_Tulipo ishia_ ππ¦
" kuniondolea furaha yote niliyonayo juu yako" alisema Flora.
*Endelea sasa* ππ¦
Basi Japhet akaamua kunyamaza na baada ya hapo akanyanyuka kwenye kochi na sahani yake ya matunda mkononi akamuaga Shemeji yake. "Sasa Shemeji ngoja mimi niende chumbani kulala tutaonana kesho Mungu akipenda" alisema Japhet. Flora akacheka sana halafu akasema: "Tutaonana kesho au baadae? nitakuja huko kwako muda sio mrefu sana nataka unisugue zaidi ya Jana unitoe genye zote" alisema Flora.
Hapo Japhet hakuweza kusema kitu chochote akaondoka na kuelekea chumbani kwake huku nyuma akimuacha Shemeji yake huyo (Flora) akimuangalia kwa macho ya matamanio. "Haki ya nani waliosema bora ukosee kujenga nyumba lakini usikosee kuoa wapo sahihi kabisa, hapa kaka yangu amekula hasara mke hana kauvaa mkenge duuh!" Japhet alijemea moyoni kwa masikitiko huku akiingia chumbani kwake. Akaiweka mezani ile sahani ya matunda na kutoka akaelekea chooni kwanza kwenda kukojoa mkojo. Alipofika huko chooni akalichomoa 'Gobole' lake ndani ya bukta na kuanza kurusha mkojo kwenye Sinki.
"Yaani siku mbili hizi nimewadin'#nya kwa zamu Rozi na Shemeji Flora mpaka Mboo yangu imechubuka, nikiendelea sana si itakatika kabisa?" Japhet alijisemea huku akitabasamu. Baada ya hapo akarudi tena chumbani kwake na kujifungia mlango kwa ndani na ufunguo halafu akaichomoa funguo mlangoni na kuitupia juu ya meza. "Hapa hata akija huyu mwanamke asiyetosheka dawa yake ni kumchunia tu, simfungulii mlango asilani" alisema Japhet na halafu akaenda kuketi kitandani kwake akamalizia kula Yale matuΓ±da na baada ya hapo akazima Taa ya humo chumbani na kupanda kitandani kwa ajili ya kulala usingizi huku akianza kumfikiria Rozi binti ambaye ametokea kumpenda ghafla kupita kiasi
Flora naye baada ya kubakia sebuleni peke yake akaamua kuzima TV na Taa ya hapo sebuleni pamoja na ya ukumbini halafu akaingia chumbani kwake kulala huku kicwani mwake akiwa na mahesabu makali sana ya kumuingilia Japhet kule chumbani kwake ili akafanye naye mamboz. "Usiku huu sikubali unipite hivihivi lazima Shemeji Japhet anikamue" alijisemea moyoni Flora huku akiwa anatabasamu. Akalivua lile Gauni jepesi (Night Dress) na kubakia mtupu kabisa halafu akazima Taa ya humo chumbani kwake na kupanda kitandani akiusubiria muda wake alioukusudia kumvamia kijana Japhet ufike. "Sasa hivi ndio kwanza saa Nne za usiku, nasubiri ifike saa Saba niende nikamfaidi yule kijana" alijisemea Flora huku akiangalia majira ya saa kwenye simu yake kubwa.
Kwa upande wa Rozi naye kule chumbani kwake Mara baada ya kususa kula chakula pale mwanzo. Aliingia chumbani moja kwa moja na kujibwaga kitandani kwake na kuanza kulia machozi akijihisi kudhulimiwa Penzi lake kwa kijana Japhet na bossi wake Flora. "Sasa mbona yeye ana mume wake lakini aridhiki hadi amchukue na Japhet jamani?" Rozi alijiuliza huku machozi yakimtiririka.
"Sikubali usiku huuhuu nitaenda chumbani kwa Japhet kumshauri kama ikiwezekana hata kesho nimpe pesa akatafute chumba tuhame humu ndani na sisi tuwe na maisha yetu ya kujitegemea" alijisemea moyoni Rozi. Akavuta shuka na kujifunika huku akisubiri usiku uwe Mkubwa sana aende chumbani kwa Japhet akamgongee mlango ili amshauri hivyo kwa muda huu Rozi alijikuta ghafla ametokea kumchukia bossi wake (Flora) kwa sababu ya Penzi la kijana Japhet.
Hatimaye majira ya saa Saba za usiku yaliweza kufika. Flora akajiinua kitandani taratibu na halafu akaaimama chumbani humo na kujisemea: "Sasa muda wangu wa kwenda kuufaidi Utamu wa Shemeji umefika" alisema Flora kwa sauti ndogo huku akitabasamu. Halafu akaenda kabatini kwake akalifungua kabati hilo analolitumia kuhifadhia nguo zake na kuuchukua upande wa kanga moja na kuuvaa mwilini mwake. "Naenda kuufaidi Utamu kwa raha zangu, huyo mume wangu na hicho Kibamia chake atajibeba" alijisemea Flora huku akiyabinyabinya madodo yake na kuyanyanyua mpaka mdomoni mwake na kuanza kujinyonya chuchu zake yeye mwenyewe ili kujitia genye zaidi. Baada ya hapo akaichukua ile Simu aliyomnunulia Japhet na kuishika mkononi halafu akatoka chumbani humo kwa mwendo wa kunyata. Alipofika usawa wa ukumbini kama vile alikuwa amekumbuka kitu. "Najua atakuwa amejifungia mlango kwa ndani ili mimi nisiingie, ajui kama ule mlango una funguo mbili" alisema Flora huku akitabasamu na kurudi tena chumbani kwake kuichukua hiyo funguo ya Pili ambayo ni ya kuingilia chumbani kwa Japhet. Baada ya kuipata funguo hiyo akaenda moja kwa moja mpaka mlangoni kwa Japhet na kuzungusha kitasa cha mlango akakuta umefungwa kwa ndani.
"Nilijua tu kama atajifungia ili kunikwepa mimi, sasa ngoja nimuonyeshe mchezo" alijisemea Flora na halafu akachukua ile funguo yake na kuichomeka kwenye kitasa na kuufungua mlango huo ambao ulikubali kufunguka bila ya kipingamizi.
Flora akatabasamu na kujiona mshindi akaingia chumbani kwa Japhet taratibu na kuufunga tena mlango kwa ndani.
Kwa muda huo kijana Japhet alikuwa ameshapitiwa na usingizi amelala hana hata habari kama tayari ameingiliwa na Shemeji yake. Kutokana na Giza ambalo Flora alilikuta humu chumbani ikabidi awashe Taa kwa kupitia 'Switch' ya ukutani ambapo Nuru ya kutosha ikapata kutokea chumbani humo na Japhet akaonekana hapo kitandani Live bila chenga akiwa amelala na kukoroma.
Flora akajikuta anatabasamu baada ya kumuona Japhet akajihisi mwili wake unaanza kumnyevua kwa genye na hisia Kali za kimapenzi zikimpanda Ghafla.
"Khaa! hivi jamani mimi nna nini mbona nashindwa kujizuia pindi nimuonapo huyu kijana?" Flora alijiuliza hivyo huku akiuruhusu upande wa kanga uliomsitiri mwlini udondoke chini na kumuacha yupo uch.....i kabisa halafu taratibu kwa mwendo wake wa mapozi akaanza kusogea kitandani alipolala kijana Japhet huku akijitomasamasa kimahaba Flora!.
"Khaa! hivi jamani nna nini mbona nashindwa kujizuia pindi nimuonapo huyu kijana?" Flora alijiuliza hivyo huku akiuruhusu upande wa kanga uliomsitiri mwilini udondoke chini na kumuacha yupo uch.....i kabisa halafu taratibu kwa mwendo wake wa mapozi akaanza kusogea kitandani alipolala kijana Japhet huku akijitomasamasa kimahaba Flora.
Taratibu Flora akaweza kusogea mpaka kitandani alipolala kijana Japhet ambaye hakuwa anajua kama muda huu alikuwa ameingiliwa humu chumbani na huyu Shemeji yake. Bahati nzuri Japhet hakuwa ameteremsha Neti (Chandarua) hapo kitandani kwa sababu alifuΓ±gulia Feni iliyokuwa ikipuliza upepo wa kutosha na kuwakimbiza kabisa wale wadudu wanaosababisha ugonjwa wa malaria.
Flora akaketi kitandani taratibu na halafu akamuangalia sana Japhet aliyekuwa bado anakoroma na usingizi. Flora akausogeza mdomo wake mpaka usawa wa mdomoni kwa Japhet na kuanza kumnyonya denda kijana huyo. Japhet akashtuka usingizini na kushangaa kumuona Shemeji yake Flora ameingia mle chumbani tena mbaya zaidi akiwa yupo mtupu kama alivyozaliwa hana nguo mwilini. "Shemeji nini unafanya na humu chumbani umeingiaje?" Japhet aliuliza huku akijiinua na kuketi kitandani hapo na kuzidi kumshangaa Shemeji yake huyo.
"Ulipojifungia kwa ndani na ufunguo ulidhani nitashindwa kuingia si ndio enhe?" Flora naye aliuliza kwa kebehi.
"Shemeji naomba uondoke haraka sana humu chumbani" Japhet aliunguruma.
"Niondoke vipi na wakati nimekuja kufuata burudani yako, au ndio tayari umeshaanza kujitoa ufahamu?" Flora aliuliza. Japhet akashusha pumzi ndefu na kusema: "Hapana Shemeji kwa hilo halitawezekana kabisa, tulichokifanya siku ile ni Bahati mbaya tu imetokea sitaki tena kumkosea na kumvunjia heshima kaka yangu" Japhet alisema kwa sauti ndogo na yenye msimamo. Flora akacheka sana tena kicheko cha dharau na halafu akaaema: "Unajifanya una heshima sana kwa kaka yako enhe? sasa sikia humu ndani sitoki mpaka unisugue" Flora alisema na kuanza kumvamia Japhet mwilini mwake na kumlazimisha kumnyonya denda kwa lazima. Japhet naye akukubali kiurahisi jambo hilo litokee akajitahidi kujinasua kwenye himaya ya Shemeji yake huyo ambaye tayari Pepo lake la Ngono lilikuwa limeshamkamata ile kisawasawa. "Japhet unajifanya mjanja kunikomalia si ndio?" Flora aliuliza kwa hasira.
"Ndio sasa nakukomalia na sitaki kufanya mamboz na wewe, hebu jiheshimu kumbuka wewe ni Shemeji yangu" Japhet alisema kwa hasira. Flora akatabasamu na kusema: "Sawa nimekuelewa naona umeamua kujifanya mjanja sasa tutaona humu ndani ya hii nyumba nani mjanja" Flora naye alisema kwa hasira huku akinyanyuka kitandani kwa Japhet na kuiokota kanga yake iliyokuwa chini na halafu akaivaa tena. Kumbe wakati haya yakiwa yanaendelea humu chumbani Rozi alikuwa yupo ukumbini amesimama nje ya mlango wa chumbani kwa Japhet anasikiliza. Kule ndani napo Flora alikuwa amekasirika sana baada ya kunyimwa kupewa Utamu na Japhet. "Yaani sio siri Japhet nilikuwa nimejiandaa kwa ajili ya kufurahi usiku huu na wewe lakini umejifanya kunizingua haya tutaona" alisema Flora na kuelekea mlangoni ili apate kutoka humu chumbani. Japhet alibakia kimya huku akiwa Γ mekasirika.
Flora alipofika mlangoni akasimama na kumuangalia Japhet halafu akasema: "Najua kinachokupa ujeuri ni hilo Penzi lenu na Rozi mlilolianzisha, sasa tuone kama mtafika mbali" alisema Flora na kutoka chumbani kwa Japhet huku akiichukua ile funguo aliyokuja nayo.
Baada ya Flora kuwa ameshatoka Japhet akanyanyuka kitandani na kwenda hadi mlangoni kuufunga tena mlango vizuri na kuzima Taa ya humo chumbani. "Huyu Shemeji naye sijui ana mapepo yaani analazimisha kufanya mamboz na mimi? siwezi kurudia tena ujinga kama ule" alijisemea kijana Japhet huku akipanda kitandani kuutafuta tena usingizi.
Rozi naye baada ya kumsikia Flora akitaka kutoka chumbani kwa Japhet muda ule akarudi haraka chumbani kwake na kujificha ili Flora asimuone pale ukumbini alipokuwa anasikiliza. "Nilikuwa nataka kwenda chumbani kwa Japhet ili tukapange
Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.