Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

1--2 ❀️NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS

27th Jul, 2025 Views 31



EP 1.

Nyie ulishawai kukutana na dume kauzu afu kubwa, kumbe hata halijawahi kumkula mwanamke Toka lizaliwe, linatuchukulia poa tu wanawake kama vile hatuna maana yoyote ya kuwa duniani, ebu mje mjisomee huyu wangu nilikotoka nae...

Naitwa Manka kuoga, yaa napenda kuoga kuliko kula mtaani wakaona waniongezee na kuoga, mchaga mwenye Shep yake adimu, sijui hii Shep nilitoa wapi ila nimebarikiwa haswaa na langi yangu flan hivi, nafundisha kuoga Yani kwangu kuoga ni kitu muhimu mno...

Leo nilipitia Kwa lafiki yangu koku mhaya wangu huyu, alinipigia simu Kuna ishu tujadili, nilienda mpaka room kwake, oyaaa koku fungua basi nje, jua linachoma aisee, siwezi kuungua jua duniani na mbinguni nikaungue na moto...

Alinifungulia, Yani koku Sasa ni nini kufunga mlango mchana wote huu? " Manka Niko nakula sitaki shobo na majilani, Kuna wakaka wako hapa kazi Yao kucheki nani kapika wazamie kula, ila wao kupika awataki, Sasa koku ndo unawahofia hao Kwa nini usiwatoze pesa ya kupikia na kuhemea chakula, unafeli wapi jamani keruuuuπŸ™†...

Wako wapi Mimi nikaongee nao chap, "ebu manka nitolee uchaga wako hapa, utanitia aibu Mimi, naomba ule tuongee usepe usinitie aibu, hio tenda unachukuwa wewe ni mama ntilie? Au biashara ya kufundisha watu kuoga na kunukia imedololaπŸ€”, ni bola useme nikukopeshe mtaji mwingine kuliko kunitia aibu ya kupikia wanaume magetoni aisee..

Koku hujui kitu wewe, Yani Hela zinajileta hapa unazipiga teke? Mimi huo moyo sina nahitaji pesa, dear mjini sikuja kuangalia majengo nimekuja kusaka pesa popote ilipo, Yani siwezi acha hili dili niamini, kama kuongea tuongee ila hili dili siliachi...

" Najuta kukuita sijui nimejichanganyaje kukwambia, Sasa ni hivi Kuna tour ya kwenda ngorongoro tuchangie twende tukatulize akili dear...

Tunachangia sh ngap? " Million Moja Kila mtu, apo Kila kitu utakuwa umelipia mpaka chakula, keruuuuuu!! We koku Yani nitoe mshahala wa mwalimu wa miezi kadhaa, tena Kwa ajili ya kwenda kutishiwa maisha na Simba, mala tembo atukimbize weweπŸ€” Yani nikitoka hapo lazima nipelekwe hospital, milioni? Na dhambi zangu naziacha uko au naondoka nazo?...

" Manka manka ata kama ni uchaga, shoga sio hivyo Yani unavyoteseka kusaka pesa Kila siku, kutenga siku mbili tu, unaona kazi...

Koku tatizo sio kutenga siku mbili tu, tatizo ni kwamba natenga siku mbili, siingizi pesa yoyote na kibaya zaidi naenda kutumia pesa tena ilihali siingizi wewe Mimi siwezi, nakuapia koku nikitoa ata muda wa safari haijafika nitakuwa mahututi kitandani natetemeka, milioni!!!!πŸ€” keruuuuuu...

Upande wa pili kulikuwa na genge Moja kubwa, linamiliki makampuni ya walinzi, na viwanda vya siraha kubwa kubwa, mpaka nje ya nchi, ni kampuni inayotegemea na nchi zaidi ya 20 Kwa kuandaa vifaa vya kivita mpaka visu, mabomu, lakini pia ilikuwa inategeneza magari ya kivita,Meri,ndege nk...

Mmiliki wa hizi kampuni alikuwa kijana mdogo tu wa miaka 28, lakini alikuwa ni hatali, hacheki na mtu, hahusiki, Hana udhaifu, hajawai kumiliki hata demu wa bahati mbaya, mshipa wa hisia kwake ni kama haipo kabisa ulishakatika, alikuwa anaogopeka mpaka na nchi zingine, jina lake lilikuwa ni tishio duniani...

Hana wazazi kalelewa na mafia, aliokotwa na huyo mafia akiwa kichanga katupwa, kalelewa kwenye Kambi ya majambazi sugu kuanzia akiwa mtoto mpaka hivi Leo mlezi wake alifaliki akabaki yeye kama mrithi, mlezi wake anamtoto mmoja wa kike, lakini hakuwa karibu nae hata kidogo, alichagua kukaa nae mbali Kwa usalama lakini, nahitaji yote alitoa Kwa Siri sana, na mtu pekee aliejua hii Siri ni CEO DARIAN...

Jamaa anaogopeka mno bandidu Moja hatali, ndie pekee alitambulishwa amtambue ndugu yake, koku Phillip, hivyo mafia boss anamdogo wake wa Siri koku, lafiki yake manka, ndio maana million kwake sio kitu,
" Sasa sikia manka mambo yasiwe mengi, Mimi nitakulipia, na nitakuongezea na pesa yakufidia hizo siku mbili...

" Ama bado hatujaelewana? AAA koku tunaachaje kuelewana kwenye pesa Yani apo roho yangu kwatu, ila Kwa nini hio Hela tusingeizalisha kwanza afu ndo twende my dear, " Manka jamani ivi huo ubahiri wako jamani, tutakuja kula Bata kweli bila kuzozana? Yani apa unatamani Sasa mpaka pesa yangu unifanyie biashara, ila umaskini mbaya sana, ni hivi kama unataka nikupe million 3 cash Kubali twende vacation hutaki hupati hata sumuni, keruuuu koku, tunaenda mama, nijiandae saivi ama sa ngap?...

Upande wa Darian, alikuwa akijiandaa, kumlinda mdogo wake Kwa Siri akiwa huko vacation, hakumshilikisha yeyote kati ya vijana wake....
Full unaipata kwenye hio link kipenzi Kwa buku tu bonyeza link ukasome yote huko kipenzi...

Itaendelea....πŸ’₯

NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS

EP 2.

Upande wetu tulikula, nikamtoloka koku nikaanza kugonga vumba na kuomba tenda za kupika, na kufanya usafi kufua sipendi, nilipata tenda koku anakuja kuamka jioni nishamaliza kazi Kwa wote na pesa nishalipwa, hakujua chochote, jioni hio tulilala kuandaa bajet ya kwenda vacation ngorongoro,Manka Mimi ni bahili lakini sio kwenye kuoga linapokuja swala la kuoga Nina sabuni zaidi ya Aina 5 tena sio za Bei chee ni Bei haswaaa, naanza kunukia tokea bafuni, ukiniona tu lazima kukubali kweli nihalali niitwe manka kuoga, mtoto sina harara Wala kipele ngozi laini na nyororo mtu huchoki kunitizama...

Usiku huo Darian na genge lake, walionda kwenye casno Moja Kuna biashara ya mitutu, walienda kufanya, casino inawatoto hawavai Yani ni unaamua tu ipite na yupi,lakini Kwa Daria haikuwa kitu anapenda, hakuwai kuamsha kabisa, walijitahidi kusogea kumkatikia bila hata kitu ndani watupu, nawengine hawakuvaa chochote, walipita mbele yake, lakini hakushtuka Wala kuwahitaji, wote walitambua jamaa ni hanisi, Kila mtu wake wakaribu aliamini hivyo...

Hata wadada wa casno waliacha kumshobokea, kwasababu haisimami kabisa Kila mbinu walizotumia hazijawai kufaulu, walishalipwa mpaka pesa lakini hakuna aliefanikiwa, jamaa hakuwa kabisa na hisia, walibadili wakamletea vidume huenda ni mtu wa sodoma lakini wapi, hii iliwachanganya sana watu, hasa wanafanya nae kazi, walitaka wapate udhaifu wa uyu jamaa...

Walinunua warembo tofauti tofauti, lakini wote waliambulia patupu, na wengine waliishia kuuawa Kwa kuforce mambo,leo pia waliandaa plan ya kumwekea kiamusha hisia kwenye kinywaji, walimtumia mtu wake wa karibu Tomas,huyu alikuwa pamoja na Darian, walikuwa maragiki Toka utotoni...

Lakini kumbe ,Tom alikitamani cheo na Mali za Darian, hivyo alikuwa adui wa Siri sana, hata Darian akuwahi kumuhisi japokuwa hamwamini yeyote duniani, ndio maana Kuna Siri hasemi hata Kwa watu wake wa kalibu, hata biashara zake hashei na mtu...

Leo tom aliamua kumwekea kiamusha hisia, kweli alifanikiwa, wakati huo Darian alishahisi hatali kabla dawa hazijaanza kufanya kazi, alichomoka, walianza kufatilia Ili wafanikishe jambo lao lakini alishasanuka, aliwakwepa, alitafuta mahali akaamua kujichua, Hali bado haikutulia,alijibinya mahali akazimia, amekuja kupata fahamu dawa zimeshaisha nguvu, Moja Kwa Moja akagundua lazima tom kamsaliti, hakutaka kumkacha mapema, alijipanga kumtegea mitego amweke kwenye 18...

Kulikucha sisi na mahemezi ya tour, tulihemea vitu vingi sana, wakati tunahemea koku alipigiwa simu na huyo kaka ake asiejulikana, wakaongea, alivyokata nikamchomekea swali ivi koku uyo kaka Ako mbona ni kama simuelewi Yuko nje ya nchi miaka Sasa, Toka tuko sekondari tumemaliza advance, chuo shoga, na huna mzazi yeyote zaidi yake au anamatatizo huko aliko wewe hujui?...

Manka rafiki yangu, mama kabla hajafariki aliwahi kuniambia nisifatilie chochote Wala kuuliza chochote Kwa baba, na nisijihusishe na ndugu yangu yoyote Toka Kwa baba, mwenyewe nahisi huenda Kuna Siri mbaya mbaya ndio maana sitaki kujua huenda ni hatali ata sielewi Kwa kweli😭...

Basi dear relax, twende tour Kisha tukitoka huko tutatenga muda tuchakate wapi pakuanzia, tulikubalia vizuli hao tukaludi home kujianda...

Safali iliiva, tukafika ngorongoro, siku ya kwanza ikapita vizuli tu, siku ya pili tukiwa tour, tulipitia njia kumbe Kuna tembo nyie nyie, acha tembo itutishie, nilijikuta nalia, koku akajikojoleta Yani, afu wanatuambia tusipige kelele Kila kitu kitakuwa sawa, kinakuwaje sawa, akati tena Yuko mbele ya gari yetu muda wowote anatufinyanga finyanga...

Bahati nzuli ilitokea gari nyingine kutuokoa, na ilikuwa na dereva mkaka Mmoja mzuli, dah nikasahau kama Kuna tembo mbele yetu nikaanza kumpigia hesabu kwanza....
Kupata full bonyeza hio link hapo juu itakupeleka Moja Kwa Moja kusoma na maelekezo yote ya namna ya kulipia buku tu yapo kwenye hii link vipenzi...

Itaendelea...πŸ’₯

Full 1000
Whatsp 0784468229.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

1--2 ❀️NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS  >>> https://gonga94.com/semajambo/1-2-nimemuonjesha-asali-mafia-boss
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest