Nilimpa kisha tulilala asubuhi kulikucha kama kawaida tulipo maliza kupata breakfast kilammoja wetu alienda kwenye majukumu yake
Sikuhiyo nilienda ofisini kama kawaida nikamuacha dada wa Natalia na Natalia
Nikawaambia natoka kidogo naenda mjini wanisubili kwa muda hadi nitakapo ludi
Nilienda mjini kufanya manunuzi mbali mbali ya zawadi za nyumbani kigoma
Kisha nilipomaliza nikaludi ofisini na kuwa chukuwa Natalia na dadaake kisha tukaludi nyumbani
Tukaingia ndani nikaanza kupanga vitu vyangu kwaajili ya safari dada nilimwambia amlishe mtoto kisha amlaze
Mida ya chakula ilipita hivyo tukiwa kitandani tumelala nilipokea ujumbe kutoka kwa kwa Mzee devi
Hivyo niliifungua Tony alikuwa kalala
Alikuwa akisema akilala Tony tafadhari naomba uje nimekumis sana hujui tuu nimekuwa naham na wewe mnoo
Nikamjibu usijali tulizo langu wewe ndio unae niwezea hakika umli sio kigezo
Hakika tangu nakua sijawahi kukutana na mtu anaejua kama wewe unaweza mno kipenzi
Ndio maana huwa nakaa nakuwaza wewetu natamani wewe ndio ungekuwa mume wangu
Ila hatahivyo hakijaalibika kitu
Bado nimumewangu na wewe ndio unanifanya hadi najihisi nimefanywa
Haya nipo njiani nakuja unile sana kipenz changu nifungulie mlango
Niliinuka nikaenda chumbani kwa Mzee devi nikaingia alikuwa ananisubili alinipokea na kuanza mahaba.
Akaninyanyua juu akiwa kaniegemeza ukutani
( Kitendo cha kikubwa kiliendelea..kuchambuliwa kwenye WhatsApp hapa sheria imenibana ila jua tendo limetendeka)
nilimbusu na kumwambia nitaondoka kesho asubuhi mapema hivyo naomba ujitizame uwe na afya njema
Nae aliniambia pia wewe kajitunze pia mtunze binti yetu kuwa makini nakupenda sana mpenzi
Nikamjibu nakupenda pia kisha niliondoka na kuludi chumbani kwetu
Nilimkuta mumewangu akiwa anageuka akaniuliza unatoka kumtizama mtoto
Nilimjibu ndio kipenzi kisha akanivuta haya njoo hapa niku kumbatie
Maana kesho unaondoka nitakosa wa kumkumbatia nilienda nikamkumbatia
Tukalala hadi alfajiri ilifika nikaamka na kujiandaa na kupakia mizigo yangu yote kwenye gari na dada na Natalia nao walikuwa tayari wamejiandaa kwa ajili ya safari
Watu wote walitoka kutuaga tukawaaga wote Mzee devi akanipa kadi ya pesa kwa chini chini akuna alieiona
Nikaitia kwenye pochi na kuiweka kwenye gari dereva akaingia nikawaambia baba na Tony msikose kupita kwenye ofis yangu
Wakaniambia usijali haya uwende salama nikaingia kwenye gari na kuanza safari
Tuliondoka na safari ilianza kwa muda kidogo hatimae tulifika moro
Mwendo ulichanganya tulifika kigoma tukiwa hoi tumechoka sana
Tulipaki gari nje ya nyumba yetu alitoka mama na kutazama ninani huyo
Ilikuwa usiku mnoo nikashuka ndio mama akaniona
Akanisogerea akamigundua akanikumbatia wow mwanagu kipenzi
Nikamkumbatia mama yangu kipenzi nikamwambia dada shuka na mtoto amuone bibi
Mama akamchukuwa mtoto Natalia jamani mjukuu wangu
Karibu sana kijijini kwenu kipenzi hapa
Endelea kufuatilia..........
BABAMKWE epsd 18.
Tulipokelewa na kuingia ndani tulishusha mizigo na kuingia ndani
Tukaingia kuoga na kisha chumbani kulala
Nililala chumbani kwangu mimi na dada wa Natalia pamoja na Natalia
Dereva alipewa chumba nae akalala
Nilipokuwa chumbani nilimpigia Tony kumtaarifu kuwa tumefika na baada ya hapo nilimpigia na mzee devi
Nilimwambia kuwa nimesha fika kipenzi ila nimekumis mnoo
Akanijibu kuwa pia mimi ikiwa haupo humu ndani naona kama kunakitu muhimu sana kimepotea
Nikamjibu pia mimi kipenzi nahisi nikompweke sana kwa upendo nilio nao kwako sijui umenipa nini mimi
Hakika natamani niwe karibu yako muda woote mpenzi
Haaya nikuache ulale kesho nitakupa uongee na mama sawa
Mzee devi aliitikia sawa kipenzi haya lala upumzike sawa
Nilimwitikia na kulala hatimae asubuhi ilifika nikaamka na kukutana na baba na mama woote na bam kubwa na dada na ndugu zangu wengine
Woote walifurahi sana kuniona na wakaenda kumchukua na bibi pia alikuja na kufurahi
Walikuwa wanashangaa na hilo gari wakawa wanauliza niyako
Niliwajibu ndio yangu nimekuja na dereva wetu
Huyoo na huyu ni dada wa Natalia hivyo kila kitu atamfanyia yeye msipate tabu
Hivyo dada alienda kuchemsha maji na kumuosha na kumuandalia chakula kisha alimlisha
Mimi nilikuwa na mama tunapiga story
Watuwoote walikuwa pale nyumbani kwa furaha
Waliandaa maandalizi kibao kama kunasherehe
Nilimwambia mama ninanyumba mama nzuri sana ipo kama kasri hivyo nimeifunga tuu nataka nikiondoka muhamie haraka
Mama akasema sasa mmh atakubali babaaako mwanangu
Nilimjibu kuwa nitamshawishi mkakae nitawafanyia kila kitu msihofu kwani nina hotel kubwa yakwangu na inafanya vizurituu
Mama akaniuliza sasa mumeo anajua
Nikamjibu kuwa hajui nawala sitaki ajue kuwa namjengo mkubwa kama huo
Mama kwani umemuibia?
Nikamjibu kuwa hapana mama hii ni inshu nyingine mamaangu
Nitakuambia ila naomba usije kumwambia mtu mwengine
Mama hiyo nyumba nimepewa na baba mkwe wangu ananipenda sana
Mama akauliza sasa kama kakupa yeye mumeo kwanini haijui
Nikamwambia hayo ni mambo binafsi mama
Nimekuambia kuwa Mzee devi ananipenda sana na nipo kwenye uhusiano naye hivyo nisiri
Kitambo sana tangu sina mimba hadi nimejifungua mtoto huyo niwake Mzee devi
Wala sio wa Tony hivyo naomba uwe nami bega kwa bega hakika nitakufanyia vitu vikubwa sana
Na nampenda hata sijui kwanini simpendi Tony hata kidogo nikiwa na mzee devi huwa na amani kuliko Tony
Mama aliguna na kuniambia mwanangu hii ni hatari mnoo sijui umekumbwa na nini mwanangu
Nilimjibu kuwa na amani tupo makini mnoo usiogome nataka familia nzima muhamie dar nitawahudumia
Na hata Hotel nimepewa na mzee devi ninapesa sana achenitu
Hivyo mama hakuwa na lakufanya akaitikia nitaongea na babayako tutaamia
Endelea kufuatilia............
KWETU morogoro.