Epuka matapeli Ronaldo ni mmoja tu tena anatokea Brazil anaitwa Ronaldo Luís Nazário de Lima O Fenômeno R9.
Ronaldo tunayemjua sisi ameshinda World Cup 2, moja kachukua 1994 na nyengine 2002.
Ronaldo wetu ana historia ya kutwaa tuzo ya Ballon d'Or akiwa mchezaji mdogo kuliko yeyote aliyewahi kunyakua tuzo hiyo De Lima alikua na miaka 21 na miezi 3 hiyo ilikuwa mwaka 1997, hizi tuzo R9 anazo mbili nyengine kanyakua 2002 baada ya kushinda kombe la Dunia.
Ronaldo tunayemjua sisi alinyakua Balloon D'Or mbele ya Zinedine Zidane yule wa moto, Thierry Henry, Rivaldo na Alessandro Del Piero.
Ronaldo ni mmoja tu.
Steve Champion.