI?,,,,

Hivyo ndivyo maandishi yalivyosomeka. Yuko wapi?
Ujumbe huo ukazidi kumtisha Madam Sandra.
Alianza kuangaza macho huku na kule, kulia na kushoto lakini hakumuona mtoto. Hakumuona mtu mwingine anayejihusisha na hiyo picha.

Akarudi garini akiwa anatetemeka. Akaketi. Akavuta pumzi ndefu. Akiwa hajui la kufanya. Ni wazi anamfahamu mwanaume katika picha hii.
Kwa mbali yule mwanamke mvamizi akiwa ndani ya gari lake akawa anamtazama Madam Sandra namna navyohangaika, bila shaka ni yeye ndiye aliyemtuma mtoto kupeleka ile bahasha kwa Madam Sandra.
___________

Wakati huo tayari Onesmo na mjomba wake wamefika nyumbani kwa Dkt Marry. Vazi alilovaa Dkt huyu lilimnyima uhuru hata mjomba P wakati akiwakaribisha, lakini atasema nini, Dkt yuko nyumbani kwake amevaa atakavyo yeye. Hakujua kuwa vazi hili ni maalumu kwa kijana pembeni yake-Onesmo.
Tayari moyo wa kijana ulianza kupiga kwa kasi ya matamanio, kama vile moyo wa Madam sandra unavyopiga kwa kasi baada ya kupokea picha ile yenye ujumbe wenye utata.
Mioyo hii miwili mmoja unapiga kwa hofu, mwingine kwa hisia za mapenzi.

Kutokana na sheria ngumu za FACEBOOK ambao mara nyingi hawaruhusu simulizi za chombezo wanaweza kuifuta au kuizuia simulizi hii kuendelea, ili kuhakikisha unaendelea kusoma hakikisha ume-follow channel hii ya WhatsApp bonyeza link hapa chini. Au nicheki kwa namba 0756862047.
https://whatsapp.com/channel/0029VaylcIKAInPiI2v4Cc0R

Unaweza pia kusoma vipande 20 kwa tsh 700 tu. Karibu.

Nini kitajili?
Mtunzi: Saul David bril
WhatsApp: 0756862047
ITAENDELEA....
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐’๐ข๐ฆ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ณ๐ข: ๐Œ๐€๐…๐”๐“๐€ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐’๐€๐‰๐ˆ ๐Ÿ”ž ๐€๐ข๐ง๐š: Chombezo/Maisha/Visasi/Mauaji ______________ Na hii ni sehemu ya nne  >>> https://gonga94.com/semajambo/simulizi-mafuta-ya-masaji-aina-chombezo-maisha-visasi-mauaji-______________-na-hii-ni-sehemu-ya-nne
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest