WHATSAPP 0763 826152
FB RITHA STORIES &HADITHI ZA RITHA
SONGA NAYO..............
Niliingia ofisini kwa boss na kukaa huku nikiugulia maumivu ya kuparuliwa na kucha , nisiwe muongo nilikuwa na hasira kali iliyoambatana na aibu.
Jamani kwani kulikuwa na haja gani ya yeye kunifata ofisin na kunipiga mbele za watu namna hiii, na tena kwakitu ambacho hata sielewi imekuwaje .
Boss alinishika bega kwa upole na kusema " Pole sana ila usiwaze sana sawa"
Niliitikia ndio kwa kutikisa kichwa huku nikifuta machozi, kauli ya kuwa nimemchukulia bwana wake ilinichaganya na kubaki nikijiuliza ni bwana gani nilomchukua.
Felix au nani? Na kama ni Felix mbona sijafanya lolote hadi kufikia hatua aje kunipiga na kunipa tuhuma nzito namna hii, kwa sauti ya upole nikamwambia boss.
"Samahani boss naona siko sawa, kama itakupendeza ningeomba unipe ruhusa nikapumzike"
"Haina shida ngoja nikupeleke "
"No boss nitaenda mwenyewe asante sana"
"Hapana Lolah, siwezi kukuacha uende mwenyewe ile hali hauko sawa "
Nilikataa ila aligoma kuniacha niende mwenyewe, niliona sawa tukainuka na kuongozana hadi lilipo gari.
Tuliingia huku nyuma minong'ono ilikuwa mingi mnoo kila mtu aliongea lake , basi boss alinifikisha nyumbani kwa Shania nikafungua mkanda na kutaka kushuka akaniuliza kama nitakuwa sawa.
Nilimjibu ndio na kumshukuru kisha nikashuka na kupiga hatua kubwa kubwa maana nilikuwa nahasira sana , nilikuwa tayari hata kupigana ila tu anieleze ni mwanaume gani ambae nimmchukua kwake.
Bila ya mimi kujua na kwanin afikie hadi kufukia hatua ya kunifuata ofisin na kunishushia kipigo.
NAOMBA TURUDI NYUMA , kumbe jana baada ya Felix kunishusha pale mwenge alikuja nyumbani kwa Shania, na kumbe alikuwa anajua kuwa siishi tena kwa Shania.
Basi alifika na kukuta hayupo, na bahati mbaya alikuwa tayari amempigia Sm Shania na akamdanganya kuwa yuko nyumbani na hajisikii vizuri.
So baada ya Felix kufika na kukuta na hayupo akamuuliza muuliza mlinzi ili, mlinzi alimjibu kuwa toka jana hajarudi nyumban, Felix baada ya kupewa jibu hilo aliona akae kumsubiri bila hata kujali atarudi sangap.
Saa moja baadae Shania alikuja akiwa ameongozana na chikonda Nuru, kitendo cha kumuona Felix akiwa amekaa Shania alishtuka sana na kumuangalia Nuru ambae aliigiza kushtuka wakati ndani alifurahi.
Shania alipack gari na kushuka moja kwa moja akaenda alipokaa Felix na kusema " babe umefika sangap ? Maana hukuniambia kama unakuja "
Felix alitabasamu na kumjibu "nimefika saa moja nyuma , samahani nimekuja nikihitaji kuongea na wewe so kama hutojali naomba mda wako"
Shania alijichekesha na kusema " sure babe haina shida, aaam tuingie ndani basi " Felix aliinuka wakaingia ndani chikonda Nuru akafuata nyuma.
Baada ya kuingia ndani wao waliingia chumbani na kumuacha Nuru seblen, Felix alikaa kwenye kiti kilichomo chumbani mle na kusema.
"Shania!, nimekuja leo nikitaka kuongea na wewe jambo au mambo ya msingi sana .
Kwanza naomba nitangulize samahani ,maana nahisi naweza kukukwaza ila hiyo itakuwa bora zaidi"
Shania kusikia vile alitetemeka kwa uoga na kutaka kumzuga kwa kumtega ili aweze kukatisha ile mada maana alijua wazi kifuatacho si kizuri.
Na akitegemea hapa kati amefanya mengi ambayo alikuwa na uhakika haya kumpendeza Felix.
Felix alimzuia kufanya kile alichotaka kufanya na kusema " Shania! niko serious naomba kuwa mtulivu na unisikilize"
Kwa sauti ya mahaba Shania akasema "Nakuelewa babe, lakin tunaweza kuongea hata baada ya hili ,maana nina hali mbaya sana na unajua toka tumekuwa wapenz hatujawahi "
Felix alikunja uso kwa hasira na kusema " sikuja hapa kwajili ya hili naomba uelewe na uheshimu pia "
"Sawa sorry " aliongea akasogea pembeni na kumpa ruhusa ya kuongea , Felix alimuangalia Shania kwa mda kidogo na kusema..............
Unafikili Felix anataka kumwambia nini Shania je anataka kueleza hisia zake juu ya Lolah? Labda ndio sababu ya Shania kumfuata Lolah kazin na kumpa kipigo?? Na kama ni ndio jee nini kitafuata!!?
Aisee hii bado ni s2 na kesho ndio utakuwa mwisho wa kuipost , mambo bado mengi tena matamu chakufanya njoo na 1000 yako tu upate full s2 NAMBA YA MALIPO 0763 826152 JINA MODESTA KUDUHU.
UKITAKA NA S3 OFA YA LEO NI 1500 TUU ,ASANTE..