Hili lilikuwa ni ombi kutoka kwa moja ya taasisi za wanawake alizokuwa akishiriki mwanamke huyo.
Na kilichofanywa na mumewe ni kuandika:
“Nampenda mke wangu alivyo, siioni dosari yoyote kwake.” 🖤
Akamkabidhi karatasi hiyo akiwa ameifunga vizuri, kama ilivyoombwa na taasisi hiyo kwa wanachama wake.
⬛Siku iliyofuata, mwanaume huyo aliporudi nyumbani alimkuta mke wake amesimama mlangoni...
Mikono yake ilikuwa na shada la maua, na machozi yakimtoka kwa furaha kuu...
Ilikuwa ni mshangao mkubwa kwake, hasa baada ya kugundua kuwa sifa zile nzuri zilisomwa mbele ya halaiki ya watu wengine.
Na akashinda tuzo ya “Majibu Bora ya Mume”!
Mume huyo alisema:
“Nilikuwa najua zaidi ya makosa kumi ambayo mke wangu huyafanya, lakini nilijua kuwa tiba si kuyasema kabisa.”
Cha kushangaza ni kwamba tabia za mke wake zilianza kuboreka kwa zaidi ya asilimia sabini.🖤
⬛Kutaja mapungufu mara kwa mara huzalisha chuki, huzuni, na ukaidi…
Hasa pale inapofanywa mbele ya watu wengine.
Lakini kumsifu mtu huleta mapenzi, furaha, na nguvu chanya na huwa ni msukumo mkubwa wa kubadilika na kuwa bora.
Je mume wako anaficha mapungufu yako au huyatangaza hadharani kwa watu😊
Allah akupe mwenza mwema mtakayeishi kwa furaha, huruma na mapenzi🤲
Kwa muendelezo wa hadithi kama hizi make sure ume follow ukurasa wangu wa Sufian Mzimbiri.