Basi bwana kamoyo kakafanya paahπ© Alex anataka kuniuliza nini??
"Ikabidi sasa nimpe uhuru nikamwambia hakuna shida niulize tu chochote nitakujibu wala usijali"
"Okay akaitikia then akaniuliza Salma natamani kujua historia ya maisha yako,nataka kujua nyuma yako kuna ninii, kulikuwa na ninii"
"Sijaelewa alex"
Ukweli sikuelewa anataka kujua nini kuhusu mimi kama alinifumba fumba hivi ,au kwa vile mi mjinga uelewa wangu upo mbali kidogo
"Aahmm namaanisha udogo wako, yaan ulipo kuwa mdogo kuna changamoto zozote ulipitia??" Nikajifikiria kidogo ili kuchanganua huyu anataka niniii ?nikamuuliza
"Yaaani kwanini sijui kusoma..?" Nilimtupia swali nikabaki namtazama alivyokuwa anababaikaπ niliyaona macho yake hili kwake ni kama tus lilikuwa zito kuniambia moja kwa mojaaaπ₯"
"Aah sio kwa ubaya salma usinielewe vibaya Salma please "
"Alex, mimi katika watu niliowazoea ni wewe nimekuzoea sana kiasi kwamba nipo huru kwako kwa lolote lile ,sijui kwanini lakini mie sikuchukulii labda kama wewe unavyonichukulia" ,
nilikwambia sijui kusoma ,sio kwamba najivunia au napenda hapana , na sio kwamba mi sikupelekwa shule hapana!!
Mama yangu alinipeleka shule na nilienda vizuri sikuwa mvivu kusoma wala sikuwa mzembe lakini nawaza huenda mungu alinichagua mimi kupita hiyo njia na wala sijui kwanini,
nilitamani kujua kusoma sana sana sanaa lakini sikuwahi kufanikiwa walimu walijitahidi kuniweka karibu yao labda wanaweza kunisaidia bado ilikuwa ngumu,
nilikuwa napenda shule sikuwa mvivu kwenda shule na wala sikutegea kujifunza ila kwangu kutambua herufi ulikuwa ni msiba π’π,
nilipo fika darasa la nne hapo ndio ulikuwa mtihani kwangu nilikaa hilo darasa kwa miaka kadhaa bila kufaulu mitihani mwisho nikaamua niache tu kwenda shule..,
hata hivyo sikuichukia shule niliamini siku moja nitakujaga kujua kusoma..
"Okay okay salma inatosha kama njia hiyo ilikuwa ngumu kwako naamini kuna njia nyingine rahisi sana mungu amekuandalia ,you don't have to worry that much okayπ₯°π₯°",
we ni mwanamke ulietulia sana Kiakili ,sijakaa nawewe muda mrefu lakini kwa hichi kipindi nilichokaa na wewe nimekuelewa salma Wewe ni bora kuliko wanawake wote ambao nimewahi kuwa karibu nao
Aise nilitabasamu π₯Ήβ€οΈ nilitamani nilie sijui yani nilipata amani tele moyoni.. Alex alinigusa mkononi akaniambia salma
kwenye hili upo na mimi na siwezi kuliacha liende na atakae kudhihaki naapa sintamuacha kirahisi "
"Ohπ₯ΉAlex sijui hata niongee nini asantee...."asantee sana sijui hata nikuite kaka au nanii"
"Vyovyote upendavyo salma nitakuwepo kwa ajili yako I promise youuβ€οΈ..."
Dah tangu nakua mpaka hapa nilipo sikuwahi kuambiwa na mtu et mimi ni bora hasa mtu anaejua wazi kuwa sijui kusoma wala kuandika ,
"kila mtu huwa ananicheka mimi mjinga hakuna aliewahi kunionea huruma ,mama yangu mzazi anajua jinsi gani nilikuwa nahangaika ili tu nijue kusoma lakini tuc lake kubwa kwangu ni Lione Akili halina kubwa zima kusoma halijui"
hili ndio tus kubwa kwangu huwa linanikumbusha mambo mengi niliyopitia naishia tu kunyongonyea moyoni nitafanya nini sasa .
kwa mara ya kwanza Alex kanambia mimi ni bora kuliko wengine hata kama sijui kusoma maneno yake yalinipa nguvu mpyaπ₯°β€οΈ
"Niliomba nimkumbatie huku naona aibu ila moyo wangu ndio ulichotaka kwa wakati huoπ"
"Kumbato tu kingine hakunaaa!!!???" Aliniuliza huku anasmileπ₯°π₯°"
Khee kingine gani tena jamaniππnilijiuliza mwenyewe kimoyomoyo π€π€ Alex aliinuka akaanza kunisogelea dah nyieeπ©π₯°
Alikuja akanikmbatia kwa nyuma vile vile nimekaa yani sijui niwaambieje nilivojisikia fanya kama ndo nyieeeeπ©π ,nilikuwa natamani vingi sana vitokee lakini nilikuwa samaki siwezi fumbua mdomo wangu nikiwa ndani ya maji humo
Kimvutano fulani cha kihsia kilichukua nafasi yake ukimya wa hali ya juu ulitawala kati yetuπ€πulipita muda kidogo Alex akanambia..
"Unajua nini Salma, nimechomoka kidogo kazini nilitaka tu kula nawewe chakula cha mchana ngoja basi niende si nakupeleka nyumbani??"
Akawa ananimbia huku bado amenikmbatia vile vile anaongea karibu na sikio langu mh nyie hata sijui nilikuwa natamani nini kitokee hahahaa siezi kusema hapa naona aibu..nilibakia tu kusikilizia ule mvutano badae nikamwambia..
"Sawa haina shida" nilikubali tu twende nyumbani huenda huko kinaweza kutokea kile nilichokuwa nakuwazia moyoniπ"
Basi mkaka wa watu kabla hajaniachia alipeleka mdmo wake shingn kwangu mmmmmm yani nyieeee nikajikaza pale maana dah sio kwa mssmko ule niloupata..
Alininaniliu shngni mpaka nikaanza kutapatapa ikabidi aniachieπhii ni mara ya pili alex kuni kc kwa shingo na huwa tunazama kwenye hcia kali sanaaaaa
Basi baada ya Alex kuniachia niliinuka tukatoka mpaka kwenye gari alinipeleka mpaka nyumbani akanipa na pesa ya kutumia alionekana mwenye haraka sana hata ndani hakuingia..,
nilimuuliza hivi alex unafanya kazi gani?? Mana mi hata sijui anafanya kazi gani lakini kwa ile nyumba sijui ni yake au ya wazazi wake ,inaonekana ananafasi nzuri ya maisha , na hata gari zake mmh
Alicheka akanambia atanambia ni subiri kidogo nikasema sawa bwana, akaondoka zake mi nikabaki nimetulia..
Nilitoa pesa zangu zote kwenye begi nikawa nahesabu kwa ndoto nilizokuwa nazo hii pesa ilikiwa ndogo sana ndo nimegundua sasa ,nilikuwa najiona nina mapesa mengiii kumbe hakuna kitu ,nikaanza kukata tamaa sa nitafanya nini.
Nilichukua simu ,nikampigia mama ili nimwambie labda ye anaweza nishauri nini cha kufanya .
"Yaan hapa ndo nilitaka kukupigia umeniwahi tu jamani" mama alipokea kwa maneno kwanza hata sikuwa nimemsalimia nae sijui alisahau au vipi"
"Shikamoo !!! Kuna usalama mbona unahema hivyo"
"Usalama upo , huu ni muhemo wa furaha yaani nina furaha mpaka nahisi pumzi zinakata"
"Enhee furaha ya nini tenaa mama??"
"Kumbe unaweza kuwa mji nga lakini ukawa na faida , mwanangu we nakuonaga ni fungu la kukosa ,kumbe unabahati kiasi hiki??leo umeni heshimisha mwananguπ₯Ή",
Mmh kwa sifa hizi lazima kuna kubwa mama embu nambie kuna nini, unanivuruga tu!!"
"Si huyo mwanaume wako mwanangu anatuwekea umeme hapaaa nyumbani!! Yaan Salma we unabahati mtoto wangu jamani huyu kaka huyuu natamani hata muoane kesho"
Heeπ³π³subiri kwanza mama mkaka gani tenaaa!!! Yani nilihisi kuchanganyikiwa nikawa najiuliza ni nani huyo?? Kama ni Alex mbona hajaniambia??
"Ndo hivo mwanangu tunawekewa umeme yaan we acha tu mwanangu leo namimi naheshimika mtaani salma umejua kunifaa mwanangu"
"Hebu mama subiri kwanza ni nani huyo kijana namaanisha jina lake ni nani???"
Ni nani huyo kijana??hahahaaa
Full 1000
WhatsApp 0742133100.