ILIPOISHIA.....
Simu ya Dkt Marry ikaendelea kuita mfululizo, Madam Sandra akapiga na kupiga tena lakini wala haikupokelewa. Mwisho akaandika ujumbe huu wa maandishi.
,,,,,Hupokei simu kuna jambo haliko sawa ni kuhusu lile swala tulilifanya mwaka juzi, nipigie haraka,,,,,,
SASA ENDELEA...
Baada ya kuumaliza mchezo wa kikubwa jikoni Onesmo alijikongoja kimya kimya akatoka kwenda sebuleni. Akahakikisha anasawazisha sura yake na mavazi yake ili asiwe na chembe ya mashaka mbele ya mjomba wake.
Alipofika sebuleni, alikaa juu ya sofa mbali kidogo na mjomba P, akijifanya yuko bize kupekua simu yake. Alijitahidi kuonekana mnyenyekevu, mwenye nidhamu ya heshima kwa Mjomba wake, lakini ndani ya nafsi yake kulikuwa na kumbukumbu ya penzi zito na Dkt Marry jikoni.
"Nambie unajisikiaje kwa sasa Onesmo...?"
"Ni..ni...niko Sawa mjomba, Sindano inauma sana"
"Pole jikaze sasa wewe mtoto wa kiume bana"
Mara Dkt Marry aliingia sebuleni kwa bashasha, akiwa na sahani kubwa ya kifungua kinywa. Tayari alishaoga na kubadilisha mavazi.
โKaribuni chakula wapendwaโ alitamka kwa sauti ya kawaida isiyoonesha dalili yoyote ya kilichotokea muda mchache kabla. Aliwawekea chai, mayai na mkate kisha akatabasamu kwa upole. Aliondoka haraka, akijifanya anasafisha jikoni. Walitazamana na kukonyezana na Onesmo kimyakimya.
Mara simu ya Dkt Marry ikaita tena, akaichukua na kutazama jina la mpigaji ni Madam Sandra, aliingia haraka jikoni kupokea.
โHaloo Sandra?โ alijibu kwa sauti ya kawaida.
Swali lililofuata lilimkosesha utulivu, akajikuta anashtuka na kusahau kila kitu kuhusu Onesmo. Sauti ya Madam Sandra iliuliza akisema...
โUliuteketeza mwili wa Chacha kweli Marry?โ Madam Sandra aliuliza kwa msisitizo.
Dkt Marry aliduwaa kwa muda kisha akajibu...
โNdiyo... lakini Sandra, mbona unauliza swali hilo sasa? Si tulimaliza hiyo habari? Imekuwaje tena?โ
Sandra alitulia kidogo, kisha akasema.
"Kuna jambo limetokea muda si mrefu Marry, jambo zito mno"
"Lipi hilo hebu nambie basi mbona hivyo! Kwanza uko wapi?"
"Nilikuwa naenda kazini imebidi nirudi nyumbani ndio nafika sasa hivi..."
"Kuna nini kwani hebu nambie basi?"
"Asubuhi hii wakati naenda kazini nimekutana na mtoto mdogo, akaniletea bahashaโฆ ndani yake kuna picha ya Chacha. Nyuma yake kuna ujumbe umeandikwa yuko wapi?"
"Mmm" Dkt Marry akaguna, mapigo yake ya moyo yakabadilika, hofu ikachukua nafasi yake.
Ukimya ulitawala hewani kwa sekunde kadhaa kabla ya Dkt Marry kujibu kwa sauti ya chini.
"Hii ni kubwa shoga angu... tunahitaji kuzungumza ana kwa ana. Subiri kidogo nitakwambia wapi tukutane.โ Alisema Dkt Marry akikata simu na kuiweka juu ya meza. Akavuta pumzi ndefu na kuitoa taratibu.
"Mambo gani tena haya ya kuanza kufukua makaburi!" Aliwaza.
Wakati huo huo Onesmo na mjomba P walikuwa wanamalizia kunywa chai. Mjomba alikagua saa yake, kisha akaanza kuinuka.
โTwende kijana, muda umeyoyoma, natakiwa kufika kazini ndani ya dakika kumi zijazo.โ
Wakamwita Dkt Marry ambaye alionekana kuvurugwa kiakili, wakamuaga na kuondoka.
Walipotoka nje ya geti dogo la nyumba, Onesmo alijifanya kushtuka ghafla.
โDuh! Nimesahau simu yangu ndogo ndani.โ
โNenda kachukue upesi nakungoja tuondoke" Alisema mjomba p huku akizima gari ambalo tayari alikuwa ameshaliwasha.
Onesmo alirudi ndani kwa haraka. Alipoingia mlangoni, Dkt Marry alitokea mlango wa chumbani akashangaa kumuona tena Onesmo.
"Vipi tena kipenzi au umeshanimiss tayari?"
"Hahaha hapana nimesahau simu yangu ndogo ooh! Hii hapa" Alisema Onesmo huku akiinama kuichukua juu ya sofa. Wakati anainuka tayari Dkt Marry alishafika karibu akamkumbatia kwa nyuma. Bila kusema mengi Onesmo aligeuka, walikumbatiana kwa nguvu, wakipapasana miili yao taratibu.
"Dkt kwani unataka tena?" Aliuliza Onesmo akimtazama usoni. Bado Dkt Marry hakuwa sawa, taarifa kutoka kwa Madam sandra zilimchanganya.
"Nina stress kidogo em niweke sawa"
"Lakini anko ananisubiri si una..." Alisema Onesmo lakini kabla hajaimaliza sentensi yake tayari Dkt Marry alishaingiza mkono kwenye suruali ya Onesmo, akalishika rungu lake na kuanza kuliminyaminya taratibu. Onesmo akajikuta anapata msisimko wa ajabu. Akauvaa mdomo wa Dkt Marry kwa mabusu ya moto huku taratibu akiifungua zipu ya gauni lake kwa nyuma, likaanguka chini sakafuni. Dkt Marry akawa amesalia na nguo za ndani pekee...
Mwili wa Dkt Marry ulivutia mno, kiuno chake kilijikata sawia huku kikipambwa na shanga ya dhahabu. Macho yake yakimwongelesha Onesmo kwa lugha isiyo na maneno, midomo yake ikihema kwa kasi ya hisia za mapenzi zilizomuelemea.
"Nipe tena kidogo tu..." Alisema Dkt Marry kwa sauti iliyolegea. Alimsukuma Onesmo taratibu wakaanguka juu ya sofa Dkt Marry akiwa juu ya Onesmo. Alichokifanya Onesmo ni kuivua suruali yake na kusogeza pembeni chup ya Dkt Marry kisha akaingiza rungu lake taratibu huku akilihisi kwa uzuri joto la ikulu ya mwanamke huyo ambaye alishikilia sofa na kuanza kukaa na kuinuka taratibu hali akiwa ameachama mdomo na kuyafumba macho yake kutokana na raha anayoipata.
_______________
Baada ya dakika kumi, Onesmo alijirekebisha na kutoka nje ya nyumba kwa haraka. Alipofika garini, mjomba P alimuuliza,
โmbona umechukua mda mrefu hivyo?"
"Simu imepotea tulikuwa tunaitafuta wala hatujaipata" Onesmo alidanganya.
"Kwa hiyo?"
"Dokta amesema ataitafuta baadae kwa kutulia"
Mjomba p hakusema neno akawasha gari safari ikaanza kurudi nyumbani.
________________
Saa moja baadae, Dkt Marry na Madam Sandra walikutana katika hoteli moja tulivu hapa mjini. Waliketi katika meza ya pembeni, kila mmoja akiwa na uso wa tahadhari. Bahasha ya picha ya mwanaume aitwae Chacha iliwekwa mezani. Hii ndio ikawa ajenda kuu ya mazungumzo yao.
Wakiwa katikati ya mazungumzo yao mazito, mwanamke mmoja mwenye nywele ndefu aliyevaa miwani myeusi, aliketi meza ya jirani. Alikuwa akiwafuatilia kwa makini, huku akijifanya anasoma gazeti. Macho yake yalikuwa makali kama ya mpelelezi. Hakuwa mgeni katika sakata hili la Chacha. Ni yule mwanamke mvamizi. Yuko hapa tena kuendeleza misheni yake.
Je, nini kitafuata?
Kutokana na sheria ngumu za FACEBOOK ambao mara nyingi hawaruhusu simulizi za chombezo wanaweza kuifuta au kuizuia simulizi hii kuendelea, ili kuhakikisha unaendelea kusoma hakikisha ume-follow channel hii ya WhatsApp bonyeza link hapa chini. Au nicheki kwa namba 0788 967 317 .
https://whatsapp.com/channel/0029VaylcIKAInPiI2v4Cc0R
Unaweza pia kusoma vipande 20 kwa tsh 700 tu. Karibu.
Mwanamke huyu ni nani? Anataka nini? Kwa nini?
Haya ni maswali ambayo tutaendelea kuyajibu taratibu katika muendelezo wa simulizi tamu yenye kisa cha kusisimua..