π Sauda autaki au?...π
( Sauda alijiongeza kwa kuongopa)
" Mimi nisingekata ila nipo kwenye siku zangu ndio maana nilitaka nije Kesho ila mama akaja kunichukua kwa nguvu uku tumbo linaniuma zimenianza jioni hii.
" Pole na nyinyi amna watoto basi linaumaga sana ngoja nionge na mpiga ngoma.
" Sawa.
( Yule mama akaenda kuongea na mpiga ngoma)
" Yule simba wanacheza uwezi kuchagua mwengine.
" Basi acha nipige nikimuona nitakustua.
" Sawa.
( Mpiga ngoma akaliamsha uku anaimba)
πΆ Mama mdogo kapita njia ya chanika mama mdogo akili zake fupi sijui atafika mama mdogo.
( Na wote wanaitika goma linapigwa...sauda kashampanga mama wa shoga yake anaumwa ikabidi aende ndani kwa bi harusi kukaa nae apige pige nae story awezi kucheza ngoma....uku mama yake sauda anacheza ngoma ile anafurahi na mashoga wa sauda mdundiko sio mchezo....uku ndani bi harusi anafundwa kesho anaolewa anaenda mbilini kungwi anampa maneno)
" Mwali wangu huu ungo una maana nyingi sana ila kubwa chukua hiyo niliyokupa tena ukapepete na ungo uuzungushe kona zote
Naamanisha ukamzungushie mumeo kiuno chako yaan kafanye kama unakuna nazi siku zote mkuna nazi huzungusha kifuu ili nazi ipate kuisha na ili apate chicha laini lazima aregeze mikono basi na wewe ili mumeo amwage haraja ulegeze nyonga na kiuno ndo hivyo umzungushiie.
Kama kukizungusha kwako ni mtihani usingoje miujiza hebu jiongeze mtoto wa kike.
( Bi harusi anacheka ila ujumbe umemfikia aende kuzungusha uko kwa mumewe...kungwi akaenda kucheza ngoma na yeye nje uku bi harusi anamuuliza sauda)
" Ivi na wewe uliambiwa aya.
" Mmm niliambiwa mengine.
" Niambie basi wewe si umesikia yangu.
" Sawa kungwi wangu alikuwa ananipa michambo.
" Niambie.
" Aliniambia ivi
MAMBO 4 YAKUFICHA UKIWA KWENYE NDOA:
TENDO LA NDOA:
Usijaribu hata siku moja ukatoa siri ya kitandani, mara nyingi tuna tabia ya kuelezea marafiki mambo tunayo fanya kitandani na wenzawetu ambapo nimakosa ni hatari katika ndoa yako
UGOMVI:
Sio vizuri kuelezea watu kua nnaugomvi na mwenzawangu, utakua umewapa watu faida na kuishusha thamani ndoa yako
PESA:
Jaribu kuhifadhi kipato chenu ili watu wasijue ni kiasi gani mnacho miliki, Msaidie jamii ila sio kujifakhirisha itakua mnajitafutia hasad
MAPUNGUFU YA MWENZAKO:
hunaongea eti mume wangu ana kibamia sitosheki, Nataka nikwambie.....Laiti ungetulia bila kuonja onja isingefikia ukasema mumeo ana kibamia, unaolewa umetembea na wanaume 12 watarajia atakae kuoa awe na kifulio cha nazi ama nini? Sasa haina haja ya kutoa mapungufu ya mwenzawako kwa watu.
" Hehehehe aya kweli uyo kungwi michambo kama mimi nimetoka na 9 uyu wa kumi ndio ananioa.
" Ila mwenzangu umejitunza mimi 14 nimetoka nao si unajua wanazinguaga wa 15 kanioa ila sasa ivi nasema ukweli siwezi kumsaliti mume wangu.
" Usimalize maneno mimi wa tisa ni mpiga ngoma kwenye harusi yako aya unasema usaliti mume tukienda kwenye shughuri itakuwaje na wapiga ngoma wana sifa hawa.
" Kweli Leo nisingekuwa kwenye siku zangu saizi nishaliwa ivi.
" Pole imekujia siku mbaya siku ya ngoma uwezi kulikata uno yani kama unazichokoza.
( Wakati wao wanapiga story uku mpiga ngoma kagoma anataka goma kamchagua mama sauda...yani kaangalie uno la kiutu uzima linavyocheza ndio kamchagua kamwambia mama shughuri)
" Nifanyie mpango uyo mama nikamalize kiu yangu nije kuendelea.
( Kama kawa mama shughuri akamwita pembeni mama sauda anamwambia)
" Shoga shughuri ipo mikononi mwako Muda huu wewe ndio utahamua tuendelee kuselebuka au ngoma izimwe.
" Kivipi tena izimwe wakati ngoma imenoga.
" Mpiga ngoma kakuchagua wewe anataka akachangamshe damu kidogo naomba nistiri mama mwenzangu kama mwanangu alivyo stiri shughuri ya mwanao.
( Mama sauda macho yamemtoka mpiga ngoma analitaka goma lake akalichape kwanza alafu aje kupiga ngoma ya kuchezeka uku anawaza afanyaje wakati anawaza mpiga ngoma na yeye anawafata waliposimama pale anafika anauliza)
" Vipi mama shughuri mbona kimya mimi pombe zimeshanishukia chini.
( Mama shughuri anamwambia mama sauda)
" Shoga mjibu maana kakufata wewe uyu.
ITAENDELEA
ππ ILA KWA MPARANGE π’
Sehemu ya tatu.
π Shoga mjibu maana kakufata wewe uyu...π
" Wewe kaka Samahani mimi umri umeenda purukushani za nje ndani za vijana wadogo siziwezi shika elf 20 hii mtafute msichana ukamalize kiu yako tuendelee kuselebuka.
" Sawa hii 20 itanisaidia Kesho acha nikaliwashe goma.
( Mwenye Goma uyo kaenda kuliamsha tena anayo 20 mfukoni agawani na wenzie alipiga mipigo yote nyimbo kama zote hapo watu wanaserebuka...uku mama sauda anayamwaga mauno...vijana wa ovyo wanamdunga dunga na raha ya ngoma mwanamke mbele mwanaume nyuma...upande wa sauda uku yupo ndani na shoga yake wameongea wamechoka wanachungulia dirishani wanaona watu wanavyoselebuka...na wao wanacheza ndani uku mpaka kungwi alipofika anampa bi harusi maneno ya mwisho asubui awezi kuwa na nafasi tena akamwambia)
" Kaa hapa nikwambie ya mwisho aya.
" Sawa.
"JICHO LA MUME
jamani sitaki na kesi za kuachika wewe hujui jinsi ya kumuangalia mumeoππΏ
kwann ukamzoee mumeo hasa katika kumwangalia? Kwan huyo kaka ako auππΏ
mume anaangaliwa kwa kuibia na macho maregeeevu kama mie kungwi wakoππΏ
mume sio unamtumbulia macho kama unakunya kimba gumu kwanini asikuchokeππΏ
muangalie mumeo kwa macho maregevu muda woote tena huku ukiona kaaibu aibu kama katoto hali hiyo humsisimua sana mwanaume yaani anakuona upo romantic na katu hakuchokiππΏ
yaani ni vitu vidogo sana ambavyo mwanaume humchoka mkewe au mpenzi wake baada ya muda mfupi sana kwa sababu unageuka kua kama rafiki wa kijiweni ambae anakutana nae kila siku
pozi za kikekike ni nzuri sana kwa mwanaume yaani anaenjoy sana kua na mwanamke ambae anatabia za kikikekike ndio maana mashoga wanawaibia waume zenu maana uwa hawakosei katika tabia hiziii ni ndio haswaaaa wanaume huzipenda mnooooππΏ
shauri yako unazani kudumu katika ndoa mchezoπ€£.
Yashike aya niliokwambia.
" Sawa.
" Chengine mashoga wasiwe karibu na mumeo si unajua tena uku kunaitwaje?
" Ndio si kunaitwa kwa mpalange.
" aya uwe makini mashoga wengine wanaweza kumpa mumeo uko walipotuhalibia jina la mji wetu.
" Sawa nimekuelewa.
( Kungwi akamaliza...asubuhi ikafika sauda akaenda kwa mama yake kubadilisha nguo akavaa sale sasa ya harusi...uswahirini kuna mambo...upande wa mume wa sauda...dada zake walifika kwake awamuoni wifi yao wakamuuliza kaka yao)
" Wifi yupo wapi?
" Amekuja kuchukuliwa na mama yake hapa usiku kuna ngoma sijui nini uko kwao kwa mpalange.
" Na wewe umemruhusu aende kwenye ngoma.
" Dada zangu nilikataa ila sasa mama mkwe ndio kaja kumchukua mwanawe.
" Kaka uyo mama mkwe asikupande kichwani yeye kaozesha mwanawe ajue yupo chini ya mtu izo pigo anakuletea ndoa bado mbichi atakupanda sana kichwani kaka uwe mkari kwa mkeo.
" Sasa nifanyaje.
" Tupe ruxsa Sisi tukamchukue uyo mkeo hapo kwenye ngoma.
" Sasa mtapajua.
" Ngoma kama msiba tu apotei mtu wewe tupe ruxsa tukamchukue na aje hapa tumwambie kabisa.
" Mumwambie nini.
" Yeye na ngoma marufuku kama alikuwa anaenda zamani uko kabla ajakuwa mke.
" Sawa nendeni.
( Mawifi tena hao wanaenda wakapanda gali za buza wakashuka kwa mama kibonge wakachukua bajaj mpaka kwa mpalange...kweli wakaona harusi maana mchana kulikuwa na mziki sasa ngoma imeisha usiku wakajichanganya na wao kama waalikwa wanamtafuta mke wa kaka yao...wakati mke wa kaka yao kavaa sale wote wanafanana uku yupo na mama yake mzazi...mama mzazi kampa zawadi mwanawe akatunze kashike mkononi sahani za udongo...na jina ndio likawa limeitwa na mc)
" Sauda zamu yako kumtunza shoga yako sauda atapanda na mama yake dj mlete sauda sasa.
( Sauda anaanza kwenda uku kashika zake Sahani anakutwa anavutwa nguo yake kwa nyuma kugeuka anakutana na wifi zake mmoja kakunja sura anamwambia)
" Weka Sahani chini twende kwenye ndoa yako sasa ivi.
" Subilini nikatunze kwanza.
" Muda wa kusubili atuna weka Sahani chini twende.
( Mtihani huu kwa sauda..mama yake anageuka ndio anakuta mwanawe anaambiwa aweke Sahani chini)
Dah yani..
ITAENDELEA
NINI KITATOKEA HAPO
USIKOSE EPISODE IJAYO.
FULL TSH 1000
NAMBA YA MALIPO NI 0657774735
JINA MKEGANI MPONDA
MTANDAO NI TIGO.