Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

NDOA YA MKEKA* 07 & 08👰🤵🤟💗 mwandishi; Kitty Fefe

16th Jul, 2025 Views 2



Niliona hanisumbui kichwa,mtoto mwenyewe wala simjui😒😒😒siwezi jishusha hivyo 😁👐Nilianza kupika chakula cha usiku mwenyewe😜kisha nikaanda tule😋tukala kwa pamoja na kumpatia na mlinzi pia.....kisha kila mtu akawa na hamsini zake,yeye ni mpenzi sana wa kuangalia muvi mimi sipendi kihivyo,mara nyingi nilikuwa nachat na braza angu,hata siku hiyo pia nilikua nachat nae (kaka Mustafa) ilipofika mida ya saa nne,nikaona Hakim anazima Tv,sikumuuliza kwamba leo mbona unawahi kwenda kulala...!?😁😁😁

Akaja nilipo na kunipa mkono, nilibaki mshangaa😳
"Kuna nini...!?"😳
"Twende tukalale"
"Lakini mbona kila mtu analala kivyake, iweje uniambie tukalale...!?"🙄🙄🙄
"Nahitaji kulala na wewe leo,so tunaenda kulala sasa hivi"
"Mmmmh....! sihitaji kulazimishwa ,wewe kama waenda kulala basi nenda tu"🥺
Hakim akaninyanyua kilazima na kunibeba🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️bahati mbaya nikaangusha simu yangu 😩😩😩lakini hata hakujali,nilikuwa nampiga piga mgongoni anishushe bhana😭😭😭

Alinipeleka hadi chumbani kwake na kunishusha😩😩😩akafunga mlango na funguo 🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️leo nakutwa na nini uwiiii🥺🥺🥺
"Naomba unifungulie niondoke mimi"
"Kulthum mama,leo huendi popote utalala humu na mimi"
"Lakini mapenzi hayalazimishwi,naomba unifungulie please"😭😭😭
"I can't.....kwani kuna tabu gani kulala huku.....mbona unapenda kujitesa weee binti....! "

Kilichonikuta hiyo siku eeeh sisahau😆😆😆

ITAENDELEA

*NDOA YA MKEKA* 08
Mwandishi; Kitty Fefe

Nilikuwa nahisi mwili wangu wote unauma aiseee🥺🥺🥺 asubuhi kulipokucha nilijaribu kunyanyuka niweze kwenda chooni 🥺ila kumbe nilikuwa na maumivu makali bhana.....Hakim alinipeleka chooni akanisaidia kabisa kuoga.....akanikanda na maji ya moto 🥺 nikaanza kumlaumu kuwa amenibk🥺🥺alinicheka sana😭😭😭nilimchukia🥺nikamkasirikia nikaamua nitoke chumbani kwake na kwenda chumbani kwangu, nilikuwa natembea kwa Mateso🥺 nilipofika sitting room na kuiokota simu yangu nikakuta imepasuka kioo😭halafu Hakim hakujali ile usiku ilipoanguka yeye anawaza upwru tu🙄🙄nikasema mbona atalipa simu,hajui mimi nilimake aje mpaka kupata hela.ya kununua haka ka smart😔😔😔

Baada ya muda tu Hakim alikuja chumbani kwangu,
"Kulthum naomba kuongea na wewe"
"Niambie tu"😔
"Nisamehe kwanza kwa kitendo cha jana🙏🏻🙏🏻🙏🏻 nisamehe mno,ila nimefurahi sana kuwa mwanaume wa kwanza kwako, imefanya nizidi kukupenda na kukuheshimu,na nitakupatia zawadi kubwa 😘😘😘 nakupenda sana Kulthum hakika wewe ni wangu"
"Sasa hizo samahani zako mimi zitanisaidia nini..!?😔😔😔unajua ni maumivu kiasi gani mimi nasikia...!?"
"Nafahamu,ila hayo ni ya muda tu,next time hutoumia"
"Ufanye na mwenzako nani?"😭😭😭
"Hahaha na wewe mke wangu,usikasirike"
"Sijui ikoje, umevunja hadi simu yangu" 😔😔😔
"I'm sorry, nitafanya utaratibu wa kununulia"

Alileta chai na kuanza kunilisha😋😋haloo, upande mwingine nikawa naona raha kweli😁😁👐ila natamani nimvimbie maana ile ndoa sijaipenda wala nini😒😒😒ila nitafanyaje🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️niliuguza yale maumivu wiki nzima😜 alikuwa ananijali hatari🥰🥰🥰mpaka moyoni nilikuwa nasikia raha🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️ alininunulia simu ingine na ile ya zamani nikabadili kioo,nikawa na simu mbili

Ilipita mwezi akanitambulisha kwa best friend wake anaitwa Adam,kidogo nikaanza kumpenda eti😂😂😂Joel nae akasema hatorudi, Hakim akanambia alete mfanyakazi mwingine nilikataa, weekend moja akaniambia akanifundishe kuogelea,
Tulipomaliza ,tukalala kidogo mimi nikaamka na kwenda kupika kisha nikaenda kumuamsha naye kuja kula, tulipomaliza kula tukawa tunaangalia muvi....kila mtu alikaa kwenye sofa lake, nikaona kama sitosheki nilinyanyuka nilipokaa na kwenda alipo yeye nikaenda jilaza kifuani kwake,
"Kulthum mke wangu una nini?" Nahisi alinishangaa mazoea naye nimeanza lini..!?😅
"Kwani kuna tatizo gani? au hujategemea ?''.
"Ndio,sijategemea kabisa....!"
"Usijali kawaida tu,na kuanzia sasa hivi nitakuwa tunalala ote"
"Ya kweli hayo?"
"Ndio"
"Ahsante sana Kulthum wangu, nimefurahi kuona umeniridhia ni kitu nilichokuwa nakitamani sana,sikupenda kuishi na wewe katika hali kama ile"
"Usijali, unanipenda.."
"Nakupenda aama"
"Niambie tena"🥺🥺🥺
"Nakupenda sana mke wangu,zaidi ya sana yaani sana"
"Sitaki niambie tena"
"Baby, i love you".
"Usije nitenda wewe kaka mi' moyo wangu mdogo"
"Siwezi mke wangu nakupenda sana😋😋 najisikia bahati kubwa nawe"😘😘😘
"Nashukuru kwa upendo wako na pnzi lako🙈kumbe mapenzi ndio matamu hivyo"
"Hahaha ni wewe mwenyewe ulikuwa unapoteza muda,ila usijali wakati bado upo mwingi,nitazidi kufanya ufurahie"

Nakwambia hiyo siku tulipeana maneno matamu ya kila aina,ndugu yenu nikaingia ulimwengu wa kumpenda mtu rasmi😁😁😁nikaamua na chumbani kwake,maana alivyonitoa bk nilirudia kulala chumba changu 😁😁😁hivyo sasa ndo nikahama rasmi,ile siku kile chumba kilikuwa shahidi kwa tulivyopeana vitu💋💋💋💋akiiiiii mapenzi matraaamu nyieee🤭🤭🥰🤸🏻‍♀️

Siku iliyofuata mimi ndio niliwahi kuamka na kuandaa chai na kazi zangu zingine,nikasema leo lazima nitamuuliza Hakim anafanya kazi wapi...!? nikaenda kumuamsha tuje kunywa chai mara nikasikia kengele getini,ilinibidi mimi niende kufungua....akaingia mdada
"karibu"
"Ahsante, boss wako yupo?" aliniuliza yule dada
"Yupi huyo"
"Mwenye hii nyumba" nikasema labda anamzungumiza Hakim,na mimi nimeanza lini kuwa mfanyakazi wake...!?mtu kama kitu hujui si uulize😒😒😒
"Unamzugumzia Hakim au?"
"Huyo huyo"
"Yupo,karibu ndani"
"Sina muda wa kuingia ndani,kaniitie" nilienda ndani na kumwambia Hakim kuwa kuna mgeni wake😩👐

Tulitoka nae mpaka nje,
"Agnes,nikusaidie nini?"🤔
"Nimekuja kukutembelea kwani kuna ubaya?"
"Ukiachana na ubaya pia haustahili wewe kuwa hapa,sijui kuna kitu chako chochote umesahau humu ndani umekifuata?"
"Yeah,nimekufuata wewe"
"Oooh...! very sorry unavailable,by the way huyu ni mke wangu anaitwa Kulthum...!"
"Wait.....nimekosea kumbe ndio mkeo?mimi nikadhani housegirl....!?🤔 Ndio huyu kwani aliyempiga mtoto wa sister angu eeeeh? Ok binti mimi ni mke mwenzio"🤔 Yule mdada aliongea kwa nyodo,
"Agnes chunga mdomo wako,nitakuvuruga"
nikaona hapa hata hakunifai🥺🥺🥺nikaamua kuondoka,huko nyuma nikasikia Hakim anamfukuza yule dada......sijui ndo Agnes😒😒😒mimi nilichukia Hakim si alisema ananipenda kumbe muongo,mimi wa kuitwa housegirl mimi....!?😩😭😔

ITAENDELEA

FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NDOA YA MKEKA* 07 & 08👰🤵🤟💗 mwandishi; Kitty Fefe   >>> https://gonga94.com/semajambo/ndoa-ya-mkeka-07-08-mwandishi-kitty-fefe
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 30💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

TREVOR CHALOBAH 🫡

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 28💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

🌹I MISS YOU 🌹

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 22💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 14...15

majario rewards 100 Comments 0
 

MDOLI MPENDA UTAMU...1

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA🙈3~4

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest