Wanasayansi wa anga wamegundua jiwe lenye ukubwa sawa na Mnara wa Pisa wa Italia,
27th Jul, 2025 Views 23
KUMEKUCHA TENA: Wanasayansi wa anga wamegundua jiwe lenye ukubwa sawa na Mnara wa Pisa wa Italia, ambalo linatarajiwa kupita karibu na Dunia wiki ijayo, kitu ambacho kinatishia ulimwengu.
Shirika la Anga la Marekani (NASA) limetangaza kuwa Jiwe hilo (2025 OW) litapita umbali wa maili 393,000 kutoka anga ya Dunia Jumatatu hii, Julai 28.
Na Wanasayansi wanasema umbali huu ni wa karibu zaidi na ni hatari kweli.
Chanzo: ArabiaMisr..
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Wanasayansi wa anga wamegundua jiwe lenye ukubwa sawa na Mnara wa Pisa wa Italia,   >>> https://gonga94.com/semajambo/wanasayansi-wa-anga-wamegundua-jiwe-lenye-ukubwa-sawa-na-mnara-wa-pisa-wa-italia #Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war