SANCHEZ GLOVE'S!!
Ni ile mikono ya mhispania sanchez, Yes mbele ya kelele za dunia, kelele za vipigo mfululizo kutoka kwa PSG, leo Chelsea wameiduwaza dunia.
Chelsea katika 4-3-3 kiungo cha Caisedo, enzo na Reece james, Target kubwa ilikuwa mipira mirefu pembezoni mwa uwanja nini waliona chelsea?
Kuondoka kwa Fullback wa Psg (Hakim + Mendez) chumba tatu zote zimetokea mapana ya uwanja, mpango wa Enzo ulifanya kazi leo.
Psg ni over confidence, sijui uchovu lakini wamepewa game ngumu sana tokea wameanza mashindano, kila kosa wanahukumiwa leo.
DONDOO
✍️Beki za kati za psg zilikua off position sana, Makosa kila dakika, chelsea ni hukumu tu.
✍️Vitinha dhidi ya Caisedo+ Enzo ulitaka afanye nini, Fabian Ruiz hapana, Joao neves pia amemezwa na mechi.
✍️Psg attacking leo walikua kama hawapo mchezoni vile (Duoe, kvirsta,Dembele)
✍️Palmer ameua mechi mguuni mwake, alipopata nafasi aliadhibu, mtoto wa kingereza what a moment.
✍️Chelsea bingwa unataka, ama hutaki, sio kila mafanikio lazima uteseke, bahati inahitajika zaidi, timu bora ya siku imeshinda mechi.
FT CHELSEA 3-0 PSG
NB; Hongereni wana man Gang, risiti msinipe😀🙌.