Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

NDOA YA MKEKA* 04👰🤵🤟💗

16th Jul, 2025 Views 2


Mwandishi; Kitty Fefe

Mvua ilizidi kunipa kero,heri ingekuwa sina maumivu ningelala mno🥲yaani nilikuwa nasikia maumivu mpaka nahisi nitakufa humu ndani🤦🏼‍♀️niliamua kushuka kitandani na kulala chini ya zulia😢😢😢natamani kumuita Hakim ila ujeuri tu ndo umenishika🤣🤣🤣na simuiti ng'o🥲🥲🥲niliteseka mpaka saa kumi na mbili kasoro usingizi ukanipitia

Sasa nikaja shangaa naamshwa🙄
"Kulthum mbona umelala chini?"nilikurupuka na kumkuta Hakim mule chumbani kwangu🙌halafu nilivyovaa sasa🙌🙌🙌taiti tupu na ndani pichu na ped juu sijavaa chochote,na vile nilikuwa nimepagawa na maumivu sikuwa nimejifunika hata shuka ,nilivuta shuka chap na kujifunika
"Kwanini umeingia chumbani kwangu bila hodi"nilichukia kaona Many😥ny😥yangu🥺🥺
"Haha nisamehe mke,why umelala chini?"
"Hamna kitu naomba utoke chumbani kwangu"
"Sawa acha mimi nijiandae kwenda kazini ,lakini vipi chakula kilikuwaje?"
"Chakula kipi"😏 nilijifanya kumjibu tu kama sielewi ni kipi anaulizia🤣🤣🤣wakati niligundua tu kaona sahani na chupa ya soda mule chumbani 😁😁😁
"Never mind,mimi naenda kazini.....ngoja nikuletee pesa ya mahitaji"
Nikajiuliza mahitaji gani jamani huyu naye kujihashua tu ndio anadhani nitampenda....!?😁😁😁alitoka nami nikainuka na kukaa kwenye kitanda kuugulia maumivu,yaani ni kama vitu vinasokotana humo tumboni

Mara akarudi tena,
"Vipi mke wangu,una tatizo gani au unaumwa?"
"Sina tatizo lolote" machozi yalianza nisaliti na kunitoka😭😭😭
"Eeeh..! Acha masihara huna tatizo wakati inalia? Niambie please nijue"
"Mimi niko sawa tu niache"
"Come on...! please ebu kuwa wazi nitaondokaje kazini na uko katika hali hii"
"Mimi tumbo linaniuma tu"
"Dah...! pole sana.... limeanza saa ngapi wife?"
"Usiku"
"Mbona hukuniita,so sorry mama....au nilipika chakula kibaya kimekuumiza? Au ni tumbo la kike"
"Mimi tumbo linauma tu bhana"😭
"Ngoja nikutafutie dawa,.so sorry baby"
"Buana kwani jina langu hulijui? Baby baby nini baby care au...!?"😩😏
" stop panic basi,naomba ukaoge nikupeleke hospitali,au nikakusaidie uoge"
"Siumwi tumbo la kwenda hospitali mimi"😩😩😩
"Uko period?"
''Buana, naomba utoke chumbani kwangu sio lazima kila kitu ukijue"😏
"Lakini mimi ni mumeo...! napaswa nijue"
"Mume wangu gani? Imeandikwa wapi wewe ni mume wa Kulthum? Cheti kiko wapi?"😩😩😩
"Tusibishane mamangu,unaumwa ila usijali niko hapa kwa ajili yako.....!Wait nakuja''"

Hakim alitoa mule chumbani nami nikajikaza na kwenda kuoga,nikajistiri vizuri, akarudi tena,,,
"Ila kwanini haugongi hodi? Ukikuta navaa je?"
"Hahaha jamani,okay sorry sitorudia kufanya hivyo 🙏🏻🙏🏻 nimekuletea chai unywe chai na dawa,pia nimekuletea na ped"
"Kwani nimekwambia sina?"
"Kuna ubaya kukuletea?"
"Sasa ni nani aanze mjibu mwenzake..!? Maana nimekuuliza swali na wewe unaniuliza badala ya kujibu"
"Tusibishane mama,naomba unywe chai na dawa kupunguza maumivu ya tumbo"
"Mimi sitaki kula,itakuwa unapika huivishi ndio maana hata nimeumwa tumbo sana"
"Duh...! Kweli? Sasa niambie nikanunue magengeni kweli?"
"Ndio kaninunulie chapati"
"Sawa,acha niende"
"Hivi kwanza unafanya nini mpaka sasa hivi? Usiende kazini?"
"Siendi,nimeshatoa taarifa siwezi kwenda kazini ikiwa wewe hapa nyumbani unaumwa na unabaki mwenyewe"
"Unajifanya unajali sana...!? But mimi sikupendi na unakumbuka sijui"
"That doesn't matter Kulthum....najua bado una hasira, lakini mimi naona ni kawaida tu.....nikakununulie chapati na nini?"
" Na kachumbari"😏
"Hahaha na chill waweke? Maana umeamua tuwe vichaa humu ndani" akatoka na kwenda kununua hizo chapati🤣🤣🤣 mimi nilikuwa na visirani vya period mbona atanikoma🤣🤣🤣🤣🤣

Nikaangalia ile chai aloleta nikakuta ni mikate na mayai,nikaanza kuvila😂😂😂hizo chapati atazokuja nazo ampelekee zuchu tu🤣😂akileta nazikataa👐😁nilikula kidogo tu nikaacha,maana tumbo nalo lilishaanza ukorofi 😔😔 nikalala na kuanza kuugulia tumbo,mama akanipigia na kuniambia kuwa ameambiwa na Hakim kuwa ninaumwa.....!!! Nilichukia kwanini amwambie mama 😩😩ngoja arudi mfyuuu 😏 mama alinipa pole nikamwambia kuwa nitamtafuta baadae😭😭😭sijisikii poa kwakweli 🥺🥺🥺

Hakim alirudi na chapati zake nikamwambia mimi nishakula nimeshiba bhana🤸🏼‍♀️azile tu yeye 🤣🤣🤣alibaki duh...!.chakula ulichosema unaumia tumbo umekila tena😳😳😳sikutaka kuendelea kuongea naye maana tumbo lilikuwa lishachachamaa kuuma🥺nilihisi utumbo unavutana humo tumboni 🥺🥺🥺

Hakim akaja na maji ya vuguvugu na kuniambia anahitaji kunipunguzia maumivu ya tumbo🥺mimi nilikuwa naumia sana hivyo sikuweza hata mbishia🤣🤣🤣akaanza nikandakanda tumboni😊 Awwww mkaka Anajali huyu mbona nikaanza ona ni nafasi niliikosaga kwa muda mrefu nikiumwaga najitesekeaga mwenyewe leo nina mtu hapa ananipunguzia maumivu 😁😁😁ila hapana bhana nipone tu nimuonyeshe mziki wake👌👌👌 niliona kama nimedhalilika sana kuolewa kienyeji sana...halafu nilikuwa namkaziaga maana alikuwa anakuja tanga mara kwa mara na akawa ananitaka na binamu zake kawata sana nikawa sitaki,hivyo sikutaka atambe nimeruka ruka mwisho amenipata kirahisi 😩😩😩alinikanda na kuni massage mgongoni mpaka usingizi ukanipitia😴

Niliamka nikamkuta amekaa tu pale pale chumbani kwangu,kwenye sofa anasoma kitabu......!
"Umeshaamka..! Vipi tumbo now?" Aliniuliza
"Kwanini umemwambia mama naumwa?''😩😩 nilikumbuka sikumsomea hiyo kesi bado😒😒😒
"Kama hujapenda samahani mama,naomba kujua unaendeleaje?"
"Nimepona"😒😒😒
"Mmmh sawa, vizuri...utakula nini? Maana nimehofia kuandaa chochote ikawa kama chapati"
"Mimi sili, sitak kukusumbua"
"No,hunisumbui........acha ukorofi basi unaumwa mama,utakula nini?"
"Mimi sina njaa,nikiwa nataka kula nitasema....ila naomba soda tu"
"Soda gani?"
"Fanta'
"Sawa,acha nikakuletee" alitoka na kurudi na soda ya moto
"kwanini sasa umeniletea ya moto"😒😒😒
"unaumwa huwezi kunywa ya baridi kwa kipindi hiki"
"Kwahiyo umeanza nipangia maisha😭😭😭 mbona nakunywaga sana tu sioni ubaya wowote? ndio maana mimi nilikuwa sitaki haya masuala ya ndoa kupangiana sheria"
"Hiyo,ipo kiafya wala sio mimi ambaye nimejisikia kukupangia, halafu unajua nimeongea nini na mama yako leo kuhusu wewe...!?"
*Mmeongea nini? ngoja nimpigie na kaniletea soda ya baridi ,siwezi kunywa soda ya moto kama niko kwenye birthday ya mtoto"😒😒😒
"Hahaha Kulthum aiseee......! ngoja nikupe soda ya baridi"
Alinishika na kuanza kunip🙈🙈ga 👩‍❤️‍💋‍👨 mwenzie nikaanza kussm😜😜😜ka ananitafuta nini lakini huyu😩😩😩

ITAENDELEA

FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NDOA YA MKEKA* 04👰🤵🤟💗  >>> https://gonga94.com/semajambo/ndoa-ya-mkeka-04
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 30💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

TREVOR CHALOBAH 🫡

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 28💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

🌹I MISS YOU 🌹

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 22💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 14...15

majario rewards 100 Comments 0
 

MDOLI MPENDA UTAMU...1

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA🙈3~4

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest