ILIPOISHIA.....
Madam Sandra akiwa ndani ya kigauni kifupi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake alipigwa na butwaa kumuona kijana aliyemchungulia ndani ya gari yuko hapa tena mbele yake, ndani ya nyumba yake.
SASA ENDELEA....
"Shi...shikamoo" Onesmo alisalimia kwa sauti ya kubabaika.
Madam sandra hakujibu kitu, akampita na kwenda kuweka mkoba wake juu ya sofa. Kisha akageuka.
"Wewe ndio mgeni wetu?" Aliuliza kwa sauti ya kutaka kujihakikishia.
"Ndiyo, naitwa Onesmo..."
Madam sandra alivuta pumzi ndefu. Yule kijana aliyemtazama maungo yake ndani ya gari kumbe ni mgeni wake nyumbani. Hakujua aone aibu au afanye nini kingine. Jambo lililomuumiza akili ni ile kazi anayoifanya kamwe hakutaka mume wake ajue. Aliifanya kwa siri sana. Ni kampuni yake ya kuuza vipodozi na kufanya huduma ya masaji kwa wanawake na wanaume. Siku zote mume alijua mke ni mfanyabiashara wa bidhaa za urembo lakini hakuwahi kuwaza kama Madam Sandra anafanya kazi nyingine tena zisizokuwa na maadili kwa mke wa mtu.
Kabla hata Madam Sandra hajafikiri afanye nini mara mlango ukafunguliwa tayari mumewe amerejea.
________
Onesmo na Madam Sandra waliigiza kutofahamiana kwa muda wote wakiwa sebuleni. Walipiga stori za hapa na pale huku Onesmo akitoa hadithi za jijini Dar es salaam alikotoka. Mara kadhaa walikuwa wakitazamana na Madam Sandra kwa macho ya aibu. Taswira ya kile kilichotokea ndani ya taksi ikajirudia kwa kila mmoja.
Usiku ulipozidi, Onesmo aliingia kulala chumbani kwake. Mawazo yakizurura kwenye matukio ya siku nzima. Usingizi ulipoanza kumchukua mara mlango wa chumba chake ulifunguliwa taratibu. Onesmo akatupa macho kutazama ni nani anaingia pasipo hata kubisha hodi. Kwa bahati mbaya alisahau kuufunga mlango.
Alishangaa kumuona Madam Sandra akiwa amesimama mlangoni. Amevalia mavazi mepesi ya kulalia huku sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa wazi.
"Onesmo..." Madam sandra alizungumza kwa sauti ndogo huku akipiga hatua fupi kusogea pale kitandani.
"Nataka tuzungumze kidogo."Alikaa pembeni ya kitanda.
Onesmo aliogopa akatulia kimya huku moyo wake ukidunda kwa kasi. Hakujua ni ipi sababu ya ujio huu wa Madam Sandra chumbani kwake.
"Ninajua umeona mambo fulani fulani kule kiwandani kwangu si ndio!?" Madam Sandra aliuliza kwa sauti nyororo, akaendelea akisema...
"Najua una maswali mengi ni nini kinaendelea kule. Achana na hizo habari kabisa, sitaki hata mjomba wako azisikie. Kuna njia moja tu ya kuhakikisha unakaa kimya Onesmo wangu" Madam Sandra alimsogelea Onesmo zaidi, akaanza kumtomasa mwili wake taratibu.
"Niliona macho yako namna unavyonitazama wakati ule kwenye gari. Usijali naweza kukupa unachotaka. Lakini na wewe usiseme chochote kwa mjomba wako. Hayo ndio yatakuwa makubaliano yetu sawa Onesmo..."
Onesmo alimeza mate, bado alikuwa na hofu. Mikono ya Madam Sandra ikaendelea kutalii juu ya kifua chake.
Onesmo alibaki ameganda, hakuwa amezungumza neno lolote mpaka sasa. Wala hakujua aseme nini.
Yupo kwenye mtego ambao hajui ataukwepa vipi. Alijitahidi kupambana na hisia zake zisiamke kwa namna yoyote. Alijua wazi kuwa Madam Sandra ni mke wa mjomba wake, lakini bado kumbukumbu ya mjomba wake kuchepuka na msichana mdogo muda mfupi uliopita ilimfanya kuwa na kigugumizi cha maamuzi.
"Mbona mjomba yeye kamsaliti Madam Sandra mchana, au tufanye mara moja tuu..." Aliwaza Onesmo hisia zake za akili na mwili zikiwa kwenye vita kubwa. Mwili unataka akili haitaki.
"Mbona husemi kitu Onesmo, au hutaki?" Aliuliza Madam Sandra wakati huo alizidi kumpapasa Onesmo kifuani na tumboni kwa kutumia mikono yake laini. Harufu yake ya kuvutia ilimchanganya zaidi. Hata nguo aliyovaa ilikuwa nyepesi mno 'Night dress' ikionyesha sehemu za ndani za mwili wake. Taratibu mwili wa Onesmo ulianza kusalimu amri. Ilikuwa ni ngumu kujizuia mbele ya mwanamke huyo mwenye kila kitu kinachovutia.
"Onesmo... usiogope. Hautapata shida yoyote. Mimi ni mtu mzima, najua ninachofanya..." Madam sandra alizungumza kwa sauti ya mahaba huku akimtazama kwa macho yaliyolegea na kuzidi kumpagawisha Onesmo, taratibu hisia za mwili zikaanza kuishinda akili.
"Lakini Madam ni ni....oohuu!!" Onesmo alitaka kusema jambo lakini Madam Sandra akamuwahi kwa kumshika kwa nguvu akiliminya rungu la kijana juu ya boksa aliyovaa. Onesmo akahisi msisimko wa ajabu. Madam Sandra akatabasamu baada ya kugundua licha ya Onesmo kuleta ugumu lakini mwanajeshi wake alishasimama kitambo sana. Naye akazidi kuupitisha mkono wake juu ya boksa ya Onesmo kama vile anasigina chapati. Huku akiliminya minya taratibu rungu la kijana huyu.
Ghafla...
Ghafla, mlango uligongwa kwa nguvu! Onesmo na Madam Sandra waliruka kwa hofu, wakatazamana kwa mshtuko mkubwa. Muda mfupi uliopita walikuwa wakielekea kuzama kwenye dimbwi la huba, lakini sasa wamekatishwa ghafla. Madam Sandra aliweka kidole chake mdomoni, ishara ya kumtaka Onesmo anyamaze kimya.
Mlango ulifunguliwa Mjomba P akaingia kwa haraka. Alisimama kama sanamu, macho yake yakiwatazama moja kwa moja Onesmo na Madam Sandra waliokuwa wamekaa kitandani.
"Kulikoni hapa?" aliuliza mjomba p.
Madam Sandra akajitetea kwa haraka, tayari alishapanga maneno ya kuzungumza na mumewe, akasema...
"Nilipokuwa napita karibu na chumba cha Onesmo, nikamsikia akilalamika kwa maumivu haraka nikaja kumuangalia. Anaumwa huyu mume wangu"
Mjomba akahamisha macho na kumtazama Onesmo kwa mashaka.
"Onesmo, unaumwa? Mbona ulikuwa mzima muda wote?"
Onesmo alimeza mate na kuigiza kuwa mgonjwa kweli. Alihisi ipo haja ya kuunga mkono uongo wa Madam Sandra mara moja vinginevyo ataharibu mambo. Aliweka mkono wake tumboni na kujifanya dhaifu, akijaribu kumshawishi mjomba wake kuwa kweli anaumwa.
"Ndio...nilihisi maumivu ghafla... sijui kama ni tumbo au malaria hii anko" kijana akadanganya.
Mjomba P aliwaangalia tena wawili hao kwa macho yaliyojaa maswali. Onesmo alikuwa amelala pembeni ya kitanda chake huku Madam Sandra akiwa karibu sana naye, hali ambayo ni wazi inafaa kutiliwa shaka.
"Haya tumuandae haraka twende hospitali" Mjomba p alitoa wazo likaungwa mkono na mkewe.
Madam Sandra alimsaidia Onesmo kuvaa huku akitazama jinsi sehemu zake za siri zilivyokuwa zimetuna tayari kwa mchezo. Baada ya hapo alikimbilia chumbani kwake na kuvaa upesi.
Ndani ya muda mfupi, walimwingiza Onesmo garini na kuanza safari kuelekea hospitali. Njiani, Madam Sandra alitoa wazo kwamba waende hospitali ya rafiki yake na shoga yake mkubwa Dkt. Marry
"Mbona mbali hivyo?" mjomba P alihoji kwa wasiwasi.
"Huko ndiko tutakwepa gharama kubwa ya matibabu mume wangu" Madam Sandra alisisitiza. Mjomba p hakuwa na chaguo, akakubali.
Walipokuwa bado njiani, Madam Sandra alifanya jambo lingine la kishujaa ili kuufanya uongo wake na Onesmo kwenda vizuri.
Kwanza alimpigia simu Dkt. Marry alipopokea akakata kwa makusudi na kuandika ujumbe huu haraka akamtumia.
,,,,Shoga angu, Mume wangu alikuwa karibu kunifumania na kijana mmoja mgeni hapa nyumbani kwangu, hivyo anajifanya anaumwa. Tafadhali, tusaidie tunakuja hapo hospitali. Haumwi wala nini,,,,
,,,,,Eeh shoga angu umejua kunichekesha niko ofisini hapa nina nyeg* kichizi kwani huyo kijana ananini hadi ikawa hivyo mbona sio kawaida ako, hebu mlete nimuone labda na mimi atanishawishi,,,,,
Alijibu Dkt Marry.
Madam Sandra akaishia kutabasamu kisha akajibu.
,,,,,Acha masihara mwenzio niko kwenye tatizo, haya namleta si nakujua unavyopenda vijana wa kazikazi,,,,,
_______________
Dakika saba baadae walifika hospitali binafsi ya Dkt Marry, akiwa tayari amepokea taarifa zao akawapokea kwa tabasamu pana.
"Haya, mgonjwa wetu yuko wapi?" aliuliza huku akimwangalia Onesmo kwa macho ya utani.
Onesmo aliingizwa chumba cha Dkt. Marry. Alikaa kwenye kiti kisha Dkt. Marry akawataka wote wasubiri nje wamuache yeye na mgonjwa.
Marry ni mwanamke mrembo, rika lake sawa kabisa na Madam Sandra. Mrefu si mnene sana, maji ya kunde huku umbo lake zuri likifichwa ndani ya koti refu jeupe alilovaa.
"Kwa hiyo unaumwa nini kaka mzuri?" aliuliza kwa utani akimtazama Onesmo moja kwa moja usoni.
Onesmo aliendelea kudanganya, akijifanya dhaifu. Hakujua tayari Dkt Marry anazo habari zake hata kabla hajafika.
"Nadhani ni malaria au typhoid... sijisikii vizuri. Tumbo lilianza ghafla, mwili pia unachemka"
Dkt. Marry alicheka kwa sauti.
"Wewe kijana unajua kuigiza! Kama kuna tuzo ya msanii bora, nakupa leo."
Onesmo alitabasamu kwa aibu. Hapo akahisi huenda Dkt Marry anajua mchongo mzima.
Lakini ghafla hali ilibadilika...Kivipi?
Dkt. Marry hakuishia kumsifia tu bali alisimama akahamia upande wa pili alipokaa Onesmo. Ajabu akaanza kumshika Onesmo shingoni akimpapasa taratibu. Onesmo alishtuka kidogo lakini hakusema chochote akahisi labda Daktari anafanya uchunguzi wake. Lakini mambo yakazidi kuwa mambo. Dkt alijisogeza karibu zaidi na Onesmo. Huu haukuwa uchunguzi wa kidaktari tena, ni zaidi ya hilo.
"Unajua mmenishangaza sana, Madam Sandra alikuwa anataka nini kwako?" Aliuliza kwa sauti ndogo nyembamba huku akiendelea kumshikashika Onesmo taratibu shingoni na sasa akahamia kifuani.
"Nini hiki tena Mungu wangu" Aliwaza Onesmo.
"Sasa... Onesmo, nataka ufanye kile ambacho ulipaswa kufanya na Madam Sandra" alisema huku akimwangalia kwa macho yenye tamaa kali ya mapenzi. Kabla hajajua la kufanya, Dkt. Marry alianza kuvua koti lake la udaktari, kisha nguo moja baada ya nyingine zikaanza kudondoka sakafuni.
Onesmo alihisi mwili wake ukitetemeka. Alikuwa amezingirwa na mitego isiyoisha. Alianza Madam Sandra na sasa ni Dkt. Marry.
Mwanamke huyu sasa alikuwa amebaki na taiti yake nyeupe inayofanana rangi na sidiria aliyovaa kuyabana matit yake makubwa. Onesmo alipoangalia umbo la Dkt Marry alihisi mapigo ya moyo wake yakipiga kwa kasi.
Je, atakubali kutumbukia kwenye mtego huu mpya?
Kwa sh 1500 unasoma simulizi hii piga namba au njoo WhatsApp 0756862047
Watu wangu wa WhatsApp sehemu ya statu ipo katika channeli hii chini, bonyeza link ujiunge
https://whatsapp.com/channel/0029VaylcIKAInPiI2v4Cc0R
WEKA# COMMENT
#coment #comentshare #LikeFollowShare
#likecommentshare.