Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Pyar Ho Jane Dushman

NAJUTA KUWEKA MIDOLI NDANI KWANGU ๐Ÿงธ๐Ÿงธ Sehemu ya kwanza ( 1 )

1st Aug, 2025 Views 70


*************
@Kila Mtu
๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ๐Ÿงธ
ANZA..
โ€œWhen should I expect it to arriveโ€.
โ€œSomething like next monthโ€.
โ€œOkay thanks iยดve sent the money in advanceโ€.
โ€œOk Worry not,soon yoยดll have your haulโ€.
โ€œokay thanksโ€.
Yalikuwa maongezi kwa lugha ya kingereza kati ya bosi wangu na mhudumu wa kampuni moja kutoka china iliyojihusisha na utengenezaji wa midoli mbalimbali.Bosi alikuwa akiagiza mzigo wa midoli ambayo tuliihitaji sana katika duka letu kubwa la nguo.
Hivyo baada ya kuwasiliana na wale wachina waliokuwa nchini mwao basi aliambiwa asubiri ndani ya mwezi mzigo wake utafika.Midoli tuliyohitaji sana pale dukani ilikuwa ya kiume kwani tulibadilisha mfumo wa uuzaji wa bidhaa zetu.
Mwanzoni tulikuwa tunauza nguo za kike pekee na hivyo midoli tuliyokuwa nayo mingi ilikuwa ya kike na hivyo baada ya uamuzi huo wa kuanza kuuza nguo za kiume tuliamua kuagiza shehena kubwa ya midoli ya kiume kwa ajili ya kuonesha bidhaa zetu.
Hatimaye mwezi ulifika baada ya ile simu kupigwa na ndipo bosi wangu alipokea simu kutoka bandarini iliyokuwa ikimjulisha kuwa mzigo wake umefika.Basi bosi alijiandaa akawasha gari na kuelekea mpaka bandarini akiniacha mimi na wafanyakazi wengine wawili wa kike tukiendelea na kazi ya mauzo.
Jioni ya siku hiyo bosi alirudi na gari kubwa iliyopaki nje ya duka letu na kuanza kushusha ile midoli.Ilikuwa midoli mizuri na mikubwa ya kiume ambayo kwa kuiangalia nilijua ingeweza kufanya display nzuri ya mavazi yetu pale nje na hata ndani ya duka.
Baada ya midoli kutolewa yote tuliipokea na kuanza kazi ya kuiingiza ndani na asubuhi ya shughuli ya kuipanga nje na ndani ya duka ile midoli ilianza.โ€Jeni wewe chukua kundi hili nenda kaipange kule ndani, hii waachie Hanifa na na Ummy.โ€
Aliniambia bosi basi nikafuata kundi langu la midoli nikibeba mmoja mmoja na kuipeleka kule ndani ya duka.Nilibeba midoli kama kumi hivi na kuipanga vizuri lakini mdoli wa kumi na moja nilivyoubeba nilishangaa mdoli huo kuwa mzito sana na hata kifungashio ulichokuwa umewekewa kilikuwa cha tofauti kabisa.
Sikutaka kuongea kitu, nilikomaa mwenyewe hivyohivyo mpaka nikauingiza ndani ingawa nilichoka balaa na kulowa jasho mpaka bosi akaniuliza vipi mbona umelowa jasho utazani ulikuwa unanyanyua vyuma.Basi miye nilicheka tu nikaingia zangu ndani .
Baada ya kila mmoja kumaliza kuipanga midoli na bosi baada ya kukagua akajiridhisha basi tulipewa nguo ambazo tulitakiwa kuivalisha ile midoli kwa ajili ya display.Nilichukua boksi la nguo mbalimbali na kuanza kuivalisha ile midoli.
Nilipoufikia ule mdoli mzito baada ya kuutoa kwenye kifungashio chake, kwanza kabisa katika sehemu yake ya ubavuni niliona kukitoa mwanga Fulani wa bluu,nilistuka nikatoa mkono haraka lakini ule mwanga uliendelea kutoka.Nikajikuta nimepeleka mkono na kugusa palena ndipo nilishangaa ule mdoli ukifungua macho na kunigeukia huku ukitabasamu.Macho yake yalifanana kama ya binadamu.
โ€œHellow miss Jennyยดim Mathew specialized sex machine, am at your serviceโ€(Habari miss Jeni jina langu ni Mathew ni mtaalamu wa kufanya mapenzi, nipo kwa ajili yako.)
Ilisikika sauti ya ule mdoli,iliyozidi kunishangaza.Nilibaki naushangaa ule mdoli maana kiukweli niliona maajabu sikuwahi kuona mdoli wa aina ile.Basi nilianza kuuvalisha shati harakaharaka, lakini nikashangaa unanizuia kwa kunishika mikono.
โ€œMiss Jenny your not in mood, im sorry then press the button on my chest to switch me offโ€Uliniambia ule mdoli huku ukitabasamu ukiniomba radhi kwa kuwa sikuwa tayari kufanya mapenzi na kuniambia niuzime.Na kweli nilivyotazama kifuani mwake niliona batani ya bluu ikiwakawaka nikaizima.
Baada ya kuuzima ulitulia kama mdoli na macho yake hayakucheza tena.Basi nikiwa nimejawa hofu kwa maajabu yale nilianza kuuvalisha nguo ule mdoli haraka lakini nilipoufikia maeneo ya kiunoni nilistuka baada ya kukuta kumevimba.Nilipogusa nilikutana na sehemu za kiume kama za binadamu.Ulaini na kila kitu kilifanania na za binadamu.Tofauti ni kuwa zile zilikuwa na ubaridi Fulani hivi.
HAYA MZIKI NDIO HUO UNAANZA BINTI KAGUNDUA MDOLI MMOJA UPO TOFAUTI JE ATACHUKUA HATUA GANI?...๐Ÿค”๐Ÿค” Nyieeeee....Mambo ni ya motooo.๐Ÿ˜‚ Kwani wewe auogopi Usipite bila kulike na kukomeniti fanya ku share kabisa ili sehemu inayofuata isikukose maana ndiyo sehemu balaaa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ.
Jamani comment zenu zikiwa nyingi naleta mwendelezo fasta.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAJUTA KUWEKA MIDOLI NDANI KWANGU ๐Ÿงธ๐Ÿงธ Sehemu ya kwanza ( 1 )  >>> https://gonga94.com/semajambo/najuta-kuweka-midoli-ndani-kwangu-sehemu-ya-kwanza-1
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Pyar Ho Jane Dushman
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest