Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘05

2nd Aug, 2025 Views 49



Jordan alimpuuzia alijua lazima atakuwa kaota ndoto mbaya alichukua grass ya maji na kumpatia
" hebu kunywa kwanza haya maji . Bryan alikunywa maji kidogo alafu akaendelea kusema
" Anapata wapi ujasiri ya kunijibu vibaya wakati sikuwa na Nia mbaya nae?
" Kwani unamuongelea Nani ?
" Maria
" Yeye Ni Nani?
" Msichana mmoja maskini na mjinga anasema mama yangu mjinga. Jordan alijua la zima kutakuwa na sababu ya huyo Maria kumjibu vibaya maana alimfahamu vizuri Bryan Ni mtu mwenye dharau.
" Basi pumzika kwanza tutaliingea hili kesho na hata Kama itawezekana tutamtafuta Maria akuombe msamaha
" Nikimuona ninaweza nikamnyonga . Jordan alijitahidi kumbembeleza hatimae Bryan alipitiwa na usingizi.

Kulipokucha baba yao alifika mapema Sana nyumbani kwa Bryan akakuta wameshaamka wapo chumba Cha mazoezi wanafanya mazoezi. Walipomuona baba yao waliacha kufanya mazoezi na kwenda kumsalimia . Baada ya salamu baba yao aliomba kuongea na Bryan. Bryan alikubali lakini walienda kwanza kuoga waliporudi sitting room mzee akamdaka na maongezi
"Nini kilitokea Jana?
" Samahani baba tunaweza kupata kwanza kifungua kinywa alafu ndio tuongee? Bryan alimuomba baba ake mlezi.
" Sawa. Waliongozana mpaka dinning wakakaa mezani na kuanza kupata kifungua kinywa

Bryan alikunywa kijiko kimoja Cha supu alafu akamkata jicho mfanyakazi aliekuwa kasimama karibu yake. Yule mfanyakazi alitetemeka na kuangalia pembeni.
" Nani kapika hii supu?
" Ni Mimi boss.
" Hujui Kama sipendi chumvi nyingi?
" Samahani boss nimeteleza. Baba yake mlezi akadakia
" Siku huwa hazilingani Kuna kuteleza , lakini sio mbaya inanywekaka. Baada ya baba yake kusema hivyo Bryan aliona aibu kutoa adhabu kwa mfanyakazi wake akaendelea kunywa Ile supu.
Baada ya kumaliza kifungua kinywa walienda kukaa sitting room na kuanza mazungumzo .
" Bryan Jana ulikuwa na tatizo gani? Baba yake aliuliza Bryan akakaa kinya kwa muda .
" Nakuuliza wewe una matatizo gani na wafanya kazi wako? Kesi nyingi huwa nazipata lakini huwa nanyamaza Ila nimeona huku tunakoelekea Ni kubaya zaidi.
" Kwanini unasema hivyo baba?
" Nahisi Kama unasahau Kama watu huwa tunategemeana wewe unahitaji wafanyakazi na hao wafanyakazi wanaohitaji malipo kutoka kwako . Bila wao huwezi kuendesha Ile hotel.
" Mzee Mimi naamini kila kitu Ni pesa akiondoka mfanyakazi atakuja mwenye shida na atatii amri zangu.
" Unajidanganya kijana mjinga ulietawaliwa na kiburi Mimi sikukufunza udharau watu wa Hali ya chini hata wazazi wako walikuwa vipenzi wa watu waliwajali na kuwathamini watu wa Hali ya chini. Hivi unafikiri wangukuwa Kama wewe hii hotel ingefikia hapa au Mimi ningekuwa na akili Kama zako hii hotel ingefikia na kuimiliki? ungekuta hizi Mali zinazokupa kiburi? Bryan alinyamaza kimnya
" Tuachane na hayo unaweza ukaniambia Jana kilikupata Nini?
" Ni binti mmoja alimsema vibaya mama yangu hivyo nikakasirika
" Alisemaje?
" Nilimuita kazini baada ya kuacha kuja kwa wiki nzima lakini alikataa nikamwambia wanawake Ni wajinga akasema akiwepo na mama yangu. Baba yao ilibidi acheke Sana
" Sijaona tusi hapo.
" Baba lakini kamtukana mama yangu
" Wewe ndio umemtukana mama yako kwasababu nae Ni mmoja wa wanawake uliowajumuisha . Huyo binti Hana kosa kabisa . Bryan unatakuwa kubadili mwenendo wa maisha yako usijifanye Mungu Mtu kila mmoja akunyeyekee utakuja kuishia pabaya pesa sio kila kitu utu pia unatakiwa. Mzee aliongea na kuwasihi Sana kuishi vizuri na watu.
" Sawa mzee nimekuelewa nitarekebisha nilipokosea.
" Sawa pia jaribu kuzuia hizo hasira zako zisizokuwa na maana .
" Nimekuelewa baba.
" Yangu Ni hayo tu, ninaimani sitakuja kupata kesi Kama hizi. Baada ya baba yao kumaliza kuongea nao aliondoka akawaacha

Maria aliendelea kukaa nyumbani kwakina Liya huku wakizunguka kutafuta kazi bila mafanikio . Maria alikuwa mtu wa mawazo Sana .
" Maria unawaza nini?
" Sijazowea kuwa hivi Liya , Yani nikae tu nyumbani bila kazi yoyote unafikiri nitaendeshaje maisha yangu?
" Najua unavyojisikia lakini usijali ipo siku kila kitu kitakuwa sawa.
Wakiwa wanaendelea kuongea pale nje baba yake Liya alipita kwa Kasi walimsalimia lakini hakuwa jibu aliingia ndani. Baada ya dakika chache walisikia wazazi wa Liya wanarumbana huko ndani .
" Ndio nimeshasema huyu binti sitaki kumuona humu ndani , sitaki mizigo niliyokuwa nayo yananitosha
" Acha roho mbaya mume wangu huyu Ni Kama binti yetu alafu kumbuka amepata shida na sisi ndio wakumsaidia.
" Ukitaka kumsaidia msaidie akiwa huko sio hapa kwangu. Maria alijiinamia kwa huzuni . Liya hakupendezwa na kauli za baba yake akaingia ndani na kusema
" Lakini baba sio vizuri......
"Tena wewe ndio kiherehere kujifanya mama huruma unaokota watu unaniletea hapa , Sasa nitoka nikirudi nisimkuute. Baba Liya alitoka mpaka mlangoni akamkuta Maria kasimama.
" Utakuwa umenisikia nilichoongea , nasisitiza Tena nikirudi nisikukute. Maria aliingia ndani na kwenda kupanga vitu vyake huku machozi yakimtoka. Liya alimfuata na kumnyang'anya nguo alizokuwa anaweka kwenye begi
" Maria unafanya Nini?
" Liya najua wewe na mama mnatamani Sana niwepo hapa lakini Sina budi kuondoka sipendi niwe chanzo Cha ukosefu wa amani nyumbani kwenu .
" Sasa utaenda wapi?
" Nitajua mbele ya safari usiwe na wasiwasi rafiki yangu. Leo nitaondoka na begi langu nikifanikiwa huko ninakokwenda nitakuja kuchukua vitu vyangu vilivyonaki. Maria aliondoka pasipokujua anaanzia wapi..

Itaendeleaaaaaa
Whatsapp 0657171961
KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘05  >>> https://gonga94.com/semajambo/bamtu-mr-sasampa-utam-wangu-mwenyeweeee-aaaasssshh-05
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest