ENDELEA.....
Samir aliendelea kunitazama Kwa uchu. Mie nilikuwa najionea aibu tu. Kuinuka pia nilishindwa maana alikuwa amezishikilia kiuno changu kisawa sawa.
"Samir". Nilimuita Kwa sauti ya chini.
"Shiiii!", Samir alininyamazisha. Aliendelea kunitazama kutoka usoni kushuka mpaka kwenye kifua changu. Na vile Nina ziwa konzi basi mtoto wa kiume akadata. Samir alinibeba mpaka chumbani kwetu huko yaliyotokea ni Siri yetu.
Basi bhana ndo tayari Mimi na Samir ndo vile Tena. Baada ya Samir kumaliza mchezo alipitiwa na usingizi mzito. Mie nilienda zangu chooni kuoga na kufurahia ushindi. Nyie Samir anajua buana alinipandisha mlima na kunifikisha juu kileleni. Basi baada ya kumaliza kuoga nilipanda na mie kitandani kukutafuta usingizi.
Palikucha asubuhi wa kwanza kuamka alikuwa Samir. Alikumbuka vizuri kipi tulifanya usiku. Aliona amenikatili na kujisahaulisha kama yeye ni mume wangu. Aliiandaa haraka haraka na kwenda kazini. Ni kama vile alikuwa ananikwepa nisimuone pindi nitakapoamka.
Kweli niliamka sikumkuta Samir kitandani. Hata hivyo muda ulikuwa umeenda kidogo jua lishachimoza. Niliingia bafuni kuoga na baada ya kutoka muda mchache mlango ulibishwa hodi. Nilienda kufungua alikuwa ni mdada wa kazi.
"Boss aliniagizia nikuletee subu".
"Nani baba Samira?".
"Ndiyo". Niliipokea Ile subu huku nikiwa na tabasumu.
Nilivaa ndipo nilikaa mezani ili kunywa supu. Mezani niliona kikaratasi kidogo chenye ujumbe.
"I'm sorry Nadra". Ujumbe ulisomeka hivyo. Nilitabasamu baada ya kuusoma ujumbe ule. Nilikunywa zangu supu na baada ya hapo nilitoka chumbani siku hiyo nilikuwa mwepesi na mwingi wa furaha.
"Naona Leo Yako imekuwa njema sana mkwe wangu. Sijawai kumuona ikiwa na furaha kiasi icho". Mama mkwe wangu aliniambia. Nilitabasamu tu.
Tulikunywa chai baada ya hapo mama alituambia tujiandae tu kwenda super market kununua vyakula.
Nilienda kujiandaa nilivalia abaya langu na mtandio baada ya kuwa tayari tuliondoka hao mpaka super market
Tulifika super market tulianza kufanya manunuzi. Nilihisi kama Kuna mtu anatufuatilia. Ila Kila nilipogeuka palikuwa tulivu sio Mimi tu hata mama naye pia alihisi hivyo.
"Tufanye haraka tuondoke nahisi hatupo sehemu salama". Mama aliyasema hayo.
"Sawa". Tulichagua bidhaa haraka haraka huku Kila mmoja akiwa na hisia za kufuatiliwa.
Kweli nilikuwa sahihi na kile nilichokihisi. Ni Jafari ndiye alikuwa ananifuatilia, Kuna muda tuliachana na mama tulitenganishwa na ukuta wa bidhaa yeye alikuwa upande mwengine na Mimi upande mwengine katikati kilipangwa bidhaa nyingi. Hapo ndipo Jafari alijitokeza mbele yangu nilipatwa mshtuko na kupelekea kuangusha Tenga la kuwekea bidhaa nililolishika mkononi.
Jafari alianza kunisogelea Kwa hatua za taratibu. Alinifikia karibu na kutaka kunishika shavu langu ila nilimpushi mkono.
"Dafadhali usisubutu kufanya jambo lolote, mimi ni mke wa mtu na ninaiheshimu ndoa yangu". Niliongea hayo Kwa uoga huku nikiangalia huku na kule mama mkwe wangu asiniuone.
"Nadra Bado nakupenda tambua hilo, sipo tayari kukupoteza".
"Unipoteze mala ngapi Jafari, Mimi na wewe tulishaachana na mimi nishaolewa Nina familia yangu".
"Uliniacha ila mimi sijakuacha. Nitahakikisha napambania penzi langu mpaka tone la damu. Sitokubali nakuapia". Jafari aliyasema hayo akiwa anamaanisha mpaka niliogopa.
"Unataka kufanyaje, Niambie unataka kufanyaje Jafari?". Niliongea Kwa paniki. Kwa mbali nilimuona mama anakuja.
"Ondoka mama mkwe wangu anakuja. Ondoka haraka sitaki akukute hapa".
"Sawa naondoka ila tambua Bado nakupenda na unanijua vizuri". Jafari aliyasema hayo na kuondoka. Mapigo ya moyo wangu yalikuwa yanadunda Kwa Kasi.
Mama alifika nae alionekana kutokuwa sawa. Aliniambia tuondoke japo hatukumalizq kununua mahitaji. Tulifanya malipo Kwa mahitaji tuliyonunua na baada ya hapo tuliondoka.
"Kila mtu alivulugwa Kwa namba naye. Sikujua upande wa mama nini kilimsibu mpaka kubadilika vile. Tulifika nyumbani mama aliniambia yupo chumbani kwake. Na Mimi nilienda chumbani kwangu. Baada ya kuingia tu chumbani simu yangu iliita. Namba ilikuwa ngeni.Nilipokea na kuweka sikioni.
"Naongea na nani?".
"Kipenzi chako Jafari".
"Jafari kwanini unakuwa hivyo, tafadhali naomba uachane na maisha yangu. Mimi ni mke wa mtu Kwa Sasa".
"Naomba utoke nje ya geti tuzungumze na kama utashindwa kutoka nitakuja Mimi".
"Nini?".
"Nipo nje ya geti nakusubili. Nakupa dakika tano tu uwe umefika". Jafari aliyasema hayo na kukata simu. Nilihisi kuchanganyikiwa, namjua Jafari ni Bangi mtu. Hashindwi kuingia ndani kama alivyosema.
Nilizunguka chumba kizima sielewi nifanyaje. Kutoka niliogopa, endapo mama ataniona au Samir atanikuta nitajenga picha mbaya na pia sijui Jafari ananiitia nini hofu yangu anaweza hata akaniteka kabisa. Sikuwa na machagua. Kutoka sikutaka na Jafari kuingia sikutaka pia.................Hawa ma ex Kwa kuharibu furaha za ex zao hawajambo...... Nadra kazi anayo .........MUENDELEZO 1000.
NAMBA YA MALIPO 0743770612 JINA JOFREY.
UKISHALIPIA NICHEKI WHATSAPP NAMBA 0683009150..