Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

DOCTOR NITIBU NA HUKU KUNAWASHA🌹🌹❤️❤️❤️🌹 ❤👌👌17

8th Jul, 2025 Views 41



Martha alishtuka mpaka simu yake ikaanguka chini wakati anainama kuichukua Aidan alimpiga bonge wa kofi la chogo alaanguka chini yaani mpaka nilicheka kwanza sikuwa nimetegemea hilo tukio nahivi alikuwa kavaa ki sistaa duu
Alipiga magoti chini akawa kama vile anataka kutambaa ,Alimkanyaga teke la mgongo akalala kabisa chini ,abbas alimvuta kaka ake pembeni kwanza
" kwani kuna nini mbona sielewi???" Abbas aliuliza kwa panick
"Utamwambia au mimi ndo nimwambie ??" Aidan alimuuliza Martha wakati huo abbas alikuwa anamuinua huku anamfuta futa ,nilichogundua ni kuwa abbas hana roho ngumu kama kaka ake abbas anahuruma sana
"Mi sijui hata kwanini nap..." kilikuwa kinajibia chenyewe sauti ya puani alikatizwa na bonge wa kofiii la mdomo mpaka damu afu akatoa simu ile ya yule jamaaa akapray ile voice ambayo Martha alikuwa akimpa maelezo yule jamaaa
Ndipo yule kaka aliongea mbele ya abbas mwanzo mwisho tangu Martha alivyomtafuta ili kuharibu mahusiano yetu , maskini nilimuonea huruma abbas hakuongea kitu akaja mbele yangu akapiga magoti tena machozi yanamtoka
"Nasra kipenzi changu naomba unipe nafasi nyingine hii ya mwanzo nimeiharibu sikuweza kukuamini hata kidogo hata ujauzito niliutilia mashaka, Nasra mama angu naomba unisamehe kwa kushindwa kusimama na wewe mimi pia nilichangia wewe kuwa na msongo wa mawazo nakuomba kwa dhati sintarudia huu upumbavu siwezi kurudia tenaa " abbas alikuwa anaongea huku analia nilimuinua nikamkumbatia
"Nakupenda abbas nilijua naenda kukukosa nashkuru sana kila kitu kipo wazi sio leo tu hata milele siwezi kukusaliti abbas siweziii"
"Ukweli nakupenda sana Mke wangu that's Why niliumia sanaaa kwa haya yaliyokuwa yanaendelea Nisamehe sanaaa"
Aidani alimpiga sana Martha sana sana mpaka abbas alimuambia awaache waende , akachukua gari lake akawapeleka wote wawili hospital na akagaramia kila kitu huduma zotee huku akimpa onyo kalii Martha asije kunikera hata kwa bahati mbaya...

Abbas akananbia kuwa kaka ake anamoyo mdogo sana hapendi yeye akelwe na mtu huwa anaweza hata kumuuwa mtu atakae tishia kunidhuru hata kwa bahati mbaya hiyo ndio sababu mimi huwa simuambii kama nina shida na mtu mana hapendi kabisa alinilea hivyo tulipo kuwa kwenye kituo cha watoto yatima tulikuwa tunaonewa sana kwahiyo alisimama kunitetea kila sehemu tangu huko nyuma"
Duh mwenyewe nilisisimkwa sana kwa habari zile ...

Aidani alirudi usiku nyumbani akamfokea kweli Abbas kwa kushindwa kuwa pamoja na mimi yaan abbas ni mpole sana jaman alikuwa akiomba tu msamaha
"Inatakiwa umuoe Nasra haraka anaenda kuwa mama wa watoto wako sio vizuri mnakaa mnazini zini tu humu ndani wakati sheria za dini unazijua"
Weuweee🥰🥰🥰 kamoyo kangu kusikia ndoa kakadunda puuuh❤🙌 nikameza matee ..
"Sawa kaka nimekuelewa,, nasra upo tayari" aaawee sa nitasemaje sipo tayari auuu😅😅 Nikasema "muda wowote unakaribishwa " tena kwa mapozi hatari wee hakuna raha kama kuwaanzishia watu ukoo yaan hawa wasudani mimi ndo nawaanzishia familia badae unakuja kuwa ukoo wa Sultani aaaweee🥰🥰🥰 Raha kweliii ,kweliii, mimi ndio nitakuwa Bibi mkubwa wa ukooo😅😅🙌🙌🙌 Nyie rahaaa ...

Aidan akamwambia abbas tutoke mara moja baby akanambia mama k nikuletee niniii?? Aaaah weuweee🥰 et mama k nyie Rahaaa nikasema , basi hapo nikajidekeza na mimi et uwahi tu kurudiii😔 "sawa mama k wangu" akanikiss wakatoka nikafunga geti yaan sitaki kabisa mgeni kwangu sitakiii wakome huko huko🙌

Siku inayofata tuliondoka mimi aidani na abbas wangu mpaka nyumbani kwa mdogo wangu mbagala , nikawatambulisha Rasmi maana huwa namuhadithia tu mdogo wangu

Tulikaa siku mbili tukasafiri taboraaa👌👌🥰 unyamwezini kwetu nikawapeleka wasudan wangu basi watu vijichoo kila mtu anawatizama mnoo mimi na wasudani wangu huku abbas huku aidani🤗🤗 nilikuwa najiona mimi mwanamke peke yanguuu😜


Hapo mambo yakawa mwake tukafunga ndoa huko huko tabora , huku dar mdogo wangu nae hakutaka papoee mana tabora tulifunga ndoa isiyo na mambo mengi ..

ITAENDELEA...


Soma kuanzia hapa mpaka mwisho kwa sh 600 tu
Njoo WhatsApp 0743433005

Follow Mr Burudan.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DOCTOR NITIBU NA HUKU KUNAWASHA🌹🌹❤️❤️❤️🌹 ❤👌👌17   >>> https://gonga94.com/semajambo/doctor-nitibu-na-huku-kunawasha-17
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
sturi 1 kwa 45000/=
sturi 1 kwa 45000/=

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 14...15

majario rewards 100 Comments 0
 

MDOLI MPENDA UTAMU...1

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA🙈3~4

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest