Hapo hofu ilinipanda zaidi na zaidi nikajua tayari nimeshaingia chakike sina cha kufanya zaidi ya kukubali kuwabsafari yangu sasa imefika mwisho sina namna zaidi ya kukubali kuwa nina hatia yabkumtorosha mchumia juani na sina jipya tena ........
Basi nilikuwa natembea kwa unyonge kuelekea kwenye zahanati muda huo nimechoka sio mwili hata akili nayo imechoka maana ilikuwa inafanya kazi lakini sijuwi hata ni kazi gani yaani nimevurugwa ile mbaya mbovu.
Kichwa kimejaa maji yaani sahizi akili zangu hapa jela kufanya yale mamboz yaani kitumbua bila kuliwa ni sawa na binadamu kuishi bila oksijeni . Nikiwa bado naelekea kwenye zahanati....
Niliingia ndani ya zahanati na kuwazua kuwa nini kifanyike na yule jamaa ambaye ana siri alinifuata huko huko kwenye zahanati napo ishi akijifanya kama anaumwa
" Samahani nesi naumwa mwenzako"
" Okay unaumwa nini sasa?
" Ugonjwa magonjwa si yapo mengi jamani"
" Ugonjwa uliokuwa unamtibu mchuamia juani ambao kwa sasa anatibiwa mnyampala "
Nilishtuka kisha akasema
" Tuliza hofu madamu , mambo mazuri hayahitaji haraka"
Akawa ananizunguka kama mtu anayechunguza kitu fulani na kutolea majibu nilikuw naogopa sana ...
Yaani najua lengo la kuja kwangu ni kutaka kuthibitisha kuwa anajua kila kitu na mimi nilipomtazama nikajua huyu nikimpa utaaaa......hata sema lakini sitampea huku lakini nitampeleka sehemu ambayo nitamalizana naye huko huko ...
Basi nilianza kumpa mtego wa kutega njiwa ambaye ni lazima anase nilianza kulegeza sauti huku nikiupekeka mkono karibu na mapa... Huku naifungua ofisi taratibu nilikuw namwambia hivi
" Haya mambo yanaongeleka mbona"
Huku nayalegeza macho kama mtu anayetaka kukata roho nilimzunguka na kumshika mabegani.nikaipitisha mikono kwenye kiuno chake na kumkumbatia ....
Aisee huyu kamanda alipoa kama maji kwenye mto majira ya asubuhi.kuja kutazama mjusi kafiri kainuka kutoka kwenye milingoti miwili.Nilicheka na kumwambia je unataka ??
Alikuwa tayari kashalambwisha asali sasa anataka aondoke na mzinga nikaongeza kumchanganya kwa kukushika kitu ambacho siwezi kukitaja hapa alipiga kelele kuu... Nikamwambia anifuate nje....
Alikuwa kama mtu aliyepigwa madawa na kapumbazwa alinifuata tulipita getini walinzi nao wazembe walilala tulitembea mpaka kwenye pori nikalitoa kufuri na kulitupa chini hapa ndipo alijikuta anachanganyikiwa
Nilikaa kaa chini nakupeleka mkono kwenye mzinga wangu wa asali tamu na kuanza kufanya mchezo wa kutoa kadi na kuingiza lakini msafirishaji ni vidole
Jasho lilimtiririka sana na kujikuta anaipa ardhi umiliki wa nguo zake kisha alinisogelea kwa ajili ya zoezi la kazi maalumu π namimi nilikuwa tayari kumpa asali ya kwenye mzinga sio ya kupima pima
Alinisogea ili alambe asali lakini kabla hajafanya hivyo alinyongwa hapo hapo kuja kutazama aliyemnyonga ni mnyampara.......
Powered by Kelvin Mlowe β 0699286085
β
βITAENDELEA...
β
β"NEW WORLD OF STORY IS CREATED FOR
YOU".