Basi buana safari ikawa inaendelea mie tena na bakuli langu lisilonyamaza nikaona bora tu niulize kulikoni kwanii
Eti we kaka mjeda tunaenda wapii???
Kaa kimyaa hata hivo tunakaribia kufika!!!!!!!!yule kaka akajibu kwa kufoka hatari
Mie tena kiranga komaaa nikasema siulizi tenaa sio kwa majibu hayo walahiii
Basiii na kweli haikuwa mbali sana hatimae naona gari likatia nanga nnje la duka moja kubwa la nguo lipo huko sinzaa
Silijui kwa jina maana liliandikwa kwa kiingereza na mimi mwenzenu sijasoma sasa nisije kuwaongopea buree
Shuka kwenye gariiii ingia humo ndani na usinisogelee, kama kawaida ya mjeda kufoka
Nikashuka zangu kwenye gari juu ya boksi nikajinyosha matako maana daaah boksi linauma hatarii
Moja kwa moja nikaelekea dukani nilipoamrishwa na kamanda mtimkavu maana sio kwa jinsi alivyoπ€£π€£π€£π€£
Karibu sana Captain Jacob, yule mdada wa mapokezi alionekana akiongea na mjeda
Loooh kumbe anaitwa Jacon loooohππππjina zuri sura sada mama weeeh kama aliumbwa usiku tena saa nane mida ya wangaπ€£π€£π€£
Afu inaonekana anajulikana hapaa na hili duka la kike huyu mjeda anaonekana malaya huyuπππππila mimi jamaniππ
Unawaza nini ??? Mfuate nilisikia sauti ya mjedaaa
Uyooo sikuwaza mara mbili moja kwa moja nikamfuata yule dada ambae nilishangaaa akawa ananipitisha nnje ya duka lao
Dada ingia humo uoge na shika na mfuko huu hapa una nguo ambazo ukimaliza kuoga utazivaa na hizo nyingine utaziweka humo
Kile kidada kinaonekana kistaarabu japo mti mkavu akaongea nikapokea hata asante sina kisha nikaingia kuoga
Nilioga mie nikajisugua huku nikiwa nalalamika
Yaani huyu mjeda kanionaje mimi lakini ?? Kwamba sina nyumbani au pa kwenda au sina nguoa au kaniona nna dhiki sanaa ???
Si bora angenipeleka hata hoteli ndo kaja kunidhalilisja hapa jamani mie hata sijapenda kabisa jamani
Basi kulalama hakukunizuia kuogaaa
Nilijisugua haswa haswa kule njia kuu ya mawasiliano ya mwiliii huku nikijua ni wazi leo ntatiwa hadi akili inikae sawa
Buana weeeh hata kama akinibaka muhimu aikumbuke show tu na kwanza hakuna cha ajabu nisichokijuaπ€£π€£π€£π€£
Basi nilipomaliza nikasogea pembeni kidogo si haba bafu lilikuwa kubwaa nikafungua ule mfukooo jamani jaman jamaniππππππππ
Ndani ya mfuko nikakutana na gauni jekundu mama uwiiiiiππgauni refu waweza sema la malkia elizabeti ila zuri jamani uwiiiii
Sikuchukua muda nikalivaa yaani lilinikaaa vizuri hadi nimatamani ninitongoze mwenyewe
Uswahilini tunasema mamboπ₯π₯π₯jamani , kike kigauni kilinichora na vile nilivyo na mshepuuu mtakooo acha kabisaaa
Kwa kinyaaa nikagusa ile minguo ya mikojo nikaiweka kwa mfuko kisha nikanawa mikono yangu
Nilipotoka nnje tu ya bafu nikakutana na Captain jacob akinisubiria
Alivoniona tu akabaki kama kaduwaa hiviii na mimi hata sikumjali nikawa najifanya mwejeji napandisha ngazi nirudi dukani
Unaenda wapi huko wewe?? Mjeda aliniuliza
Si narudi dukani au sasa mtu hunisemeshi kitu umesimama kama konda sa mimi niamue nini??
Mjeda hakuongea kitu nilishtukiwa nikifatwaa nimashikwa mkono kwa nguvu nikawa napiga kelele kwa maumivu ila hakujaliii
Nilikokotwa mimi hadi kwenye gariii kisha Captain jacob akanipokonya fuko lenye nguo za mkojo akaziweka kwenye buti
Safari nyengine ikaendelea ππkwakweli kwa muda huo sikuonekana hata kuwa na wasi wasi kabisaa nilishakubaliana nayo liwalo na liwe
Ooooooh nimesahau yaani kwenye gari muda wote nilikuwa najiangalia jamani nikajikuta shida zote za dunia zimeishaaa nkajiona malkiaπ€£π€£π€£ππππ
Basi haikuchukua muda sanaa nikaona mjeda kasimamisha gari akashukaa akawa anakuja kunifuata nilipooo
Akaja hadi pale akanifungulia mlango wa gari kishaa akaanza kunikomota kama mkokoteni uliotoka tairi
Moja kwa moja tukaelekea hadi kwenye salunii
Kaa hapo na ufunge mdomo wakoo,mjeda aliniamrisha ntafanyaje tena zaidi ya kutiii si nimeyakoroga acha niyanywe
Ile kukaaa tu nikafatwa na wadada watatu wakaanza kushikashika nywele zanguu
Jamani nilijiona kama malkia ukizingatia nywele nzuri nilizowahi kusuka ni za mia tano tena hapo nimejikakamua kwelikweli maana sikuzote huwa nafunga mabutu tu mie
Buana buanaaaπ₯π₯π₯kazi ya huko kichwani ilipomalizika wakaamia usoniii buna hehehehehe halooooooo nilinoga hatari
Sasa hivi siiitwiii dada kibogaaaa naitwa dada kiboss sio kwa kupendeza huku
Nikasimama mwenyewe nikawa najihakikisha huku moyoni nikijisifia haloooπ€£π€£π€£kweli mimi mzuri buanaa ,toto la kienyeji mali saafi
Wakati najishangaa shangaaa nikashangaa nimeshikwa mkono na Captain jacobo
Nimawaza wapi tena jamaniπππau ndo huduma zimeisha naenda kupelekewa motoπππnikajikuta naomba nakwambiaa nataja majina hadi ya vibibi vilivyokufaaa
Basi jacob akanishikaaa mkono angalau hakunikokota tenaa tukawa tunaelekea kwenyw gari na safari ya pasipojulikana ikaendelea
Itaendelea mdauππππusikosee
Full mpaka mwisho kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.