Sikuhiyo niliamka nikiwa nafuraha sana kwani nilipenda sana mitoko hivyo kaka sikuhiyo alituambia tujiandae tunatoka
Nilijianda haraka nilipendeza sana kwani nilikuwa nimevaa jinz na top yangu nyeupe chini nilivaa raba nyeupe na nilipenda kuchomekea
Nilivaa hereni za maduara kubwa na nywele zangu nilisuka raster ndefu sana hakika nilipendeza
Tulipoambia haya tangurieni tukaingie kwenye gari niliwaacha wakaingia wenzangu mimi nilitoka na kwenda kufungua geti
Na nilipofungua get nikawa nje nawasubilia kwa nje gafla niliona gari ya jirani yetu huwa hatu mazoea na majirani kabisa
Nae alikuwa ndio anaingia ilikuwa nimida ya jioni nilishangaa moyo wangu ulipostuka kumuona mbaba jirani yetu
Nilijikuta nimeganda namtizama tuu hadi gari ilipaki wananisubili niingie wakati namshangaa yule baba pia yeye tulikutana macho
Kisha dada akaniambia hembu ingia mbona unashangaa sana wewe
Ndio nikastuka na kuingia kwenye gari huwezi amini akiri yangu yoote ilihama kabisa aliondoka nayo yule baba nilianza kumuwaza yeyetuu
Tulifika fukweni tukaagiza vinywaji na kupungwa upepo lakini mimi sikuwa sawa nilitamani kuongea na yulebaba
Kaka na dada wakaagiza nyama zakuchoma na mihogo ya kukaanga
Nilionja onjatuu ila sijui kwanini nilipoteza hadi haptaiza ya kula chakula
Tulipomaliza kaka akasema tuingie kwenye gari tuludi nyumbani lakini niajabu kunamtu hayupo sawa na aliifurahia hii safari sana nilijua leo nitapata usumbufu wakutosha
Lakini gafla kapoa kama maji ya mtungini kulikoni unawaza nini mdogoangu Lisa
Nilimjibu hapana kaka nipo sawa tuludini nyumbani tuu
Dada nae akasema huenda dalili za kuwa mtumzima hizo kisha wakacheka🤣 niajabu kwani Lisa nimsumbufu sana imekuwaje sijui
Nilimjibu dada bwana mimi nipo sawa bwana twendeni nyumbani
Tuliinuka na kuingia kwenye gari tayari kwaa safari
Tulifika nyumbani hakika huwezi amini jicho langu na geti la jirani tuu muda huwo mpaka tuliingia ndani
Asikuambie mtu mapenzi nimgonjwa mbaya sana bora uumwe vingine lakini mapenzi yanaweza kukudharirisha kabisa
Unaweza kujikuta unafanya jambo bila hata kujua hili nisawa au sio
Dah we acha tuu tulipofika nilishuka na kuingia moja kwa moja chumbani kwangu
Nilienda kuoga kabisaa na kisha nilipotoka kuoga nilivaa pajama zangu kisha nilipanda kitandani kwangu kulala
Lakini nilikuwa namawazo haswaa nilijishangaa mimi mwenyewe kwani tangu nazariwa sijawahi kupenda kiasi hiki nina boyfriend lakini sijawahi kuwa na hisia kali kiasi hiki kwake
Lakini kwa huyu baba sijui nini kimenivuta maana ukinitizama nimtoto kwake kabisaa analingana na babaangu kabisa
Nikiwa bado nawaza nilisikia sauti ya mama akiniita Lisa naomba uje kula mwanangu
Maana sijakuona mezani kabisa
Nilimjibu mama ninashibe usijali niache nipumzike
Mama akaniambia hapana umekula nini
Nilimjiju huko tulikula kula kaka alitununulia
Mama akajibu yaani chakula cha balabalani hapani inuka uje unywe japo kikombe kimoja tuu cha maziwa nitakuwa na amani
Dah! Niliona niinuke maana mama akiamua kwenye swala la chakula nilienda dining nikakaa mezani
Aliniletea gras ya maziwa nikainywa kisha nilimshukuru na kumwambia haya sasa naweza kwenda kulala
Alijibu kabisa hapo sawa haya nenda ulale mapema ila kesho ukiamka nitakuandalia chai nzito kwani leo umekula kitu chepesi sana
Nilimjibu hapana usipate tabu mama nawahi asubuhi sana naenda chuo nawahi kipindi chakwanza nitakunywa juice tuu
Alijibu ok basi sawa ila naona umeanza kuwa na shida ya kula sijui unanini bintiangu
Nilimjibu nipo sawa kisha nikamwambia usiku mwema nikaondoka chumbani kwangu
Itaendelea
Full 1000
WhatsApp 0742133100.