Unamkumbuka Jenny wa Arnold Schwarzenegger kwenye movie ya Commando?
19th Jul, 2025 Views 34
Kwa sasa hivi ana umri wa miaka 52, jina lake halisi anaitwa Alyssa Milano na wakati anaigiza Movie hiyo alikuwa na miaka 13 tu.
Vuta kushoto kuona muonekano wake wa sasa.
Wakati unaiangalia Movie hiyo ulikuwa na umri gani?
#EastAfricaTV.
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Unamkumbuka Jenny wa Arnold Schwarzenegger kwenye movie ya Commando?   >>> https://gonga94.com/semajambo/unamkumbuka-jenny-wa-arnold-schwarzenegger-kwenye-movie-ya-commando #Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war