MTUNZI RITHA STORIES
WHATSAPP 0763 826152
FB RITHA STORIES & HADITHI ZA RITHA
SONGA NAYO...................
Kiss ilinikolea na kuni sahaulisha yote na kuzama katika ulimwengu wa mapenzi, tuliendelea kukiss na kuna mda akili ilinirudi nikajitoa na kumwambia.
"Felix please stop" niliongea huku nikiwa nimejawa na hisia kali Sana, Felix hakutaka kuniacha ,alinisogelea na kunikiss tena .
Sasa nikawa nataka kujitoa akawa anaacha na kunambia" Lolah i need you" kisha anarudia kunikiss tena , kisha anaongea tena sasa ongea yake na maneno aliyokuwa akiongea vilinivuruga .
Mwili ulizidi kupandwa na hisia kali, akili yangu ikanambia mvue mmalizane haraka, nami bila kuchelewa niliinuka nilipokaa na kumkalia tukaendelea kukiss.
Nikuulize kwanza hivi ulishawahi kukiss na mtu wako dakika 3 bila kupeana nafasi ya kupumua, au huwa mnakiss sekunde kisha mnaingia kwenye hatua zingine?
Kuna mtu nimesikia ameseme haya nihusuπ,haya niachane na mambo ya watu nifanye yanayo nihusu, sasa bwana tuliendelea kukiss mtoto wakike nikazidiwa .
Bila kufikilia mara mbili mbili nilianza kumfungua vifungo vya shati kwa fujo, yaani hapo niko hot natamani hata kuchana nguo nichukue lollipop yake nianze kuimung'unya.
Felix akaanza kunizuia huku akinambia Lolah please hii sio sehemu sahihi, kwani nilimuelewa ? Nilikuwa kama simsikii nikamaliza kufungua vifungo na kuhamia kwenye kufungua mkanda.
Mda wote anaongea Lolah no usifanye hivyo, mtoto wakike sikumuelewa hapo nipo kama mdudu kitu pekee nilichotaka kwa mda huo ni kupewa lollipop.
Sio mimi tu niliekuwa na hali mbaya hata Felix alikuwa hoi ,ila alijitahidi kujizuia na kunitaka niache kile nachotaka kufanya.
Na baada ya kuona simuelewi akaamua kutumia nguvu na kunitoa, sasa tulikuwa tumekaa sit za nyuma so alivyonitoa akasogea sit ya pembeni.
Mimi sasa na mizuka yangu nikamwambia " Felix! naomba hata kidogo "
"No Lolah sio sasa please vumilia kidogo okay"
"Siwezi kuvumilia Felix ,naomba kidogo tu " niliongea hata kabla hajajibu nilishamrukia na kuanza kumkiss tena ,na safari hii sikuhangaika na mkanda nilifungua zipu na kuanza kuitafuta.
Mda huo Felix anaongea lakini sauti haitoki, ilikuwa ni kitendo cha sekunde tu tayari nishaichomoa bila kupoteza mda nilipandisha gauni langu na kutaka kuvua nguo ya ndani.
Ghafla Julie alikuja na kugonga kioo huku akiniita , kutokana na hali niliyokuwa nayo sikumuitikia nikataka kuendelea na nilichoanza .
Felix akanishika mkono kunizuia na kusema "tuondoke hapa"
"No hapa hapa inatosha siwezi kuvumilia "
Alitaka kuongea ila Julie aligonga kwa nguvu, nilijikuta nikipata hasira nikamwambia nakuja kwa hasira sana.
Baada ya kumjibu Julie nilifungua mlango nikatoka na kumuacha Felix kwenye gari, ambapo baada ya kuona nimeingia ndani aliweka nguo zake vizuri na kuondoka, basi niliingia ndani na kupitiliza moja kwa moja chumbani.
Nilifika na kukaa huku nikiwa nimeinamisha kichwa chini, Julie aliingia na kukaa pembeni yangu na kusema.
"Vp ndugu yangu mbona hauko sawa?"
"No niko sawa,mh nambie kuna nini mbona ulikuwa unaniita "
"Simu yako ilikuwa inaita sana nikahofia inaweza kuwa tatizo" bila kumjibu niliinuka nikachukua sm yangu na kuangalia ,nikakuta mama ndo alikuwa akipiga.
Nilishusha pumzi na kurudi kukaa, Julie aliniangalia kwa sekunde kadhaa na kuniuliza" Lolah kuna nini mbona kama hauko sawa"
" Hapana kuna kitu nafikilia " nilimjibu nikavua nguo na kuingia bafuni, pamoja na kwamba nilikuwa na nywele ambayo haikutakiwa kuingia maji ila nilifungulia bomba la juu na kusimama maji yote yakanishukia mwilini.
Nilisimama bila hata kujitingisha ,kumbukumbu ya kitu nilichokuwa nafanya na Felix zilijirudia kichwani, moyo uliuma kuona kuwa siwezi kuwa nae.ππ
Kichovu nilisogea kwenye choo nika kaa kwa mda mrefu, niwambie tu nilikuwa naumia vibaya mnoo , moyo ulitamani kuwa nae lakini kila nikimfikilia Shania naishiwa nguvu.
Basi bwana baada ya kusononeka vya kutosha niliinuka nikaoga vizuri kisha nikatoka, kufika chumbani nakuta Julie anakagua sm yangu alivyoniona tu akarudisha haraka.
Sikutaka kujichosha kumuuliza kitu, taratibu nilisogea zilipo nguo zangu nikachukua kijora nakuvaa.
Julie baada ya kuona niko kimya akaniuliza " Lolah! Nini kinaendelea kati yako na Felix!?"
"Una maana gani kuniuliza hivyo?"
"No nauliza tu maana naona kama siwaelewi"
"Hutuelewi kivip?"
"Aaam naona kuna vitu ambavyo sio vya kawaida "
"Julie! sikia hakuna lolote lisilo eleweka kila unachokiona kiko hivyo hivyo"
"Ko una maanisha unatoka na Felix !?"
"Hakuna mahali nimesema natoka na Felix na ni nini kinafanya uone kuwa natoka nae?."
"Lolah usijizungushe ,mi najua unampenda Felix na sio wewe tu hata Felix anakupenda na nina uhakika huko kwenye gari mlikuwa mna..."
"Julie !!!"
"Nini kwani uongo , sikia shoga yangu ukiwa na ny**g nakujua na wakati unatoka kwenye gari ulikuwa uko hot,tena nahisi nisingekuja mlikuwa namkulana "
"Una shida wewe ,yaani nikawe na hisia na shemeji yangu nitakuwa na akili kweli?"
"Dada usinione mtoto, najua ulimpenda Felix toka siku ya kwanza unamuona , na nina uhakika kama asinge kuwa na dada yako basi angekuwa na wewe"
"Okay tuache na hizi mada"
"Lazima utake kuachana nazo maana ni kweli unampenda, na najua hapo una hasira maana nime waharibia moment yenu.
lakini usichukie nimetaka kulinda eneo langu, maana sehemu yafanyikapo maovu baraka hazikai "
Kauli yake ilinishangaza sana maana aliongea huku akibetua midomo kwa dharau, kwakua sikutaka kuendelea kuongea ilinilazimu kukaa kimya.
Basi mda ulienda saa ya chakula ilipofika nikaweka chakula mezani na kumkaribisha , bila hata kuitikia alisogea na kuanza kujiongelesha .
"Mh watu na bahati zenu mjini, saizi tunakula mbuzi choma iliyo tengenezwa kiufundi zaidi ,haya nile zangu mie huenda kesho nikaletewa zaidi "
Nilishindwa kukaa kimya nikamuuliza "Julie! unataka kusema nin?."
"Mmmm!!! Mimi akuu sina cha kuongea, kwani nimesema nataka kuongea kitu?"
"Hujasema ila kwanini uongee maneno kama hayo"
"Aaaaa!! Kwani nimeongea vibaya? "
"Hapana umeongea vizuri "
"Eeh ni vizuri na usiache kuwaambia hao wanaume wako kuwa unaishi kwa rafiki yako"
Hivi mnajua huyu simuelewi yaani ghafla tu anaanza kunionesha mapicha picha ya ajabu, sasa ndo nini kuongea maneno kama haya?.
Nilimuangalia bila hata kuongea nikaanza kula , sasa wakati nikiendelea kula sm yangu ikaita kuangalia mpigaji ni baba nilishusha pumzi na kuiweka pembeni.
Julie aliniangalia kwa sekunde kadhaa na kusema " sasa una waignore wazazi wako ili iweje ? We pokea wambie umepata penzi jipya basi, na sijui utawambia lipi maana yote yako hot "
Nyie nilijikuta napata hasira nikasogeza sahani na kumuuliza " Julie what's your problem, maana naona unaongea kama nini sijui "
Ajabu hakujibu zaidi aliinuka huku akicheka kama vile nimeongea kitu cha kuchekesha na kuingia chumbani.
FULL TSH 1000 TU NAMBA YA MALIPO 0763 826152 JINA MODESTA KUDUHU.