Akiwa na umri wa miaka 40 ameibeba klabu ya Fluminense kama nahodha hadi nusu fainali ya klabu bingwa dunia...
Miaka 40 ambayo wengine huko Ulaya wapo nyumbani... Fluminense ndio klabu yake ya kwanza ... Alisajiliwa akiwa na umri wa miaka 14...
Hii nusu fainali ni kama shukrani ... Aliingia bila ya kitu kwenye klabu ya Fluminense.... Lakini leo hii neno gwiji linaishi kwenye kila anachogusa....
Well done Thiago ๐ซก... Hii imetosha .. Asante kwa burudani .....
Tumeshiba sisi , nenda mapumzikoni sasa...
OBRIGADO THIAGO ๐.