Siku wakijua kuwa kinachonisumbua ni huπ₯Ίba la mubaba na msongo wa mawazo wa kupenda mtu mzima na sijui jinsi ya kumwelezea juu ya hsia zangu
Kibaya zaidi ananichukulia kama mtoto wake au rafiki yake nitajaribu kumfanya aone lakini sijui kama ataelewa kwa haraka
Nilikunywa chai na kisha nilienda zangu chumbani kufanya kazi zangu
Wakati nikiwa bize na kazi zangu za kusafisha chumba changu nilisikia sim yangu inaita
Nikaenda kuipokea alikuwa ni Lewis nikamuuliza habari Lewis
Alijibu sarama vipi hali yako
Nilimjibu nzuri ehee niambie
Aliniuliza vipi naweza kutoka nawewe leo
Nilimjibu hapana ninakazi nyingi zakufanya
Lewis akapaniki na kuanza kunishambulia kwani umekuwaje sasahivi yaani huna hata ham ya kuniona hata maramoja
Nilimjibu asubuhiii sitaki marumbano nawewe nawala usinisumbue
Lewis alijibu kuwa au tayari umepata mtu mwengine niambie tuu
Nilimjibu Lewis tafadhari niache na mambo yangu unapenda sana magomvi
Lewis alijibu hata ungekuwa wewe nilazima ungefanya hivi kwani wewe hueleweki sikuelewi kabisaa
Na kama kunamtu yupo anakudanganya basi jua siwezi kukuacha kabisaa
Nilichukia sana na kukata sim maana najua moyo wangu haupo kwake sijui kwanini nahisi kuvurugwa mnoo
Niliamua kuizima sim yangu na kwenda kujipumzisha kidogo
Nilipokuja kuamka muda ulikuwa umeenda nikashuka kwenda kupata chakula na baada ya kula niliona nitoke kidogo
Nilichukuwa sim yangu na kuiwasha kisha nilienda kula ice-cream
Nilisema nikikaa ndani nahisi nita changanyikiwa hivyo nilitoka kidogo kuiweka akiliyangu sawa
Nilipoona giza linaingia nikaona niludi nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili hivi nikaenda chumbani kwangu
Nilioga na kujianda kwaajili ya kwenda kula chajioni na baada ya hapo nilipanda kitandani kulala
Nilikuwa najiuliza mpaka sasa daddy Henry hajafikatuu mbona hanipigii
Niliona hembu ngoja nimtafute mimi mwenyewe nikaanza kumpigia lakini hakuwa hewani
Niliboreka mno ila kunasim iliingia ilikuwa namba ngeni nikasema huyu nae sijui kakosea namba anataka nini
Nikaipokea na kumwambia haya umekosea namba bwana
Nikasikia sauti iliyougusa moyo wangu naipenda sauti yake huwezi amini anasauti tam yakiume hata kama ukimsikiatuu bila kumuona unaweza kumtamani
Nikatulia na kumsikiliza
Aliita Lisa halooo
Nilitikia daddy
Alijibu naam nimimi kipnzi
Nilimwambia nilikumis sana huwezi amini nimekaa na sim hapa nakuwaza wewe na nimepiga namba yako hupatikani
Henry alijibu ooh pole nilipofika sim ilikuwa imeisha chaji ndio maana nikaona nichukuwe sim ya mezani nikupigie
Mimi pia nilikumis kipnzi uko poa lakini
Milimjibu nawezaje kuwa poa wakati sikuwa karibu yako na wala sijaisikia sauti yako sasa ndio naweza kuwa poa kwani nimeongea na wewe
Henry alifurahi na kucheka πjamani Lisa nikweli
Nilimjibu huwezi amini kwavile naongea nawewe kwenyesim tuu ila ungeniona ungesema kweli
Hapa nyumbani tuu wote wamekuwa na wasi wasi na mimi siku nzima hawanielewi
Henry akaniambia basi pole rafiki angu kipnzi ningejua basi ningeondoka na wewe tuu
Nilitamani kweli niliposikia hiyo kauli nikamwambia ukinielekeza naweza kuja niambie nije asubuhi tuu nitaianza safari
Henry alicheka na kuniambia tatizo nyumbani utawaagaje lazima wataogopa nisubilie tuu huko
Nilimjibu hapa najua jinsi ya kuwaaga usijali kuhusu hilo nikija nitafurahia sana
Henry akaniambia ok basi sawa nakusubili nakutumia maelekezo kwenye msg
Na nauli nitakutumia asubuhi mapema uondoke sawa rafiki
Nilimjibu ok sawa nimefurahi sana naenda kumuaga mama chumbani kwake sasa
Henry alicheka na kunijibu ok sawa kisha akaniaga na kuniambia anaenda kuoga kisha akale chakula
Nilikata sim na kufurahi sana niliondoka na furaha na kwenda chumbani kwa mama
Nilimuita mama Mama Mama nataka kukuambia jambo
Mama akaniambia haya njoo hapa niambie kipnzi changu kunanini
Nilimwambia kesho nataka niende safari kidogo kwaajiri ya risech yangu ya masomo hivyo usijali nitakuwa sawa
Mama akaniuliza unaenda wapi
Nilimjibu dodoma mama
Mama akaniambia utakuwa na nani huko mwanangu unajua kabisa haujawahi kutoka nyumbani bila mtu mkubwa sasa itakuwaje
Nilimjibu usijali mama nitakuwa sawa nimekuwa sasa naomba utamuelekeza na kaka maana namjua yule mtata
Nitatoka asubuhi mapema kuwa na amani nitakuwa sawa
Mama aliitikia basi sawa ila naomba uwe makini utanipa namba ya yule utakae end nae
Nilimjibu usiogope nafuraha sana kwa hili haya naenda kulala usiku mwema mama
Nilitoka na kwenda chumbani kwangu kwakweli mapnzi nikitu chaajabu sana yakikuingia utafanya chochote yanakuwa na kihele hele kujitokeza
Niliingia chumbani na kukuta msg kaisha niandikia Henry maelekezo na nyingine kanitumia pesa
Nilimjibu asante nimeona nitatoka mapema nitakuwa hapo
Alijibu haya lala usingizi sasa ili uwahi kuamka nakujua kwa uchelewaji hujambo
Nilicheka πna kumjibu niamshe mapema sana na sim
Alijibu sawa nitafanya hivyo
Yaani nimemjua muda mfupi ila tayari nimemkaribisha moyoni mwangu sasa ananifanya kile anataka yeye hata hajui haya ndio mapnzi
Nililala hadi asubuhi nikaamshwaπ₯°π₯°π₯°π₯
Endelea kufuatilia............full 1000 WhatsApp no 0742133100.